MABATI YA SUNBAK TANZANIA JF-Expert Member Joined Jan 10, 2025 Posts 217 Reaction score 577 Apr 6, 2025 #1 Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.
Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.
M Mushkov JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 667 Reaction score 1,403 Apr 6, 2025 #2 Multaza Hr said: Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi. Click to expand... Waliozoea kufanya siasa za UDALALI wameanza kutoka mashimoni na kujianika hadharani wao wenyewe.
Multaza Hr said: Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi. Click to expand... Waliozoea kufanya siasa za UDALALI wameanza kutoka mashimoni na kujianika hadharani wao wenyewe.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 Apr 6, 2025 #3 Multaza Hr said: Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi. Click to expand... Fukuda wakaanzishe chama Chao wqgombee ubunge na udiwani. Chadema siyo Mali yao na familia zao
Multaza Hr said: Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi. Click to expand... Fukuda wakaanzishe chama Chao wqgombee ubunge na udiwani. Chadema siyo Mali yao na familia zao