white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tatizo la sisi waafrika kila mala tunaona kama tunaonewa hasa, tunapokutana na mzungu lakini unyama tunaofanyiana sisi kwa sisi kila siku ni zaidi ya huo wa hao wazungu!!! Kuna waafrika wangapi wana tanua lakini hawasumbuliwi na hao wazungu?
Inaonekana huyo jamaa umeanza kumsikia leo baada ya kukamatwa, lakini ni mtu aliyekuwa anafuatiliwa muda mrefu sana kutokana na mwenendo wake, lakini hawakuwa na ushahidi, ila baada ya kuupata ndio ikatokea hiyo!!! Na wao hasa FBI, huwa hawabahatishi!! Mengi yataibuka tu