Huruma za kibinadamu wakati mwingine zinaponza

Kuna wahuni watakuja kucoment
"Usimuonee huruma mwanamke"
Aaah kabisa bro , Usimuonee huruma kwa kutegemea kupata kitu fulani ukimpa mpe tu kama umesaidia stranger usiemjua lakini kama unatoa ukitegemea utaendelea kusimika nafasi yako kwenye moyo wake asee utapigwa nyundo ya kichwa
 
Hapo tamaa za maisha mazuri zimeuzidi uwezo wake. Na watu kama hao nikumuomba Mungu tu tusioe mwanamke au mwanamke asiolewe na watu wa aina hiyo. Ni watu hatari. Ukimjuq mtu km.huyo mapema hata kama umemuoa achana nae tu mapema mtasumbuana
 
😊😊Haha nna rafiki yangu wa kike nakumbuka alikua na shida kama ya 20k nikampa nikakaa wiki moja akawa analeta dalili za kummega tunda nikashtuka nikawa namkwepa siku nikamwambia alipe deni akalipa vizuri tu ……Ukimla tu huyo bi dada nakwambia utakua kitega uchumi wake kama huna maisha mkope ikiwezekana kwa mkataba
 
Ulimpenda anashida msaidie .

Kweli ni hayoo tu ila asikuzoee .

Mke wamchungaji aha! Maisha bila mume ni mbaya hali za kupewa mapenzi Kwa Sasa ni lazima vyakula vingi nidawa ya mapenzi so ukishakula hata kama upo kazini unawaza ngono
 
Si kwamba unahasira za kukataliwa mkuu..?[emoji23]
Stori ili ibalance muite na huyo dada aeleze tusije mnanga dada wa watu kumbe kunamazito ndani yake!
Jamaa lina shobo naye sana. Ona kumbe lilikataliwa. Now wanaligeuza chuma ulete. Kweli ushamba mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…