Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

Hao watoto hawakufundishwa, ila walichochewa tabia ambayo ipo tayari ndani mwao, ukifika nchi zilizoendelea ambazo zina mitaala unayoisifia utakuta tabia hizihizi za husda kama Bongo tu....kama una exposure kama mimi utanielewa vizuri
What is exposure?
 
Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters.

Na rafikiye ana Masters pia.

Walikuwa wanafanya Kazi idara moja.

Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo.

Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe.

Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters..

This means what? Elimu ya mkoloni( Colonial Education) bado haijaweza kumkomboa mtu mweusi, Kwa sababu inafuata mtaala ambao Upo chini ya mfumo wa ( Prussian Education System)

Google ujue Nini maana ya PRUSSIAN EDUCATION SYSTEM.

Elimu hii ya kikoloni imeshindwa kusolve Tatizo la Husda ( The problem of Envy) ambalo ni moja kati ya vyanzo vikuu vya matatizo karibu yote yanayo wakumba waafrika na watu weusi duniani kote Kwa ujumla

( Ninafanya utafiti kuhusu " The problem of Envy". Utafiti utakao solve Tatizo la Husda Afrika na duniani Kwa ujumla. Moja kati ya mambo ambayo sitaki kuyaona duniani ni the evil problem of envy)

Ukitaka kujua elimu ya mkoloni haijawahi kumsaidia mwafrika nenda kafanye tafiti kwenye vilinge vya waganga hasa wale wanaoua kichawi.

Mamia Kwa maelfu ya wafanyakazi wa idara mbalimbali za serikali na taasisi binafsi wanarogana, kuuana kutengenezeana ajali za kichawi kutupiana maradhi ya kichawi NK Kwa vitu vya kijinga jinga kama eti vyeo nakadhalika..

Naendelea kuwasikitikia watanzania masikini wanao jistress kulipa Kwa tabu mamilioni kwenye shule za kitanzania zinazo tumia mtaala wa Necta.

Mwisho wa siku mtoto wako atakuwa tu kama huyu Dada Masters Holder wa Nigeria alie muua mwenzake Kwa sumu Kwa sababu ya Husda.

He or she will be envious or other people's success.

Shule pekee inayo weza kumtengeneza mtoto wako katika viwango hivyo vya kuwa juu ya Tatizo la envious ni shule za mtaala wa Cambridge za kulipa Dola elfu 30 Kwa mwaka.

Vinginevyo unacheza makida makida.

Haya Sasa twende Kazi..... Kimbia haraka Sana nenda kamtoe mtoto wako shule ya Ems mrudishe Kayumba.

Msimamie kwa ukaribu , mnunulie vitabu asome.

Thank me later
🙏🙏🙏🙏

View attachment 3226818
Hakuna elimu hata moja itakayotatua tatizo la wivu, hakuna.
 
Hii tariff ina zaid ya miak mitatu hiv...sijajua lengo lako ni nini?kwamba kama kuna ajali tusipande tena usafir wowote?
 
Hii tariff ina zaid ya miak mitatu hiv...sijajua lengo lako ni nini?kwamba kama kuna ajali tusipande tena usafir wowote?
Ilitokea 2019
Labda mleta mada ana jambo lake ama kukumbushana jambo maana leo ni alhamisi wenyewe wanaita TBT
 
Mtu ukifuata imani yako kisawasawa na ukamcha mungu na ukapata elimu dunia,huwezi kuwa na husuda,ubaguzi,nk,,kwa kuwa imani inakupa hekima,busara,uvumilivu na upendo kwa wengine,,haya yanatokea kwasababu yakukosa imani yako ya kweli ya kumcha mungu kwa kufata maamrisho yake.
 
Back
Top Bottom