mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Na hata awamu hii ukionekana unakula bata tu,kifuatacho ni tukutane kwa DPP.**** it kabisa.. mzungu hajawahi kumpenda muafrika, mimi nilijua tu this day will come, pesa zako unashindwa hata kutanua nazo sababu unaogopa utashikwa, ni lazima walikua wanawaangalia tu na kushikwa na hasira kwamba a black man ananunua magari kila wiki, ana pesa za kutisha, utajiri wa kutisha, na pia maadui wao hao jamaa unakuta pengine kuna waarabu humo na wazungu hawakua wanapenda show off za hao jamaa, nimechukizwa na hizi habari japo nilitegemea hii siku ingekuja, bora hata ukiwa na pesa zako unatanua kimya kimya tu
Waafrica kutopenda wenzetu wale bata ni kawaida tu hio.