Husband is needed

Husband is needed

Kuna vitu vya kushindana na kuna vitu vya kutoshindana, sasa mim kam namwambia kuna Warangi tunakula nao kitimoto na ni wakristo alaf yey anabisha sasa utalazimisha
Kama ni mimi nitakomaa kujenga hoja yangu.

Mie nimekaa Pahi kwa warangi wapo wakristo na Waislam pia wapo, sasa FaizaFoxy kakutisha kidogo ukampa ushindi, sijapenda kwa kweli 😂
 
Mapenzi sio siri, aseme tu...kaka niko tayari...hapo ndio tuhamie pm kuyajenga
Kaza buti kijana maisha ni mafupi halafu huko mbinguni (kwa wakristo) hakuna kuoana so ukifa ndo umekufa na mbegu zako za kiume, changamka mapema kabla hujafa.
 
Una kadi hai ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Una C ya Basic Maths O-level? Unajua kupika vizuri chapati za kusukuma? Utaweza kuwa mtiifu hata kwa maagizo usiyoyapenda?

Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na nina sifa zote unazozihitaji hasa hiyo ya "Financial stable"
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
Mwanaume kuwa na uzito 60 kg unataka mbilikimo? Mimi siyo bonge ila uzito wangu 86. Hizo 63 kg nilikuwa nazo nikiwa form four.
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
Umri na makazi vimenikosesha mrembo wa kirangi!
Masare yasambukire!
 
Kamba hizi.

Sijawahi kuona mrangi mkristo. Wewe utakuwa msandawe.
Acha udini, warangi wakatoliki wengi sana. Jimbo kuu dodoma mapadre, masista, waumini wengi warangi. Kule kondoa kuna jimbo kabisa maana warangi ni wengi sana. Nenda Haubi, Itololo, hurui ni RC manazi.
Acha udini.
 
financially stable huku mwenyewe umeigika, anza kwanza kuwa nawewe financially stable halafu utafute mwenzio wakufanana.

kama umepigika tafuta aliyepigika mwenzio.
 
Back
Top Bottom