Nilikua na Rafik yangu mnigeria , yeye huwa anawatapeli sana wazungu , anaingia kwenye mtandao , hizi dating sites , anajifanya demu anatengeneza prfile ya mwanamke then anachat na wazungu, huwa wana collaborate na madem kwenye kuongea nao kwenye simu hili kuthibitisha kuwa ni wao , na alikua anatengeneza pesa ndefu sana .
Wabongo wengi tumezubaa sio wajanja kama wanaigeria, those people they know how to make money hawalali na njaa
I had a friend in Dubai also Nigerian , yeye alikua anajiuza yeye mwenyewe , anauza madawa ya kulevya, anauza watu , Ana deal ns wizi wa pesa za mitandaon , yan hakuna biashara haramu ambayo hafanyi[emoji23], yan utafikir wana mapepo.
Japokua watu wanaona wana roho ngumu , wanaigeria wengi wana huruma na upendo, japokua wana makelele sana na ni wakorofi, ukiishi na mnigeria huwez kulala njaa mjin