Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha matokeo kitakusaidia vipi kujua huu ni uchawi au si uchawi?Utajua Kwa kutazama chanzo na matokeo
Ukishakuwa tu na husda na roho mbaya automatically unakuwa mchawiHapana. Husda ni husda, roho mbaya ni roho mbaya.
Mtu anaweza kuwa na husda na roho mbaya bila ya kuamini uchawi.
Huja define uchawi ni nini bado.
Hapana.Ukishakuwa tu na husda na roho mbaya automatically unakuwa mchawi
Kama matokeo hayaendani na chanzo cha kisayansi Basi tunasema huo ni uchawi.Chanzo cha matokeo kitakusaidia vipi kujua huu ni uchawi au si uchawi?
Tupe mfano wa kuthibitisha huu ni uchawi, na si kitu kingine chochote ambacho hukielewi tu.
Utajuaje matokeo hayaendani na chanzo cha kisayansi wakati hiyo sayansi yenyewe huijui yote?Kama matokeo hayaendani na chanzo cha kisayansi Basi tunasema huo ni uchawi.
Mfano ili upate maji unahitaji 2 Oxygen plus 3 hydrogen.
Kama utapata maji bila ya 2Oxygen plus 2Hydrogen then tunasema huo ni uchawi.
Umetumia sayansi isiyo julikana kufikia matokeo yanayo julikana
Utajuaje matokeo hayaendani na chanzo cha kisayansi wakati hiyo sayansi yenyewe huijui yote?
Ukimchukua babu aliyefariki Africa miaka 200 iliyopita umfufue leo, umuoneshe TV, umuoneshe ndege zinavyoruka, umuoneshe tunavyowasiliana kwenye internet, umuoneshe madawa yanavyoponesha, ataona huu ni uchawi tu.
Hata kama hayo yote ni sayansi tu, hakuna uchawi.
Sasa na wewe unajuaje huo unaofikiri ni uchawi ni uchawi kweli na si kitu kingine ambacho hukijui tu?
Binadamu hajazaliwa kuwa na chuki anajifunza. Mfano Temeke mwaka 2013 kuna shule ya kilokole ilifungwa Kwa sababu walikuwa Wana wafundisha watoto chuki.Issue ya vyeo au madaraka ni ya kibinadamu sio ya kitaaluma. Hata usome vipi huwezi ondoa tabia za kiasili za binadamu kama husda, chuki, roho mbaya, hasira n.k.
Kuna mamilioni ya watu ambao wamesoma hiyo Prussian education system lakini hawauani kwa sababu ya vyeo, huyo dada hii ni tabia yake tu
Sawa, lkn kuwepo kwake kunakusaidiaje kimaisha??,,mtu ukijua maana ya elimu na kuikumbatia imani ilo sawa na ya kweli,uwezi kwenda kwa kalumanzira.Lakini uchawi Upo
umechanganya mambo, elimu iwe ya ukoloni au ya wapi inahusiana vp na roho binafsi ya mtu. We una shid ana elimuHuyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters.
Na rafikiye ana Masters pia.
Walikuwa wanafanya Kazi idara moja.
Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo.
Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe.
Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters..
This means what? Elimu ya mkoloni( Colonial Education) bado haijaweza kumkomboa mtu mweusi, Kwa sababu inafuata mtaala ambao Upo chini ya mfumo wa ( Prussian Education System)
Google ujue Nini maana ya PRUSSIAN EDUCATION SYSTEM.
Elimu hii ya kikoloni imeshindwa kusolve Tatizo la Husda ( The problem of Envy) ambalo ni moja kati ya vyanzo vikuu vya matatizo karibu yote yanayo wakumba waafrika na watu weusi duniani kote Kwa ujumla
( Ninafanya utafiti kuhusu " The problem of Envy". Utafiti utakao solve Tatizo la Husda Afrika na duniani Kwa ujumla. Moja kati ya mambo ambayo sitaki kuyaona duniani ni the evil problem of envy)
Ukitaka kujua elimu ya mkoloni haijawahi kumsaidia mwafrika nenda kafanye tafiti kwenye vilinge vya waganga hasa wale wanaoua kichawi.
Mamia Kwa maelfu ya wafanyakazi wa idara mbalimbali za serikali na taasisi binafsi wanarogana, kuuana kutengenezeana ajali za kichawi kutupiana maradhi ya kichawi NK Kwa vitu vya kijinga jinga kama eti vyeo nakadhalika..
Naendelea kuwasikitikia watanzania masikini wanao jistress kulipa Kwa tabu mamilioni kwenye shule za kitanzania zinazo tumia mtaala wa Necta.
Mwisho wa siku mtoto wako atakuwa tu kama huyu Dada Masters Holder wa Nigeria alie muua mwenzake Kwa sumu Kwa sababu ya Husda.
He or she will be envious or other people's success.
Shule pekee inayo weza kumtengeneza mtoto wako katika viwango hivyo vya kuwa juu ya Tatizo la envious ni shule za mtaala wa Cambridge za kulipa Dola elfu 30 Kwa mwaka.
Vinginevyo unacheza makida makida.
Haya Sasa twende Kazi..... Kimbia haraka Sana nenda kamtoe mtoto wako shule ya Ems mrudishe Kayumba.
Msimamie kwa ukaribu , mnunulie vitabu asome.
Thank me later
🙏🙏🙏🙏
View attachment 3226818
sumu siyo uchawi, hayo mambo yapo dunia nzima acheni kujitukana.Waafrika wengi bado wanaamini uchawi uchawi, hata elimu ya darasani haiwasaidii.
Unajuaje uchawi ni sayansi?Atakuwa na haki ya kuamini kwamba ni uchawi Kwa sababu Kwa definition ya uchawi, internet miaka mia 2 iliyo pita Inge fall kwenye category ya uchawi, Kwa sababu still bado ingekuwa ni sayansi ( maarifa ya Siri/ yasiyo julikana na public)
Na huo ndio msingi wa uchawi wenyewe.
Msingi wa uchawi ni usiri mkubwa Sana ndio maana mchawi akitoa Siri anakuwa.
Kwa sababu akitoa Siri hizo kila mtu atajua maarifa Yao na kila mtu akijua maarifa Yao then uchawi unakuwa hauna mantiki Tena Kwa sababu inakuwa Sio Siri Tena.
Hata hiyo internet yenyewe ukisoma" The history of internet" utagundua kwamba ilikuwa inatumika kama silaha ya kijeshi na ni watu wachache walikuwa wanaweza kutumia internet na computer Kwa ujumla wake.
Serikali kuu ya dunia ili ruhusu matumizi ya internet Kwa umma baada ya wataalamu wa internet ku develop advanced IT technology ambayo isinge athiriwa na umma kuwa na basic knowledge ya computer na internet.
Ndio maana inaitwa sayansi ya Siri yani uchawi . Kutokujua kwangu Mimi ndo kunafanya uitwe uchawi
Hujaelewa somo.sumu siyo uchawi, hayo mambo yapo dunia nzima acheni kujitukana.
Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters.
Na rafikiye ana Masters pia.
Walikuwa wanafanya Kazi idara moja.
Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo.
Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe.
Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters..
This means what? Elimu ya mkoloni( Colonial Education) bado haijaweza kumkomboa mtu mweusi, Kwa sababu inafuata mtaala ambao Upo chini ya mfumo wa ( Prussian Education System)
Google ujue Nini maana ya PRUSSIAN EDUCATION SYSTEM.
Elimu hii ya kikoloni imeshindwa kusolve Tatizo la Husda ( The problem of Envy) ambalo ni moja kati ya vyanzo vikuu vya matatizo karibu yote yanayo wakumba waafrika na watu weusi duniani kote Kwa ujumla
( Ninafanya utafiti kuhusu " The problem of Envy". Utafiti utakao solve Tatizo la Husda Afrika na duniani Kwa ujumla. Moja kati ya mambo ambayo sitaki kuyaona duniani ni the evil problem of envy)
Ukitaka kujua elimu ya mkoloni haijawahi kumsaidia mwafrika nenda kafanye tafiti kwenye vilinge vya waganga hasa wale wanaoua kichawi.
Mamia Kwa maelfu ya wafanyakazi wa idara mbalimbali za serikali na taasisi binafsi wanarogana, kuuana kutengenezeana ajali za kichawi kutupiana maradhi ya kichawi NK Kwa vitu vya kijinga jinga kama eti vyeo nakadhalika..
Naendelea kuwasikitikia watanzania masikini wanao jistress kulipa Kwa tabu mamilioni kwenye shule za kitanzania zinazo tumia mtaala wa Necta.
Mwisho wa siku mtoto wako atakuwa tu kama huyu Dada Masters Holder wa Nigeria alie muua mwenzake Kwa sumu Kwa sababu ya Husda.
He or she will be envious or other people's success.
Shule pekee inayo weza kumtengeneza mtoto wako katika viwango hivyo vya kuwa juu ya Tatizo la envious ni shule za mtaala wa Cambridge za kulipa Dola elfu 30 Kwa mwaka.
Vinginevyo unacheza makida makida.
Haya Sasa twende Kazi..... Kimbia haraka Sana nenda kamtoe mtoto wako shule ya Ems mrudishe Kayumba.
Msimamie kwa ukaribu , mnunulie vitabu asome.
Thank me later
🙏🙏🙏🙏
View attachment 3226818
Hapana, hata mauzauza yasiyo sayansi yanaweza kuleta matokeo yanayooneakana.Kwa sababu sayansi ndio yenye uwezo wa kuleta matokeo yanayo onekana
Hao watoto hawakufundishwa, ila walichochewa tabia ambayo ipo tayari ndani mwao, ukifika nchi zilizoendelea ambazo zina mitaala unayoisifia utakuta tabia hizihizi za husda kama Bongo tu....kama una exposure kama mimi utanielewa vizuriBinadamu hajazaliwa kuwa na chuki anajifunza. Mfano Temeke mwaka 2013 kuna shule ya kilokole ilifungwa Kwa sababu walikuwa Wana wafundisha watoto chuki.
Mwalimu anawapa watoto chocolate anawaambia " Mnaiona hii ? Hii ya Yesi hii"
Baadae ana waonyesha vitu Vibaya Vibaya anawaambia " Mnaona hii? Ya mtume hii, ya mtume hii"
Shule bado inayo nafasi ya kumuondolea binadamu uwezo wa kuwa na husda