Tetesi: Hushpuppi hatima ya tuhuma zake fraud na scam zimefikia wapi?

Tetesi: Hushpuppi hatima ya tuhuma zake fraud na scam zimefikia wapi?

Chakula cha jela za huko USA huli ukashiba sababu jela zao wanagawa chakula kwa kupima "calories" kwa hiyo bado inakuwa jela tu
 
Naona afisa mkubwa wa polisi Nigeria
Kajumuishwa kwenye kesi yake!
Anatakiwa naye huko

Ova
 
Back
Top Bottom