Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Ngoja tukusaidie sie ma Agent wa CIA yan huwa hivi hata Kama wameambiwa aisee mkamateni Christiano Ronaldo kwamba ana kosa hili na lile hapo hawaendi kumkamata tuu watu wanaingia field kukamilisha ushahidi,

Yan wanaanza kukuchunguza kuwa Yale wanayoambiwa je nikweli au uongo Sasa hapo ndo Kaz unaiona utafuatiliwa kila hatua bila kujua yan polisi wapelelezi watakuwa na data zako za kila unachofaanya kuanzia asubuh Hadi kulala na watakuletea deal Kama mtego nasio Mara moja n Zaid ya mbili na hapo ndo ushahidi unakuwa umekamilika.

Unakamatwa unahojiwa unaonyeshwa picha au video wanakusikilizisha simu zako yan mpaka wewe mwenyewe unajiona fala ndo unapelekwa mahakamani na kula kifungo yan ukikamatwa kwa wenzetu kwa makosa ya unga na utapeli sio wanakudhania Bali wamehakikisha kuwa unahusika kazi unakuwa kwako kutafuta mwanasheria akusaidie kupunguza adhabu ya kifungo au faini.
 
Iko hv...unaweza piga dili vizurii..ila kitakachokukamatisha ni good tym..... Askari wenyewe wanafuata paper trail....sasa wale wanigeria ilikua full bata watu wakafuatilia pesa ilipopita ndo kugundua ni yahoo boy's (wale matapeli ya mtandaoni) .. Na uxhunguzi ulichukua mda koz wenzetu hawakamti mtu bila ushahidi
 
Mkuu eleza background ya story hii kwanza maana wengine hatujui chochote
Kwa ufupi...
Ni mnigeria wa miaka 38 anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram kama Hushppupi aliyejizolea umaarufu kwa kuonesha maisha yake ya kifahari, na kuwaacha watu midomo wazi anapata wapi pesa zote hizo,

Kumbe ni hacker wa akaunti za benki na emails za watu binafsi na kampuni kubwa za biashara hasa biashara za online

Ambapo Alikua akiwarubuni watu hasa ulaya na asia ambao wanafanya manunuzi kupitia kampuni hizo kubwa, hivyo yeye anatengeneza emails ambazo zinaendana kabisa na email halisi ya kampuni halali, ana hack emails za wateja wa ile kampuni, kisha anatuma emails kwa wale wateja ya kua transactions zifanyike kupitia akaunti flani aliyoiorodhesha,

Sasa kwa sabubu Mteja haoni utofauti wa email halisi na ya kitapeli ya jamaa, basi Anaona ni sawa Anatuma pesa kumbe analiwa kichwa,

Wamemkamata na simu 47, hdd 5, Laptop 21, flash drive 15, n.k

Amewatafuna sana wazungu, waarabu na wahindi..
 
Huyu jamaa jinsi alivyokuwa Nyoko alimchukua yule mchoma nyama maarufu wa dunia 'Kama ushawahi kuona zaltan Ibrahimovic, cr7 na mastaa wengine wa dunia wakichomewa nyama" jamaa alimtafuta na kufanyiwa manjonjo na jamaa kifupi jamaa aliishi maisha ya Pesa chafu hatari
 
Mkuu eleza background ya story hii kwanza maana wengine hatujui chochote
huyu jamaa Raymond Hushpuppi ni mwizi wa mitandaoni, alikuwa anaiba katika mitandao ya mashirika, watu binafsi na Serikali, aliweza kuchota pesa popote na kuingiza katika a/c zake, amekamatiwa Dubai baada ya kutafutwa muda mrefuutajiri wake ulikaribia kumfikia au kumkuta Dangote au Davido
Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) has declared Raymond Igbalode, also known as Hushpuppi, wanted in relation to several money laundering crimes being investigated by the anti-graft agency.
Hushpuppi connected to several cyber crimes – EFCC
Ray Hushpuppi's Car collections, source of income & Net Worth 2020 - Updated » Carmart Automotive - Latest news, car blog news in Nigeria, car import duties in Nigeria, latest car release
1593274968704.png
 
Ilikuwa kama ilivyo Kigogo 2014

Changamoto ilikuwa ku link upigaji unaofanyika na yeye

Yeye aliji brand kama mtu wa real estate
 
Ordinary citizens of tanzania bado naona mmemng'ang'ania mnaijeria, poleni sana kwa kuendelea kupoteza muda
 
Huyu jamaa jinsi alivyokuwa Nyoko alimchukua yule mchoma nyama maarufu wa dunia 'Kama ushawahi kuona zaltan Ibrahimovic, cr7 na mastaa wengine wa dunia wakichomewa nyama" jamaa alimtafuta na kufanyiwa manjonjo na jamaa kifupi jam aa aliishi maisha ya Pesa chafu hatari
Salt bae
 
Nchi za watu hawakamati mtu mpaka wawe na ushahidi wa kutosha hasa wamkamatapo mtu mwenye ushawishi flani ndani ya jamii. Hii ni kwa sababu ya kuondoa controversy zisizo na ulazima.

Tazama vizuri video hii utaona jamaa wamemfatilia kwa muda gani
 
HomeHushpuppi cars
Real Reason Why Hushpuppi Was Arrested In Dubai




Carmart Team 0 June 11, 2020 12:28 pm

The acclaimed socialite and Instagram show-man, Hushpuppi, Known for ownership of the latest models of exotic cars. He was allegedly been arrested by
Mompha & Hushpuppi Who Is The Richest And Their cars
Ray Hushpuppi’s Car collections, source of income & Net Worth 2020 – Updated
Hushpuppi & Friends Arrested By FBI In Dubai
Hushpuppi still in Dubai Public Prosecution For questioning


The acclaimed socialite and Instagram show-man, Hushpuppi, Known for ownership of the latest models of exotic cars. He was allegedly been arrested by agents of the FBI in Dubai. Rumours have it that Hushpuppi was arrested alongside his close friend and alleged accomplice, Woodberry from their palatial home in Dubai.
Hushpuppi arrested photo

He was allegedly arrested for diverting over $40m dollars meant for the purchase of Covid-19 Ventilators.

Also Read:
 
Ordinary citizens of tanzania bado naona mmemng'ang'ania mnaijeria, poleni sana kwa kuendelea kupoteza muda
Je ni mtu wa wapi ordinary Tanzanian waweze kumjua toka kwako wa mujini

Ray Hushpuppi (born Igbalodely on June 14) also called “Aja Puppi” a.k.a Aja 4, is a Malaysian-base-Nigerian philanthropist. Hushpuppi is best kno
 
Wengine washajibu
Ila itakua ni walikua kwenye uchunguzi kupata ushahidi..ili akikamatwa apandishwe kizimbani straight

bongo unaweza dakwa afu afu uchunguzi miaka lool
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Hata kama Hushpuppi alikuwa tajiri kwa utapeli, hizi kesi alizopewa ni nzito sana na sio kirahisi rahisi tu; timu za huko Ulaya ama account za mishahara zinadukuliwa kirahisi.

Ila kwasababu Marekani na Waarabu hawapendi mtu mweusi anapoishi maisha ya juu basi lazima wakuanzishie tu kisanga.

Kingine alichokosea Hushpuppi ni ulimbukeni kama sio ushamba wa kumiliki fedha nyingi, kununua magari ya kifahari, safari nyingi kwa ndege, hotel za nyota tano, n.k Huu ni ushamba dizain flani.

Basi ndivyo hivyo ilivyotokea, Hushpuppi kwa sifa zake za kutumbua mihela akaonekana anakidhi kila sifa kuwa mbuzi wa kutolewa kafara, Watu wakaona hii ndio tiketi sasa ya kuiba pesa za mishahara na za timu za huko Ulaya na mwishowe wamsingizie Hushpuppi maana kakidhi vigezo vyote.

Waafrika tuwe tunajiongeza tafadhali. Huyu mwenzetu Hushpuppi yawezekana alikuwa tapeli lakini kwa shutuma zilizomweka jela ni wazi kabisa katolewa kuwa mbuzi wa kafara.

1594274605297.png
 
Kwani hukumu imeshatoka? Hao Ni next level. Habari tz Ni lijuakali, Ndugai, kibajaj, liquid na watangaza nia ubunge.
 
Jamaa alijianika sana Insta, hapo ndiyo akili yake ilipofikia. Pesa aliyoipata angeweza kuwajengea nyumba za heshima kijiji kizima kwao.

Mambo ya ma five star hotel angepiga kimya kimya.

Kuna kaka mmoja alikuwa jirani yangu. Pamba yake ilikuwa Versace, Loius Vuitton, Dolce and Gabbana nk. Nilimuona wa bei mbaya sana.

Baada ya kumzoea aliniambia anafanya kazi kwenye five star hoteli na wateja wao wengi ni ma Prince kutoka Arabuni. Wakiacha vitu hotelini baada ya miezi sita Viñatupwa hivyo wafanyakazi wanajipatia.

Si kila anaevaa designer ni tajiri.
 
Back
Top Bottom