Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Tatizo la sisi waafrika kila mala tunaona kama tunaonewa hasa, tunapokutana na mzungu lakini unyama tunaofanyiana sisi kwa sisi kila siku ni zaidi ya huo wa hao wazungu!!! Kuna waafrika wangapi wana tanua lakini hawasumbuliwi na hao wazungu?

Inaonekana huyo jamaa umeanza kumsikia leo baada ya kukamatwa, lakini ni mtu aliyekuwa anafuatiliwa muda mrefu sana kutokana na mwenendo wake, lakini hawakuwa na ushahidi, ila baada ya kuupata ndio ikatokea hiyo!!! Na wao hasa FBI, huwa hawabahatishi!! Mengi yataibuka tu
 
Kidogo Mambo ya Instagram & Tiktok Yamenitupa.

Hebu tupe shughuli zake halali alizokuwa akifanya Bwana Huyo.
 
Jamaa alijianika sana Insta, hapo ndiyo akili yake ilipofikia. Pesa aliyoipata angeweza kuwajengea nyumba za heshima kijiji kizima kwao.

Mambo ya ma five star hotel angepiga kimya kimya.

Kuna kaka mmoja alikuwa jirani yangu. Pamba yake ilikuwa Versace, Loius Vuitton, Dolce and Gabbana nk. Nilimuona wa bei mbaya sana.

Baada ya kumzoea aliniambia anafanya kazi kwenye five star hoteli na wateja wao wengi ni ma Prince kutoka Arabuni. Wakiacha vitu hotelini baada ya miezi sita Viñatupwa hivyo wafanyakazi wanajipatia.

Si kila anae as designer ni tajiri.
Baada ya kumzoea!!!!!?
hukuliwa kweli!!?
 
mmarekani au mzungu Hana tabia ya "UPELELEZI BADO UNAENDELEA"
wakikupoint ujue NI WEWEE.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kuna kesi nyingi sana ambazo huwa zinawekwa kwenye mtindo wa kumkandamiza mtu asie mzungu,kama utakua unafatilia kesi nyingi za ivo utakosa imani na hao unaosema hawana "upelelezi bado unaendelea".....inaweza kuwa ni wewe ulieiba kuku ila wakakupa kesi ya wewe kuiba ngamia.
 
Kikubwa ni mwizi..

Ila kwa nchi zetu hz unaweza kukamatwa kwa case ya kupora na kuiba ilhali hujawai iba hata kijiko..
 
Kama unanijua hela zako za mazabe achana na mbwembwe za mitandaoni pia usisahau kuwekeza nyumbani... wajanja hufanya hivyo, jamaa walishamsoma muda tu

Unajua hush papi alikuwa anafanya kazi gani?.
Kuwa mweusi sio sababu ya KUTETEWA UKIFANYA KOSA

Back
Top Bottom