white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kvp mbona hapa kwetu watu wanaiba serikalini alafu wanaitwa matajiri...Jinga hilo
Baada ya kumzoea!!!!!?Jamaa alijianika sana Insta, hapo ndiyo akili yake ilipofikia. Pesa aliyoipata angeweza kuwajengea nyumba za heshima kijiji kizima kwao.
Mambo ya ma five star hotel angepiga kimya kimya.
Kuna kaka mmoja alikuwa jirani yangu. Pamba yake ilikuwa Versace, Loius Vuitton, Dolce and Gabbana nk. Nilimuona wa bei mbaya sana.
Baada ya kumzoea aliniambia anafanya kazi kwenye five star hoteli na wateja wao wengi ni ma Prince kutoka Arabuni. Wakiacha vitu hotelini baada ya miezi sita Viñatupwa hivyo wafanyakazi wanajipatia.
Si kila anae as designer ni tajiri.
Swali zuri maana hawa viumbe kwa shobo wasione mtu kapiga raba kali macho kodo!Baada ya kumzoea!!!!!?
hukuliwa kweli!!?
Mkuu hata Kama aliliwa kwanini ujali hata ufikie hatua ya kuuliza?Baada ya kumzoea!!!!!?
hukuliwa kweli!!?
Ukiona mwanamke anasifia man ambaye yupo nae close jua keshaliwa.....Mkuu hata Kama aliliwa kwanini ujali hata ufikie hatua ya kuuliza?
Wewe hutaki aliwe?Ukiona mwanamke anasifia man ambaye yupo nae close jua keshaliwa.....
Aliwe tu ndio kazi ya mbunyeWewe hutaki aliwe?
Ulitaka uliwe wwBaada ya kumzoea!!!!!?
hukuliwa kweli!!?
Ebana unataka nikukule nini unanifata fata nitakutatua rinda....Ulitaka uliwe ww
Kuna kesi nyingi sana ambazo huwa zinawekwa kwenye mtindo wa kumkandamiza mtu asie mzungu,kama utakua unafatilia kesi nyingi za ivo utakosa imani na hao unaosema hawana "upelelezi bado unaendelea".....inaweza kuwa ni wewe ulieiba kuku ila wakakupa kesi ya wewe kuiba ngamia.mmarekani au mzungu Hana tabia ya "UPELELEZI BADO UNAENDELEA"
wakikupoint ujue NI WEWEE.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kuna kesi nyingi sana ambazo huwa zinawekwa kwenye mtindo wa kumkandamiza mtu asie mzungu,kama utakua unafatilia kesi nyingi za ivo utakosa imani na hao unaosema hawana "upelelezi bado unaendelea".....inaweza kuwa ni wewe ulieiba kuku ila wakakupa kesi ya wewe kuiba ngamia.
Kuna kesi nyingi sana ambazo huwa zinawekwa kwenye mtindo wa kumkandamiza mtu asie mzungu,kama utakua unafatilia kesi nyingi za ivo utakosa imani na hao unaosema hawana "upelelezi bado unaendelea".....inaweza kuwa ni wewe ulieiba kuku ila wakakupa kesi ya wewe kuiba ngamia.