Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Ngoja tukusaidie sie ma Agent wa CIA yan huwa hivi hata Kama wameambiwa aisee mkamateni Christiano Ronaldo kwamba ana kosa hili na lile hapo hawaendi kumkamata tuu watu wanaingia field kukamilisha ushahidi,
Yan wanaanza kukuchunguza kuwa Yale wanayoambiwa je nikweli au uongo Sasa hapo ndo Kaz unaiona utafuatiliwa kila hatua bila kujua yan polisi wapelelezi watakuwa na data zako za kila unachofaanya kuanzia asubuh Hadi kulala na watakuletea deal Kama mtego nasio Mara moja n Zaid ya mbili na hapo ndo ushahidi unakuwa umekamilika.
Unakamatwa unahojiwa unaonyeshwa picha au video wanakusikilizisha simu zako yan mpaka wewe mwenyewe unajiona fala ndo unapelekwa mahakamani na kula kifungo yan ukikamatwa kwa wenzetu kwa makosa ya unga na utapeli sio wanakudhania Bali wamehakikisha kuwa unahusika kazi unakuwa kwako kutafuta mwanasheria akusaidie kupunguza adhabu ya kifungo au faini.