Kwanini hiyo luga mbaya alietumia Mdude haiwekwi wazi? inwezekana ni ile kusema Raisi akileta "jeuri" na jeuri maana yake ukaidi, na maana yake ni kukataa kila jambo jema unaloshauriwa bila sababu yoyote.
Wembe uleule niliomnyoleya MWENDAZAKE, inawezekana Mdude anaamini mabaya aliokuwa akimwombea mwendazake kwa mola, ndio yaliosababisha aendezake.