Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

1. wayahudi wakajibu tunayo sheria lazima AFE kwa kuwa amejifanya Mwana wa Mungu 😂😂😂😂 ASULUBIWE hata wayahudi wako na Allah Mungu wa viwango kabisa Ujinga ule wa kufikiri Mungu anaweza mtia mtu mimba wameukataa, na wao ndio WAKASEMA ASULUBIWE unafikiri tuna bahatisha hapa Kasome YOHANA akili ikukae sawa
Subiri twende taratibu wewe hujasoma bible wala Quran kunizidi,msingi punguza pupa.

Kwahiyo tunapata kwamba Yesu anasublubiwa kwa kosa la kudai kwamba Yeye kwa maneno yake ni mwana wa Mungu??? Kwa kusikia hizo tuhuma za wayahudi dhidi yake si ndio???
Je sisi tunamsingia Yesu au alisema mwenyewe??Quran inasema alitaka kuuawa kwa kosa gani???

2.Quran imesema hakupigwa, hakufa wala hakufufuka, imesema tena ni kiumbe anaekunya mavi kama wewe hapo sio Mungu, ajabu bado wewe na akili zako mbovu Unaangaika na huyu Mungu wako alietemewa mate kama takataka zinazo nuka 😂😂
😂😂😂huku unakokwenda ndugu yangu,haya wewe twende😂😂

Allah hakuruhusu kabisa Yesu afe,badala yake alifanya mtu baki,
Allah aliudanganya Umma issah kwamba mtume na nabii wao ameuawa kwa kuwafananishia😂😂,na wakaanza kuamini hivyo mpaka alipokuja Muhammad.

unaweza kukataa kwa hoja kwamba Allah ni mwongo??zingatia hoja hiyo hapo juu.
3.Allah ni mwanasayansi, hawezi hata siku moja kuandika kuwa Nyoka anakula vumbi 😂😂😂 au kupata wenge mpaka asiwaone watu kwenye vichaka wakina Adam , anaanza kuuliza mko wapi nyie, aibu tupuuuu 😂😂😂
hamna shida kaka Allah ni mwanasayansi pekee anayeamini nyota zinamulika wakati wa giza😝😝😝
4.Mungu haitaji mbegu yeye anapotaka jambo huliambia kuwa nalo linakuwa huyo ndio Allah, kwani Adam alimuumba kwa mbegu gani? au Hawa aliumbwa kwa mbegu gan?😂😂😂unawaza mbegu ndio maana unaamini kiumbe aliekuwa anakojoa kama wewe ni Mungu 😂😂😂
😂😂sasa hapa nikuulize wewe kiazi mbatata,Adam ni kazi ya mikono ya Mungu,wewe mbugila mchache wa elimu,unayedai Allah alitamka adam akawa leta andiko😂😂😂
5.Mtume kaishi maisha ya heshima kabisaa wala sio kuburuzwa mitaani kama kibaka,
😂😂😂haya tunayokuja kusoma leo alikula aisha akiwa na miaka 9,kisha akamvizia mke wa mwanaye na kumla pia🤣🤣
😂kwahiyo ulitaka mtume wetu atundikwe kama Korodani pale msalabani kama yule Mungu wenu ndio ujue kaishi vizuri?
nani amtundike kwa faida gani😂😂,yule ni kama fisi porini au mzoga wa kunguru,hana value ya kutolea hata sadaka🤣🤣🤣
😂😂😂huo ujinga kafanyiwa Mungu wenu asie
 
Umeishiwa HOJA unapuyanga 😂😂😂maandiko ya kila mtume wa Ummah wake nimetoa kwahiyo Mohamadi alikuwa wa kwanza kwa ummah, na maandiko ya mitume wengine kama Musa ,Ibrahim n.k nimetoa kuonyesha pia kabla yake waislamu walikuwepo, wewe kinacho kutesa HUNA andiko la kuonyesha DIni ndio maana unapuyanga tu 😂😂😂😂😂
Hakuna jambo unatakiwa uwe makini kama kujibu swali la mkristo yoyote,nadhani hujawahi kuambiwa.huulizwi swali ili ujibu kwa sababu umesikia😂😂,ni mtego.

Quran inasema umma alkitaab(wakristo na mayahudi),kwanini haikuwaita waislam na walikuwa waumini wa Mungu mmoja???maana kama manabii na mitume walikuwa waislam hata waumini wao pia walikuwa waislam,tena tafsiri zinakwenda mbele zaidi kwa kudai hawa walikuwa na msimamo sawia na wa waislam wa leo,kwanini haikuwaita waislam???
 
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Una uwezo mkubwa sana wa kujibu mkuu.
 
TUsilazimishe uhalali wa dini yetu kwa kutumia gia ya reverse uislam ulikuja mwaka 600 A.d, kabla ya hapo ME kulikua na dini za kiyahudi, kikristo na kipagani.
 
TUsilazimishe uhalali wa dini yetu kwa kutumia gia ya reverse uislam ulikuja mwaka 600 A.d, kabla ya hapo ME kulikua na dini za kiyahudi, kikristo na kipagani.
Tatizo la ndugu zetu huwa ni kujaribu kuufanya uislam ni kitu special hata sehemu ambazo haitakiwi,matokeo yake wanaufanya uonekane ni dini ya wapumbavu.
L
 
Talmud na torati zinajua Yakobo alikuwa na Dini gani? kama hazijui unaleta za nini sasa!!!havina msaada kwasababu havijui lolote juu ya Dini aliokuwa nayo Yakobo, wewe ndio kichwa maji ndio maana unataja vitabu havina msaada kwenye mada husika
talmud na torauti zimekuwepo kabla ya mwanadamu mwongo kuliko wote, ndugu mood kuzaliwa. kwa hiyo kama uislam ungekuwepo kabla, ungetajwa kwenye talmud na torati. ndicho tunachomaanisha. haujaelewa hata hapo?
 
Hakuna jambo unatakiwa uwe makini kama kujibu swali la mkristo yoyote,nadhani hujawahi kuambiwa.huulizwi swali ili ujibu kwa sababu umesikia😂😂,ni mtego.

Quran inasema umma alkitaab(wakristo na mayahudi),kwanini haikuwaita waislam na walikuwa waumini wa Mungu mmoja???maana kama manabii na mitume walikuwa waislam hata waumini wao pia walikuwa waislam,tena tafsiri zinakwenda mbele zaidi kwa kudai hawa walikuwa na msimamo sawia na wa waislam wa leo,kwanini haikuwaita waislam???
Hakuna mkristo mwenye swali la maana kwanza hawana akili timamu ndio maana yule mnya mavi mnamuita Mungu 😂😂😂😂suala la Ummah limekwisha sasa naona umeanza kuandika vitu kama umechanganyikiwa, nimekupa andiko UMMAH una husiana na kila mtu kwa nyakati zake, sasa baada ya kuelewa unaanza kuuliza vitu vya kuchanganyikiwa, nani kakwambia kuna Ummah unaitwa Alkitaab? 😂😂😂😂
 
Hakuna mkristo mwenye swali la maana kwanza hawana akili timamu ndio maana yule mnya mavi mnamuita Mungu
pole mkuu,kunywa maji mengi😂😂
😂😂😂😂suala la Ummah limekwisha sasa naona umeanza kuandika vitu kama umechanganyikiwa, nimekupa andiko UMMAH una husiana na kila mtu kwa nyakati zake, sasa baada ya kuelewa unaanza kuuliza vitu vya kuchanganyikiwa, nani kakwambia kuna Ummah unaitwa Alkitaab? 😂😂😂😂
Ndio sababu nakusisitiza hakikisha umesoma,na kuelewa kisha ndipo uje kujadiliana na sisi.
Hatuna cha kukupa zaidi ya maswali tata,ukishindwa ndio haya unakuja hapa sukari imepanda😂😂😂.

Mimi nafikiri nikuache upoze komwe sasa au bado niongeze task😁😁😁😁
 
Subiri twende taratibu wewe hujasoma bible wala Quran kunizidi,msingi punguza pupa.

Kwahiyo tunapata kwamba Yesu anasublubiwa kwa kosa la kudai kwamba Yeye kwa maneno yake ni mwana wa Mungu??? Kwa kusikia hizo tuhuma za wayahudi dhidi yake si ndio???
Je sisi tunamsingia Yesu au alisema mwenyewe??Quran inasema alitaka kuuawa kwa kosa gani???

😂😂😂huku unakokwenda ndugu yangu,haya wewe twende😂😂

Allah hakuruhusu kabisa Yesu afe,badala yake alifanya mtu baki,
Allah aliudanganya Umma issah kwamba mtume na nabii wao ameuawa kwa kuwafananishia😂😂,na wakaanza kuamini hivyo mpaka alipokuja Muhammad.

unaweza kukataa kwa hoja kwamba Allah ni mwongo??zingatia hoja hiyo hapo juu.

hamna shida kaka Allah ni mwanasayansi pekee anayeamini nyota zinamulika wakati wa giza😝😝😝

😂😂sasa hapa nikuulize wewe kiazi mbatata,Adam ni kazi ya mikono ya Mungu,wewe mbugila mchache wa elimu,unayedai Allah alitamka adam akawa leta andiko😂😂😂

😂😂😂haya tunayokuja kusoma leo alikula aisha akiwa na miaka 9,kisha akamvizia mke wa mwanaye na kumla pia🤣🤣

nani amtundike kwa faida gani😂😂,yule ni kama fisi porini au mzoga wa kunguru,hana value ya kutolea hata sadaka🤣🤣🤣
1. Quran ilisha maliza kazi Yesu sio mwana wa Mungu wala sio Mungu,Wayahudi walimtundika Yesu kwa kule kusema yeye ni mwana wa Mungu kwasababu wanayo sheria wanajua wanachofanya, kwahiyo wayahudi na waislamu tuko pamoja, sasa wayahudi wenye mavitabu yao wanakubaliana kuwa Yule hakuwa hata mwana wa Mungu wewe mmakonde unakuja na kusema ni Mungu 😂😂😂wewe unakili sawa sawa wakati wenye ndugu yao hawatumbui hilo, wewe akili yako ni mbovu kabisaa kumfanya mtu alietoka kwenye uchi kama wewe kuwa Mungu

2.Allah sio kuruhu tu hataki kusikia Yesu ni mwana wa Mungu, hataki kusikia kiumbe kilicho kuwa kina kunya mavi kama yote kuwa ni Mungu, Allah hataki mengi tu 😂😂😂

3.Naam Allah yuko imara hawezi kuwa na wenge mpaka asione wakina Adam kisa wamekula tunda 😂😂😂nakuanza kuwaita maana hawaoni, au Allah awe na wenge mpaka amlishe Nyoka vumbi

4.Allah kamuumba Adam kwa udongo kaeleza kwenye Quran vizuri uumbaji, Mimba ya Maryamu alimtuma Jibril kumpa taarifa Maryamu kuwa atapata mimba bila mwanaume kwasababu Mungu amesema jambo kuwa na likawa, Mungu wetu anaumba atakavyo hata kwa kusema tu , hakuna wa kumzuia wewe, kwani huko kwenye biblia Genesis mnasoma au uzingatii kuwa Mungu akasema nchi na itoe majani , na ikatoa sasa unastaajabu nini Allah kusema mimba ya Yesu kuwa na ikawa?😂😂hapa umekutana na msomi kweli kweli utaelewa tuu

5.Ndio Alikula Aisha na mke wa mwanae hakuna tatizo mbona Ibrahim alikula Dada yake Sara ? 😂😂😂 au hujui kuwa Sara na Ibrahim ni ndugu, acha wivu Selemani alikuwa na 700, wewe endelea na mke mmoja nguvu hamna wewe jikaze

6.Kwanza nani anaweza kumsogelea Mtawala wa kila kitu Allah? huo upuuzi kafanyiwa yule Mungu wako mnya mavi sio Allah
 
pole mkuu,kunywa maji mengi😂😂

Ndio sababu nakusisitiza hakikisha umesoma,na kuelewa kisha ndipo uje kujadiliana na sisi.
Hatuna cha kukupa zaidi ya maswali tata,ukishindwa ndio haya unakuja hapa sukari imepanda😂😂😂.

Mimi nafikiri nikuache upoze komwe sasa au bado niongeze task😁😁😁😁
1 Maji nakunywa sana ndio maana napiga mashuti humu mpaka unaweweseka 😂😂😂
2.Unakimbilia polisi?😂😂😂huna ubavu wa kupambana na gwiji la maandiko kama mimi!!, eti unaniacha wewe unakimbia wewe, muabudu Mungu anaekunya mavi yananuka kama wewe 😂😂😂
 
talmud na torauti zimekuwepo kabla ya mwanadamu mwongo kuliko wote, ndugu mood kuzaliwa. kwa hiyo kama uislam ungekuwepo kabla, ungetajwa kwenye talmud na torati. ndicho tunachomaanisha. haujaelewa hata hapo?
Nimekwambia tuambie hiyo Talmud imetaja Yakobo alikuwa Dini gani? badala ya kujibu swali unapuyanga kama kuku aliekatwa kichwa, narudia huwezi kupinga andika kwa porojo wewe , kajipange
 
1. Quran ilisha maliza kazi Yesu sio mwana wa Mungu wala sio Mungu
Quran haijamtaja popote Yesu,imetaja Issah
unamjua issah??alipozaliwa,maana ya jina lake,na eneo mama yake alipojifungua???je ni sawa na Yesu??
,Wayahudi walimtundika Yesu kwa kule kusema yeye ni mwana wa Mungu kwasababu wanayo sheria wanajua wanachofanya
Ahaaa kwahiyo sio sisi wamatumbi tu tunaodai Yesu ni mwana wa Mungu,ni yeye mwenyewe alisema😂😂😂😂
, kwahiyo wayahudi na waislamu tuko pamoja
Nyinyi wote ni wajinga,maana Mungu mwenyewe amemuita Isaka mwanaye😁😁,
, sasa wayahudi wenye mavitabu yao wanakubaliana kuwa Yule hakuwa hata mwana wa Mungu wewe mmakonde unakuja na kusema ni Mungu
kaka soma unachoandika,kwani umelewa pombe😂au njaa inauma😂😂,si umesema wayahudi walimhukumu kwa kusikia anajiita mwana wa Mungu,unaamua tena kutulaumu sisi kisa tu hutupendi😂
😂😂😂wewe unakili sawa sawa wakati wenye ndugu yao hawatumbui hilo, wewe akili yako ni mbovu kabisaa kumfanya mtu alietoka kwenye uchi kama wewe kuwa Mungu
Uchi sio kitu kibaya kama unavyotaka tuamini,umepewa nguvu kubwa sana kuwa lango la kuingilia na kutokea uhai😁😁,huna akili kabisa kuudhihaki.
2.Allah sio kuruhu tu hataki kusikia Yesu ni mwana wa Mungu, hataki kusikia kiumbe kilicho kuwa kina kunya mavi kama yote kuwa ni Mungu, Allah hataki mengi tu 😂😂😂
si hana akili 😂😂
3.Naam Allah yuko imara hawezi kuwa na wenge mpaka asione wakina Adam kisa wamekula tunda 😂😂😂nakuanza kuwaita maana hawaoni, au Allah awe na wenge mpaka amlishe Nyoka vumbi
Indeed yule hakuwa Allah,wala hatuamini kabisa kwamba Allah ni Mungu achia mbali kuwepo wakati wa uumbaji au kipindi cha adam😁😁
4.Allah kamuumba Adam kwa udongo kaeleza kwenye Quran vizuri uumbaji,
akampulizia pumzi.
Mimba ya Maryamu alimtuma Jibril kumpa taarifa Maryamu kuwa atapata mimba bila mwanaume kwasababu Mungu amesema jambo kuwa na likawa,
hata Quran ililetwa na jibril kwa maneno tu,lakini kwanini unaiita Neno la Allah😂😂😂.
dogo cheza chini usinijibu kama umelewa shibe ya futari mimi😂😂
Mungu wetu anaumba atakavyo hata kwa kusema tu ,
Hapana Allah ana kanuni zake,si mlivyofundishwa nyie viazi.
hakuna wa kumzuia wewe, kwani huko kwenye biblia Genesis mnasoma au uzingatii kuwa Mungu akasema nchi na itoe majani , na ikatoa sasa unastaajabu nini Allah kusema mimba ya Yesu kuwa na ikawa?
Elimu hii kwenye ukristo ni kubwa sana.
Sisi huku tunasoma NENO la Mungu,linaweza kufanyika chochote,NENO lenyewe ndio huyu YESU mwenyewe.

sijui kama utaelewa na akili hizi hizi za low perfomance mode🤣🤣🤣
😂😂hapa umekutana na msomi kweli kweli utaelewa tuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
5.Ndio Alikula Aisha na mke wa mwanae hakuna tatizo mbona Ibrahim alikula Dada yake Sara ?
sawa mfuasi wa kiongozi bora wa daraja.
😂😂😂 au hujui kuwa Sara na Ibrahim ni ndugu, acha wivu Selemani alikuwa na 700, wewe endelea na mke mmoja nguvu hamna wewe jikaze
sawa kaka😂😂
6.Kwanza nani anaweza kumsogelea Mtawala wa kila kitu Allah? huo upuuzi kafanyiwa yule Mungu wako mnya mavi sio Allah
Muhammad anaweza😅😅.
 
1 Maji nakunywa sana ndio maana napiga mashuti humu mpaka unaweweseka 😂😂😂
😂😂😂
2.Unakimbilia polisi?😂😂😂huna ubavu wa kupambana na gwiji la maandiko kama mimi!!, eti unaniacha wewe unakimbia wewe, muabudu Mungu anaekunya mavi yananuka kama wewe 😂😂😂
Sawa kaka wacha nikukimbie Gwiji😅😅😅😅😅
 
Quran haijamtaja popote Yesu,imetaja Issah
unamjua issah??alipozaliwa,maana ya jina lake,na eneo mama yake alipojifungua???je ni sawa na Yesu??

Ahaaa kwahiyo sio sisi wamatumbi tu tunaodai Yesu ni mwana wa Mungu,ni yeye mwenyewe alisema😂😂😂😂

Nyinyi wote ni wajinga,maana Mungu mwenyewe amemuita Isaka mwanaye😁😁,

kaka soma unachoandika,kwani umelewa pombe😂au njaa inauma😂😂,si umesema wayahudi walimhukumu kwa kusikia anajiita mwana wa Mungu,unaamua tena kutulaumu sisi kisa tu hutupendi😂

Uchi sio kitu kibaya kama unavyotaka tuamini,umepewa nguvu kubwa sana kuwa lango la kuingilia na kutokea uhai😁😁,huna akili kabisa kuudhihaki.

si hana akili 😂😂

Indeed yule hakuwa Allah,wala hatuamini kabisa kwamba Allah ni Mungu achia mbali kuwepo wakati wa uumbaji au kipindi cha adam😁😁

akampulizia pumzi.

hata Quran ililetwa na jibril kwa maneno tu,lakini kwanini unaiita Neno la Allah😂😂😂.
dogo cheza chini usinijibu kama umelewa shibe ya futari mimi😂😂

Hapana Allah ana kanuni zake,si mlivyofundishwa nyie viazi.

Elimu hii kwenye ukristo ni kubwa sana.
Sisi huku tunasoma NENO la Mungu,linaweza kufanyika chochote,NENO lenyewe ndio huyu YESU mwenyewe.

sijui kama utaelewa na akili hizi hizi za low perfomance mode🤣🤣🤣

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

sawa mfuasi wa kiongozi bora wa daraja.

sawa kaka😂😂

Muhammad anaweza😅😅.
1.Wewe kweli bangi Kwahiyo ulivyosema Quran imesema Yesu hajapigwa ilikuwa Quran gani sasa?😂😂😂 au una akili za kuku kusahau hapo hapo

2.Wenye ndugu yao wamekataa jambo hilo wewe mmatumbi umekomaa wewee, tena ulivyo mwehu ukaona pia mwana wa Mungu haitoshi ukampa na Uungu, yaani wewe ni wakupigwa makofi, mtu anye makimba ya mavi halafu awe Mungu😂😂😂😂😂

3.Yesu mnasema mwana wa pekee wa Mungu, sasa huo wana wa Isaka upi tena?😂😂😂 sasa kitu cha pekee toka lini kikawa na wengine? hii ni shida yako kaa tafakari wewe😂😂😂

4.Ndio Quran ililetwa na Jibril kwa mtume, na taarifa ya Maryamu kupata mimba ya binadamu Yesu pia ililetwa na Jibril, ndio maana sasa Mungu akamtuma Jibril kuwaambia nyie wenye akili duping kuwa Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu ni binadamu tu kama wengine, ndio maana alikuwa anakojoa kama wewe 😂😂😂😂

5.Allah ana kanuni zake hawezi kupigwa kama kibaka wewe, baba yako mzazi tu huwezi kumpiga, halafu unatuletea upuuzi hapa eti Mungu kapigwa 😂😂😂😂jinga kabisa huyuu

6.Yesu ni kiumbe wewe cha Mungu, utaacha lini ujinga wewe wa kufanya viumbe kama wewe kuwa Mungu?😂😂😂😂 Mungu hawezi kupigwa kisa wanadamu aliowaumba mwenyewe , wakati kila kitu ni mali yake , najua wewe ni mjinga ila ficha kidogo ujinga wako

7.Mohamadi sio mtu wa mchezo mchezo, hawezi kubali kumfanya mtu kuwa Mungu huo ni upuuzi, eti Mungu kapigwa nakofi 😂😂😂😂Daaah tusikitike kidogo
 
😆😆Yakobo huyu huyu wa agano la kale? Miaka maelfu kabla ya Ukristo na Uislam
 
Nimekwambia tuambie hiyo Talmud imetaja Yakobo alikuwa Dini gani? badala ya kujibu swali unapuyanga kama kuku aliekatwa kichwa, narudia huwezi kupinga andika kwa porojo wewe , kajipange
imesema yakobo hakuwa na dini. ila alimwabudu Mungu moja kwa moja, sio kupitia dini kama wewe ulivyokaririshwa.
 
imesema yakobo hakuwa na dini. ila alimwabudu Mungu moja kwa moja, sio kupitia dini kama wewe ulivyokaririshwa.
Lete andiko ambalo linasema Yakobo hakuwa na Dini? usichanganyikiwe kuna vitu viwili wewe kusema na andiko kusema, haya lete andiko
 
Lete andiko ambalo linasema Yakobo hakuwa na Dini? usichanganyikiwe kuna vitu viwili wewe kusema na andiko kusema, haya lete andiko
we mgumu sana kuelewa, nadhani ulichosema ni kweli kwamba ili uwe muislam ubongo wako wote unatakiwa kupakuliwa na kuwekwa hewa, hauna uwezo kufikiri na siwezi kupoteza muda kuendelea kujadili na mtu kama wewe.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Nishtue ukifikia kwenye mafundisho ya mtume kuwa dunia imejiegesha mgongoni mwa nyangumi.
 
Back
Top Bottom