Tetesi: Hushpuppi hatima ya tuhuma zake fraud na scam zimefikia wapi?

Tetesi: Hushpuppi hatima ya tuhuma zake fraud na scam zimefikia wapi?

Tulia wewee,wanashow off hustle zao unaumia nini?
.....................Ni ujinga tu,yuko wapi sasa si huyo hapo wameshamng'ang'ania?angekaa kimya angeendelea kutusua mdogo mdogo ila miluzi yake mwenyewe imemuuza.

Yupo jamaa mmoja wa kiarabu ni hacker nadhani ni mu-Algeria yeye ishu zake alikuwa anapiga kwenye ma international banks tu yaani alikuwa akipata upenyo kidogo anasafisha account ila alikuwa hamiliki hata Altezza hata siku alipokamatwa Thailand huko hawakuamini kama ni yeye kwa jinsi alivyokuwa amevaa ila hii rangi ya mkaa hela kidogo tu server za mitandao zinajaa mapicha mapicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....................Ni ujinga tu,yuko wapi sasa si huyo hapo wameshamng'ang'ania?angekaa kimya angeendelea kutusua mdogo mdogo ila miluzi yake mwenyewe imemuuza.

Yupo jamaa mmoja wa kiarabu ni hacker nadhani ni mu-Algeria yeye ishu zake alikuwa anapiga kwenye ma international banks tu yaani alikuwa akipata upenyo tu anasafisha account ila alikuwa hamiliki hata Altezza hata siku alipokamatwa Thailand huko hawakuamini kama ni yeye kwa jinsi alivyokuwa amevaa ila hii rangi ya mkaa hela kidogo tu server za mitandao zinajaa mapicha mapicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio ujinga wetu unapoanzia.
 
iv huyu jamaa anamzid marehemu Ginimbi?
Kwa hapo aisee ni pagumu kuelewa lakini kwa hesabu za fasta fasta nimeanza kuwajua wote hao Hush na Ginimbi muda tu na niseme kwamba Ginimbi bado yuko vizuri zaidi ya Hush, yaani Hush hawezi kuta kitu kwa Boss G japo kwenye darasa huyu Hush yuko modernized.

Ginimbi alikuwa ana mafaranga ambayo huwezi kuyapima afu nature ya biashara zake zinazo onekana ni oil na gas achilia mbali na clubs and entertaiments, pia huyu Ginimbi amewahi kudeal na miradi mikubwa ya dhahabu huko South na Zimbabwe, bado ana autobiograph ya luxurious cars hii yeye ni kama ambassador, still nchi ya Zimbabwe ilishampa jamaa uhuru wa yeye kuwekeza bila vikwazo na kufanya exploitations ya investment yoyote, Ginimbi alikuwa na buzness South Africa, Botswana hadi Namibia ana transport oil na gas between Southern Countries. Expensive items ni Domboshava estate harare alipo kuwa akiishi and its a new mansion domboshava, Built house in South africa and Botswana both of them ni estates mansion.

Hush yeye yupo currently modernized wealth man anawin according to new technology, mzee wa kufraud na kuchota dola ila pia anatokea familia au anapigwa pande na mmoja wa kiongozi mkubwa huko naija, yeye anaishi maisha Dubai zaidi nothing knows about his real estates au amerent them per time piece.
 
.....................Ni ujinga tu,yuko wapi sasa si huyo hapo wameshamng'ang'ania?angekaa kimya angeendelea kutusua mdogo mdogo ila miluzi yake mwenyewe imemuuza.

Yupo jamaa mmoja wa kiarabu ni hacker nadhani ni mu-Algeria yeye ishu zake alikuwa anapiga kwenye ma international banks tu yaani alikuwa akipata upenyo tu anasafisha account ila alikuwa hamiliki hata Altezza hata siku alipokamatwa Thailand huko hawakuamini kama ni yeye kwa jinsi alivyokuwa amevaa ila hii rangi ya mkaa hela kidogo tu server za mitandao zinajaa mapicha mapicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea uoneshe ajakamatwa kumbe showoff ajanya na kadakwa

Sasa pont yako nini
 
Huyu hapa baba lao money man Mompha real name Mustapha.
 
Attachments

  • 20201226_082007.jpg
    20201226_082007.jpg
    98.7 KB · Views: 4
  • 20201226_081913.jpg
    20201226_081913.jpg
    61.5 KB · Views: 4
  • 20201226_081851.jpg
    20201226_081851.jpg
    71.1 KB · Views: 4
  • 20201226_081830.jpg
    20201226_081830.jpg
    62.3 KB · Views: 4
Sasa pont yako nini

Kwanza uelewe ukishakuwa mtu wa kucheza na mitandao hasa ukiwa kwenye industry ya magumashi ukitakiwa na mamlaka muda wowote unaokotwa ila isiwe kizembe kama huyu jamaa,wape watu kazi kidogo.

Yeah japo alikamatwa ila alisumbua mamlaka,almost miaka mitano alikuwa anapishana nao unadhani angekuwa anafanya showoff angedumu muda huo wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom