Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Na hata awamu hii ukionekana unakula bata tu,kifuatacho ni tukutane kwa DPP.

Waafrica kutopenda wenzetu wale bata ni kawaida tu hio.
 
Huwa najiuliza hawa wanaijeria wanapataje hela za ku floss namna hii na ndio wanawatia uchizi vijana wa kibongo wanakuwa mateja at last
Yahooo Boys . Kuna mnaija nilikuwa ninaishi naye apartment flani maeneo ya makumbusho. Jamaa alikuwa anaweza kaa ndani hata mwezi akitoka labda anaenda dukani na kurudi, ila siku akimaliza mision yake anaenda showroom anachukua na ndinga ya maana kabisa anakula bata wee.
 
Sema jamaa wachafu sana kwenye information systems. Wanajua kucheza nazo ile hatari hatari.
 
Wako vzur sana na mambo ya online scamming , halafu chs ajabu they are known world wide kwa utapeli But still watu they fall into their trap
 
Wako vzur sana na mambo ya online scamming , halafu chs ajabu they are known world wide kwa utapeli But still watu they fall into their trap
Sana na wadada na wake za watu pia. Kuna mmoja alikuwa anaishi Dubai alikuwa well known ukiwa dubai ukitaka lala hotel ya kifahari unamuona yeye unampa kiasi flani anakuingiza tu
 
Sana na wadada na wake za watu pia. Kuna mmoja alikuwa anaishi Dubai alikuwa well known ukiwa dubai ukitaka lala hotel ya kifahari unamuona yeye unampa kiasi flani anakuingiza tu

Nilikua na Rafik yangu mnigeria , yeye huwa anawatapeli sana wazungu , anaingia kwenye mtandao , hizi dating sites , anajifanya demu anatengeneza prfile ya mwanamke then anachat na wazungu, huwa wana collaborate na madem kwenye kuongea nao kwenye simu hili kuthibitisha kuwa ni wao , na alikua anatengeneza pesa ndefu sana .

Wabongo wengi tumezubaa sio wajanja kama wanaigeria, those people they know how to make money hawalali na njaa

I had a friend in Dubai also Nigerian , yeye alikua anajiuza yeye mwenyewe , anauza madawa ya kulevya, anauza watu , Ana deal ns wizi wa pesa za mitandaon , yan hakuna biashara haramu ambayo hafanyi[emoji23], yan utafikir wana mapepo.

Japokua watu wanaona wana roho ngumu , wanaigeria wengi wana huruma na upendo, japokua wana makelele sana na ni wakorofi, ukiishi na mnigeria huwez kulala njaa mjin
 
Wanaija noma, hawako after money. Hata India wanauza wanawake toka africa ni Wanaija. Ila wana akili sana sana.
 
Halafu kitu kingine ni wachawi sana , huwezi kukuta mnigeria anafanya biashara haramu bila kutumia nguvu za Giza
Hili sikulijua. Kumbe wanatumia pia nguvu za giza. Sema wa west africa ndivyo walivyo na wacameroon pia nao naona wanafuata nyuma kaka zao wanaija.
 
Hili sikulijua. Kumbe wanatumia pia nguvu za giza. Sema wa west africa ndivyo walivyo na wacameroon pia nao naona wanafuata nyuma kaka zao wanaija.

Yeah , wanaigeria ni wachawi, nimeishi nao, wana mairizi mwili mzima, halafu funny enough wengi ni Sex workers , wanaijeria huwa wamebarikiwa Sana maumbile yao , na wazungu huwa wanapenda wana midude mikubwa , Mwaka 2017 tulikua pattaya huko thailand na Rafik yangu mnigeria, kwa siku alikua anatengeneza $5000 had 10 kwa kuwafanya wazungu[emoji23]

Tukitoka hapo tunaenda five star hotel kula bata, mapicha kama yote[emoji23]
 
Duh hiyo ela nzuri kinoma... wanaija wako kila mahari. Kuna jamaa kaoa mchagga hapa, ila yeye ni MCameroon. Sasa kuna kipindi alikutana na ex wake ni mnaija facebook walipotezana miaka zaidi ya 10 iliyopita. Yule dada akamwambia kuwa yuko thailand ana mgahawa mkubwa unauza chakula cha west africa. Si akamwambia anatafuta madada wa kufanya kazi kwenye huo mgahawa. Jamaa akatumiwa pesa na huyo ex wake dollar elfu 12 ili awasafirishe madada watatu ambao ni mashemeji zake.
Dakika ya mwisho kuna mtu anakuja kumsanua kuwa huyo dada anauza wadada huko hana cha mgahawa wala nini. Na sasa hivi yuko gerezani alikamatwa na dawa za kulevya.
 
Na hata awamu hii ukionekana unakula bata tu,kifuatacho ni tukutane kwa DPP.

Waafrica kutopenda wenzetu wale bata ni kawaida tu hio.
muafrika pengine pia na mzungu wakuone uko kibaa cha ajabu unakunywa kabia kamoja na ukijitahidi sana ule nyama choma nusu kisha uondoke zako, hio ndio furaha yao kua umefulia na wakati una bilioni kadhaa zinahema mahali
 
mhh

Sent from
 
sio wachawi ni maneno tu ya watu. hirizi mbona hata wabongo mnazo hirizi miili yenu mizima tena wabongo ndio tunaongoza, pia biashara mbovu hata sisi wabongo tunafanya pia tena na zaidi
 
Wapo vizuri ila zile mambo wanachanganya na uchawi, mbongo jaribu hutapata hata dollar 10.
 
Wapo vizuri ila zile mambo wanachanganya na uchawi, mbongo jaribu hutapata hata dollar 10.
HAhaha mbona wabongo walikuwa wanafanya sana mkuu akina papaa flani miaka 2003/4 walikuwa wabeba pochi wa Mcameroon mmoja akawafundisha hii michezo wakageuka kuwa madon mpaka leo.
 
HAhaha mbona wabongo walikuwa wanafanya sana mkuu akina papaa flani miaka 2003/4 walikuwa wabeba pochi wa Mcameroon mmoja akawafundisha hii michezo wakageuka kuwa madon mpaka leo.
Una uhakika hawakupewa uchawi hao wabongo?, Kuna wabibi wakizungu hupigwagwa hadi dola laki 4, Hicho ni kiasi kikubwa sana hata kwa ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…