Burnaboy JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 1,070 Reaction score 1,439 Jul 30, 2021 #61 ras jeff kapita said: Atapigwa aka 12...... Click to expand... Wanasema kama 20 hivi. Ila ashukuru kule afadhali kuliko angefungwa Afrika.
ras jeff kapita said: Atapigwa aka 12...... Click to expand... Wanasema kama 20 hivi. Ila ashukuru kule afadhali kuliko angefungwa Afrika.
Burnaboy JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 1,070 Reaction score 1,439 Jul 30, 2021 #62 ras jeff kapita said: Atapigwa aka 12...... Click to expand... Kule anaweza pata muda wa kusoma. Akitoka anarudi naija, anafungua kanisa anapiga hela tena.
ras jeff kapita said: Atapigwa aka 12...... Click to expand... Kule anaweza pata muda wa kusoma. Akitoka anarudi naija, anafungua kanisa anapiga hela tena.
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,490 Reaction score 7,422 Jul 30, 2021 #63 Chakula cha jela za huko USA huli ukashiba sababu jela zao wanagawa chakula kwa kupima "calories" kwa hiyo bado inakuwa jela tu
Chakula cha jela za huko USA huli ukashiba sababu jela zao wanagawa chakula kwa kupima "calories" kwa hiyo bado inakuwa jela tu
Mirlz B Matthew JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 2,212 Reaction score 3,093 Jul 30, 2021 #64 Burnaboy said: Wanasema kama 20 hivi. Ila ashukuru kule afadhali kuliko angefungwa Afrika. Click to expand... Jela ni jela tu mkuu....ata mbele kuna vitendo vya kinyama...!!
Burnaboy said: Wanasema kama 20 hivi. Ila ashukuru kule afadhali kuliko angefungwa Afrika. Click to expand... Jela ni jela tu mkuu....ata mbele kuna vitendo vya kinyama...!!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 30, 2021 #65 Naona afisa mkubwa wa polisi Nigeria Kajumuishwa kwenye kesi yake! Anatakiwa naye huko Ova
King Loto JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,581 Reaction score 1,357 Jul 31, 2021 Thread starter #66 Burnaboy said: Hatimae hushpuppi kakiri mashtaka. Click to expand... Mvua nyingi zinamuhusu.