Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Huyo husshppi ndo nimeona leo niingie page yake instagram nijionee. Watu wanajua kuishi aisee watu wanakula rahaaa japo muda mfupi una injoyyyyyyy kabla hayajasanuka kama yalivyomsanukia.
Yaaan acha kabisaaa dea, Dunia haiko fair hat kidogo, kuna tofaut kubwa San kat ya maisha na uhai, still pumzi tyuuh iwepo.
 
Damon lol ana wasi wasi Dubai akawa anaiona BBC tyuuh 4rom now tyme. Khaaaaaaaah
 
Mzee Dangote nae ni mwafrika ujue!

Wenzetu huwa wanapeleleza sana chanzo chako cha kuingiza hela. Money laundering ni big issue. Usiingize urangi au uasili hapo. Wacha jamaa wafanye kazi yao ya upelelezi, watoe ushahidi wao na majamaa wajitetee kwa ushahidi wao vyanzo vyao vya mapato. Sio kila akikamatwa mtu mweusi mnasema kuwa anachukiwa.

Sasa kama mtu amekula $35Million za ventillators unataka aachiwe tu?
 
Mkuu hao mapompo tumeishi nao sana mbele ,majamaa ni wapigaji lakini wanaacha kurudi kwao ,mwisho wa siku wana hela nyingi ,starehe ,magari Makali hadi wanashtukiwa na wenyeji maana kazi zao hazionekani ,heri wangekuwa wanapiga hela na kuwekeza home na kuishi home waendeleze biashara
Wewe mpigaji, fedha umepata kiupigaji
Alafu unajionesha mtandaoni
Unategemea nini hapo

Ova
 
Amepanguswa Msomali huyo utapiga yeye anasoma gazeti
 
Hapana mkuu ukizoeana nao na wakakuamini hawana shida ,wanachoogopa ukijua utamchomea ramani.

Mi nilifundishwa na kufanya mishe moja ilipofanikiwa sikurudi ,majamaa wakanogewa balaa baadaye wakakamatwa sasa hivi wapo ndani wanatumikia
Wanajua sana, na ana labda uwe mnaija mwenzake hawezi kukuonyesha
 
Majamaa ni wazuri sana wakikuamini ,ila hata wao kwa wao wanaishi kwa codes hawaaminiani.

Hizo hela za mitandao ya dating ni zile za mboga.

Lakini kuna mikataba ya uuzwaji mafuta na madini mitandaoni hizo ndo mamillions za hela,anaweza akahangaikia mishe kama hiyo hata miezi 6 ikitiki ndo umetoka kimaisha
 
Kuna malaya fulani pale Mikocheni nyuma ya Clouds ,kuna kabar fulani hapo utawakuta watangazajiwengi wa Clouds ,akina PJ wakinywa maji ya Mchikichini nilimsikia malaya mmoja akisema hata iwekwe 1m mezani kamwe hawezi kwenda na Mnaija,alisema wanaija wana mikonga na hata wamasai wanasingiziwa kwa stamina
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo husshppi ndo nimeona leo niingie page yake instagram nijionee. Watu wanajua kuishi aisee watu wanakula rahaaa japo muda mfupi una injoyyyyyyy kabla hayajasanuka kama yalivyomsanukia.

We acha tu , mpaka unajiuliza kama watu Duniani wanakula raha hivi Uko mbinguni (kama kupo) Sijui itakuaje, jamaa kaishi maisha bwana
 
Wewe mpigaji, fedha umepata kiupigaji
Alafu unajionesha mtandaoni
Unategemea nini hapo

Ova

Hela yua kupigwa siku zote hutafunwa kimya kimya, show of huishia kukuumbua tu
 
Actually nimemwona sehem akila bata,nadhani ni picha zinatuchanganya,nimeona ni wa kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…