Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Either hutambui maana ya "Hustle"or humjui Floyd Mayweather...au labda hukufikiria vizuri wakati una comment.Aliyehustle hawezi show off
Hatari...yaani mtu anatoka machimbo kupata hela kwa kazi ngumu...lakini anaenda kufunga bar watu wanywe bure.Pesa zina wenge sana
Mwingine huyu !anashugulika na nini?Huyu hapa baba lao money man Mompha real name Mustapha.
Berue de exchange in dubai yaan hizo ndio mishe zake kubwa ana C.E.O BERUE DE EXCHANGE IN DUBAI kama ilivokuwa kwa Laswai wa moshi. Mompha ni top officer.Mwingine huyu !anashugulika na nini?
Kama anafanya magumashi soon watamuokota
Ova
Dah nimecheka sana rangi ya mkaa. Yani nigga ni mtu wa ajabu sana.....................Ni ujinga tu,yuko wapi sasa si huyo hapo wameshamng'ang'ania?angekaa kimya angeendelea kutusua mdogo mdogo ila miluzi yake mwenyewe imemuuza.
Yupo jamaa mmoja wa kiarabu ni hacker nadhani ni mu-Algeria yeye ishu zake alikuwa anapiga kwenye ma international banks tu yaani alikuwa akipata upenyo kidogo anasafisha account ila alikuwa hamiliki hata Altezza hata siku alipokamatwa Thailand huko hawakuamini kama ni yeye kwa jinsi alivyokuwa amevaa ila hii rangi ya mkaa hela kidogo tu server za mitandao zinajaa mapicha mapicha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemkamata kijinga sana, alipost picha za birthday yake, FBI waka confirm identity yake kwenye US visa application kwa ku match date of birth ya visa application na yake.
Mara ya mwisho kesi yake ilitajwa ovwr the summwr huku alikuwa kafungwa rumande Chicago.
Ujanja mwingi, mbele kiza.
Yani hata mimi sina zali yoyote na serikali najua ku post birthday social media ni janga.
Sometime you can take the kid out of the village, but you can't take the village out of the kid.
Mafiosi old school wanasema kutengeneza hela haramu si kazi sana, kazi sana ni kuendelea kuishi kama huna hela wakati una hela haramu kibao.
Kuna kinyegenyege fulani cha kutaka watu wakujue.
Waswahili wanasema "Masikini akipata, matako hulia mbwata"
Ndiyo maana huwezi kusikia watoto wa Bill Gates wanajishaua na magari ya kifahari Instagram. Ni vitu fulani ambavyo hawahitaji kuvilimbukia.
![]()
He flaunted private jets and luxury cars on Instagram. Feds used his posts to link him to alleged cyber crimes | CNN
A federal affidavit alleged his extravagant lifestyle was financed through hacking schemes that stole millions of dollars from major companies in the United States and Europe.www.google.com
Inakuwaje melkiory 😆😆😆Fanya kazi wewe
yaan kakubali??Hatimae hushpuppi kakiri mashtaka.
Kakubali yaishe. Anasubiri namba tu sasa.yaan kakubali??
daaaahKakubali yaishe. Anasubiri namba tu sasa.
Atapigwa aka 12......Kakubali yaishe. Anasubiri namba tu sasa.