Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Tatizo linakuja hapa muhammad yeyemwenyewe siyo mtume wa mwenyezi mungu.... wala hajui mtume ni nini? Nikama wakina mwamposa tu wanajihita mitume ila awajui mtume ni nini ?
 
Allah amesha sema HANA MSHIRIKA, ameumba kila kitu mwenyewe mbona QURAN iko wazi sana, na kuhusu kutumia wingi umesha fundishwa humu hapo anajifaharisha kwa UUNGU , ndio maana huwezi kuona akimtaja yeyote kuwa ni mshirika wake Quran imenyooka kama rura
Au sio,simpo tu ka hivyo..eti anajifaharisha..hahahaaa
 
Allah amesha sema HANA MSHIRIKA, ameumba kila kitu mwenyewe mbona QURAN iko wazi sana, na kuhusu kutumia wingi umesha fundishwa humu hapo anajifaharisha kwa UUNGU , ndio maana huwezi kuona akimtaja yeyote kuwa ni mshirika wake Quran imenyooka kama rura
Waislamu mnapambania sana Tawhid ila Allah mwenyewe kawakataa katika hiyo concept yenu mliyojitungia.Au Allah nae anautamani Utatu ndio mana anatumia wingi??
 
Wewe ukikataa unatakiwa kuja kutoa andiko lako kuwa Yakobo alikuwa Mkristo au myahudi? sio kuleta mipasho
Ngoja niandike kumuhusu huyu mtu kadiri ninavyo mfahamu. Yakobo alizaliwa na mtu mmoja anaeitwa Isaka, Isaka alikua ni mtoto wa nabii Ibrahim, mtoto aliyesubiriwa kwenye ndoa ya Ibrahim na mkewe Sara kwa miaka mingi sana, tunaweza kusema Isaka (Isihaka ) ni mtoto wa maajabu cause mama yake Sara alitungishwa mimba wakati mama yake tayari alikua kwenye umri ambao haingii tena kwenye siku zake, mimba iliingia akiwa na miaka 89 na mwaka 90 akamzaa huyu Isaka/Isaac/Isihaka (nimeweka kwa lugha zote 3, Kiswahili, Kingereza na Kiarabu) huyu Isaka alikuja kuzaa watoto mapacha kwa mkewe Rebeka, Rebekah alikua binti wa mkomba sa Isaka, yaani mtoto wa kaka yake Sara. Pacha wa Yakobo aliitwa Esau, kihistoria nchi ya Lebanoni mwanzoshi au ni matokeo ya uzao wa Esau na wale mabinti 2 wa Lutu. Back to Yakobo anaedaiwa kua ni muislam; huyu bwana alizaa watoto wengi lakini wa kiume walikua 12 ambao hao ndio wametengeneza makabila ya Israel leo; ikumbukwe neno Israel au taifa la Israeli ni matokeo ya huyu huyu mtu; baada ya huyu bwana kumtapeli baba mkwe wake, Mungu alimbadirisha jina kutoka Yakobo na kumwita Israel so ni makabila 12 na hayo makabila 12 ni majina ya watoto wa Yakobo/Israel, baadhi yao ni Reuben, Lawi, Yuda, Benjamin, Gadi, Safari nk. Neno au kabila Yahudi/Wayahudi linatokana na kabila la Yuda ambalo ndio alikotokea nabii au mfalme Daudi, Suleman na Yesu. Mwenye maswali katika hicho nilicho andika, KARIBU
 
Hii aya tulisha waeleza ndio wa kwanza kwa Nyakati zake (umma wake), ila huko nyuma pia nabii husika wa umma husika pia alikuwa wa kwanza kufundisha imani na kusilimu kisha anawaendea binadamu wengine
Kwa kila tone la.porojo za mwamedi mnazozieneza adhabu ya mwamedi ya kabri inaongezeka mara elfu.Kwa kila dama ya mwanadamu mnayoimwaga kwa kumtaja allah ambaye ni mungu aliyeletwa na mwamedi basi adhabu ya kabri ya mwamedi iongezeke mara bilioni.
Mwamedi ndiye chanzo cha matatizo yote duniani.Yeye ni baba wa uongo.
 
Sio tunaamini tunakataa kuwa Mungu hawezi shiriki ngono kupata mtoto, ila tunaamini Mungu anaweza kuumba atakavyo, kwahiyo kwa yeyote yule mwenye akili kuwa Yesu ni mwana wa Mungu kisa hana Baba mzazi huyo amepotoka
usiseme mnaamini,sema Muhammad kawaambia hivyo na hamuwezi tena kutumia akili zenu.
Yesu mwenyewe anasema Mungu ni baba yake,wewe hutaki.
tukusikilize wewe,Mungu mwenyewe au Yesu mwenyewe??

mbaya mbovu mnasema alikuwa muislam huyu,kivipi wakati anasema Mungu ni baba yake,na muhamad anadai Allah sio Baba wa kiumbe chochote.
 
Allah amesha sema HANA MSHIRIKA, ameumba kila kitu mwenyewe mbona QURAN iko wazi sana, na kuhusu kutumia wingi umesha fundishwa humu hapo anajifaharisha kwa UUNGU , ndio maana huwezi kuona akimtaja yeyote kuwa ni mshirika wake Quran imenyooka kama rura
acha kukariri wewe,shahada yenyewe inathibitisha Allah ana washindani.

kwamba huwezi kuwa muislam usipomtaja Yeye na Muhammad sehemu moja,kimsingi hapa tume la mchongo alikuwa anajipa vyeo sawa na Allah.
 
Hakuna aliekataa Israel ndio Yakobo na andiko la kuthibitisha kuwa Israel ndio Yakobo lipo kwenye biblia sasa tuambie Yakobo alikuwa Dini gani katika biblia hiyo hiyo hili mtoa mada awe amesema uongo, bila kutoa andiko unakuwa sawa na wapiga kelele wa vijiweni, mtoa mada katoa andiko nawewe unatakiwa kupangua kwa andiko sio maelezo mengi yasiyo na maana, nafikiri nimetumia lugha nyepesi na umeelewa ninacho taka kwako
Nje ya qurani kuna ushahidi mahala.pengine kuwa Uislamu uliexist kipindi cha Ibrahim?
 
acha kukariri wewe,shahada yenyewe inathibitisha Allah ana washindani.

kwamba huwezi kuwa muislam usipomtaja Yeye na Muhammad sehemu moja,kimsingi hapa tume la mchongo alikuwa anajipa vyeo sawa na Allah.
Sasa Allah si ndio Mungu na Mohamadi ndio binadamu alie mchague kufundisha watu dini kwa nyakati zake, sasa hutaki watajwe, Mbona hata Mungu wako wa Biblia ana wivu kama mtoto wa kike na sisi hatusemi
 
Nje ya qurani kuna ushahidi mahala.pengine kuwa Uislamu uliexist kipindi cha Ibrahim?
Hawezi kukujibu hili atabaki anaruka ruka tu..Allah mwenyewe anakwambia alivifunua vitabu vya injili na torati ila hapo hapo kwenye quran anasema kuna watu watasema tumecopy kwenye hivyo vitabu ili kuitengeneza quran..Allah mbona kama hajiamini kwa vitabu vyake mwenyewe?
 
usiseme mnaamini,sema Muhammad kawaambia hivyo na hamuwezi tena kutumia akili zenu.
Yesu mwenyewe anasema Mungu ni baba yake,wewe hutaki.
tukusikilize wewe,Mungu mwenyewe au Yesu mwenyewe??

mbaya mbovu mnasema alikuwa muislam huyu,kivipi wakati anasema Mungu ni baba yake,na muhamad anadai Allah sio Baba wa kiumbe chochote.
Una ugonjwa wa kusahau wewe, kwani Yesu akisema wewe si unaamini? Sasa wivu wa nini sisi kuamini anachosema Mohamadi ? Nimeshakufundisha hapa Ubaba anaokataa Allah ni ule wa watu kudai kuwa kwa vile Yesu hana baba basi baba yake ni Mungu , huu ubaba wa kushiriki tendo ndio Quran imekataa, sasa sijui kipi kizito kuelewa
 
Hawezi kukujibu hili atabaki anaruka ruka tu..Allah mwenyewe anakwambia alivifunua vitabu vya injili na torati ila hapo hapo kwenye quran anasema kuna watu watasema tumecopy kwenye hivyo vitabu ili kuitengeneza quran..Allah mbona kama hajiamini kwa vitabu vyake mwenyewe?
Hii ndio shida jibu ni rahisi, wewe ukija kupinga uje hapa na andiko la kuonyesha dini tofauti na mtoa mada, kinyume chake utakuwa unaleta siasa tu
 
Back
Top Bottom