Huruma za kibinadamu wakati mwingine zinaponza

Huruma za kibinadamu wakati mwingine zinaponza

Nshamsaidia msister hivi total 250k shida kweli kweli kwamba atanrudishia

Hadi leo ni mwaka aliniblock na urafiki ulikufa

Hawa viumbe sinaga huruma nao tena
Muwe mnajifunza kuacha shobo nyie k3ng3(samahani kwa tusi, nimekwazika sana)
 
Ndo lugha zao, utasikia nimekumiss hatari [emoji16]

Nakubaliana na mdau aliyesema usimuonee hurum mwanamke.
@Robert Heriel ubalikiwe sana,nilijifunza kuwa ivi nilivyo kutok kwenye nyuzi zako
 
Muwe mnajifunza kuacha shobo nyie k3ng3(samahani kwa tusi, nimekwazika sana)
Mimi nikiona mwanaume anasema nina rafiki wa kike (kama hamkazi au mbia wa kibiashara) huwa namuona kama fala sana. Platonic friendships between genders only benefit the woman.

Mwanamke akipata issue kidogo the first thing she does ni kuangalia phonebook and try to contact the closest man for help. You have to be a bumbling idiot to be "just friends" with a woman, as a man. There are 1000 ways for her to exploit that friendship, but zero ways for you to benefit.

Personally, I don't do "female friends" crap because I know its not beneficial. Its blood, money, or sex...nothing else.
 
Back
Top Bottom