MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka.
Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.
Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.
Waliozoea kufanya siasa za UDALALI wameanza kutoka mashimoni na kujianika hadharani wao wenyewe.Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka.
Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.
Fukuda wakaanzishe chama Chao wqgombee ubunge na udiwani. Chadema siyo Mali yao na familia zaoLissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka.
Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.