Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Wachovu wa moyo Hawa 🤣Wanao bet wanaruhusiwa kuja PM ?
Tumeiba nini tena ndugu yangu 😅Nyie ndio wale wale wezi wa kimya kimya
Nyie huu ujana upo kasi mtu anajifanya anakupa support uku unaibiwa taratibuTumeiba nini tena ndugu yangu 😅
Kweli vigezo na masharti vikizinagatiwa mambo huwa yanaenda mrama 🙄I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Tusikupatie support?🤣Nyie huu ujana upo kasi mtu anajifanya anakupa support uku unaibiwa taratibu
funky anology mke huyu hapa unganisheni nyuziI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Duuuh kwani mabonge tuna nini?Usiwe bonge
Mwanaume financial stable inatosha ivyo vigezo vingine vyakutafutia mwanamke siyo mwanaumeYani hapo ilifaa aweke kigezo kimoja tu Cha Awe Financial stable vingne vyote havina maana
Haki ya Mungu, mi mwenyew sijawahi kuona, huyu ndio wa kwanza 🤣🤣Kamba hizi.
Sijawahi kuona mrangi mkristo. Wewe utakuwa msandawe.
Kigezo hiki kinashangaza na ni myopic. Vipi huyo mume akiwa na kilo 70 sasa hivi halafu akamwoa mbususu ikamkubali akafumuka kama kifutu. Ndoa itakufa?Wakuu mkapime uzito kama kweli mnakubalika, yaani uzito ni moja ya vigezo😅😅
Huyu hapa mshindwe wenyewe funky anologyYukwapi mtag please.
Hapana bestii.Mume wa mtu vipi anakubalika?
Jiulize kama kweli unahitaji mwanamme wa kuishi naye ama unataka ndoa?I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.