Husband is needed

Umejibu kwa weledi wa hali ya juu. Hongera kwa kupata B ya hesabu. Kama pilau unajua kupika basi haina shida chapati tutanunua kwa jimama fulani jirani. Uje PM tuendelee na hatua muhimu zinazofuata. Umri wako wa 29yrs ni mzuri.
 
mkuu hana kadi ya ccm pengine ana kadi ya chadema msije mkawa wapinzani
 
Nakumbuka pale mgomeni demu wa kirangi alifumaniwa na mume wa mwanamke mwenzie asee.

Kesho yake huyo namuona demu anaosha vyombo nje ya nyumba yao.

Nikapiga mstari mwekundu.

Warangi ni pisi kali ila asee wanapenda kuchovywa chovywa sana japo sio wote. WARANGI PEPO YENU MNAYO.
 
Masharti mengi mno
Dada usikariri maisha
Kwani lzm awe anaishi dar?
😅
 
Huyu wa hii sifa nafikiri nanda AI wakutengenezee
 
financially stable? we acount yako ya benki inasoma milioni mia ngapi? KATAA NDOA NDOA NI UNYONYAJI MTU AKIPIGIKA NA MAISHA ANAKIMBILIA KUOLEWA
 
Aisee...sii mchezo. Vipi sie wenye vibamia tunaweza tuma maombi? Hela ya kutunza ninayo ila ni kibamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…