Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Nguzo za Uislamu ziliwekwa rasmi na kufundishwa katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad kuletwa na Qur'an.

Na kama nilivyo eleza huko juu nabii Yakub alikuwepo kabla hizi dini zote kuwepo. Uislamu, Ukristo, Uyahudi
 
Quran Haina SIFA wala MAMLAKA ya kuwa KITABU cha REJEA labda Kwa wanao Tunga Mashariti na nyimbo za taarab...
 
Quran Haina SIFA wala MAMLAKA ya kuwa KITABU cha REJEA labda Kwa wanao Tunga Mashariti na nyimbo za taarab...
Siku yoyote utakayo jaribu kutumia Quran kama rejea kwako basi ndio siku hiyo wana jf watakuona kua wewe ni mfano wa

Mwanamke kahaba.
 
Yakobo alimuabudu YHWH allah kaletwa juzijuzi tu na Muhammad.Yakobo hakumjua allah wala wana wa Israeli hawakuwahi kumuabudu allah.Uislamu umeletwa na Waraqah ibn Nauf akishirikiana na Bi.Khadijah kwa hisani ya vatican
 
M
Muhammad ni nabii wa allah na wala si nabii wa Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo.
Allah ana nabii mmoja tu
 
Nguzo za Uislamu ziliwekwa rasmi na kufundishwa katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad kuletwa na Qur'an.

Na kama nilivyo eleza huko juu nabii Yakub alikuwepo kabla hizi dini zote kuwepo. Uislamu, Ukristo, Uyahudi
Uislamu ulikuwepo labda wewe hujui nini maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…