Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa alikuwaje Muislam kama hajatekeleza nguzo za Uislamu?Nguzo za Uislamu ziliwekwa rasmi na kufundishwa katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad kuletwa na Qur'an.
Na kama nilivyo eleza huko juu nabii Yakub alikuwepo kabla hizi dini zote kuwepo. Uislamu, Ukristo, Uyahudi
Bila shaka utakuwa umeambiwa na huyu mzee wa "mito ya pombe.."Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yeyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni
Quran Haina SIFA wala MAMLAKA ya kuwa KITABU cha REJEA labda Kwa wanao Tunga Mashariti na nyimbo za taarab...Wadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Siku yoyote utakayo jaribu kutumia Quran kama rejea kwako basi ndio siku hiyo wana jf watakuona kua wewe ni mfano waQuran Haina SIFA wala MAMLAKA ya kuwa KITABU cha REJEA labda Kwa wanao Tunga Mashariti na nyimbo za taarab...
Yakobo alimuabudu YHWH allah kaletwa juzijuzi tu na Muhammad.Yakobo hakumjua allah wala wana wa Israeli hawakuwahi kumuabudu allah.Uislamu umeletwa na Waraqah ibn Nauf akishirikiana na Bi.Khadijah kwa hisani ya vaticanWadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Ina maanisha nini hilo neno?Al-Baqarah
Muhammad ni nabii wa allah na wala si nabii wa Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo.Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.
Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Nimeweka Aya nawewe jibu kwa kutoa ayaUmeokotaokota aya huko unaleta huku,uislam dini ya juzi tu,hao walikuwa Jews,dini ya kiyahudi
Adam ndiye muislamu wa kwanzaKipindi Yakobo anaishi, uislamu ilikuwa haujaanzishwa.
Hayo mawazo hasi umetoa wapi?Quran Haina SIFA wala MAMLAKA ya kuwa KITABU cha REJEA labda Kwa wanao Tunga Mashariti na nyimbo za taarab...
Kabiiiiiiiiiisa lo
Uislamu ulikuwepo labda wewe hujui nini maana yakeNguzo za Uislamu ziliwekwa rasmi na kufundishwa katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad kuletwa na Qur'an.
Na kama nilivyo eleza huko juu nabii Yakub alikuwepo kabla hizi dini zote kuwepo. Uislamu, Ukristo, Uyahudi
Unamaana gani?Ujinga mtaacha lini waafrika?