Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

Hao watoto hawakufundishwa, ila walichochewa tabia ambayo ipo tayari ndani mwao, ukifika nchi zilizoendelea ambazo zina mitaala unayoisifia utakuta tabia hizihizi za husda kama Bongo tu....kama una exposure kama mimi utanielewa vizuri
What is exposure?
 
Hakuna elimu hata moja itakayotatua tatizo la wivu, hakuna.
 
Hii tariff ina zaid ya miak mitatu hiv...sijajua lengo lako ni nini?kwamba kama kuna ajali tusipande tena usafir wowote?
 
Hii tariff ina zaid ya miak mitatu hiv...sijajua lengo lako ni nini?kwamba kama kuna ajali tusipande tena usafir wowote?
Ilitokea 2019
Labda mleta mada ana jambo lake ama kukumbushana jambo maana leo ni alhamisi wenyewe wanaita TBT
 
Mtu ukifuata imani yako kisawasawa na ukamcha mungu na ukapata elimu dunia,huwezi kuwa na husuda,ubaguzi,nk,,kwa kuwa imani inakupa hekima,busara,uvumilivu na upendo kwa wengine,,haya yanatokea kwasababu yakukosa imani yako ya kweli ya kumcha mungu kwa kufata maamrisho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…