Afadhali nimepata mnyonge mwenzangu....[emoji13] [emoji13]Na mimi apa ushimen ambao hatuna magari ujue
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nimesahau swahibaHa haaa wewe ni jipu..
Poleni jaman hizo fine sisi wa mwendokasi tunaishia kuzisoma jf ujueShunie acheni fujo jaman [emoji23] [emoji23] Mie somo yangu nna kijenereta kinasumbua hatari na fine siku hizi kuanzia Laki 2,bora tubaki hivi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi zaidi. NakupendaMefurahi kukuona
Ujue mkuu nilidhani namfananisha kumbe ndio huyu. Mmh. Kumbukumbu muhimu sana haswa pale mtu anapokuwa na chembechembe za uongo.Kwenye huu uzi kasema ni kiongozi wa kampuni ya mzee wake, kwenye uzi wa utambulisho kasema yeye ni head mistress.
Usinidanganye nakuona unapiga stori na wengine, kwa upande wangu uko bize. Au umemwagwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaah nisamehe nilizidiwa mpenz
Tupo mkuu usijione upo peke yako acha tuwasome tu na magari yaoAfadhali nimepata mnyonge mwenzangu....[emoji13] [emoji13]
Nimeziona chache shem nimekuwa mzembe wa kusoma...Daby umemsikia Boss Lady ...... Hahaha kwa mbwe mbwe hizi nahisi kukukosa shemeji yangu Fanya unitafutie Stunter
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurah nakupenda zaidi [emoji9]Mimi zaidi. Nakupenda
Ushajua unapendwa basi tabu...sasa unadhani unavyonipiga chenga mimi najipooza wapi?
Inshallah
Hamna mpenz kweli vile nisamehe bure nilipitiwa mwenzioUsinidanganye nakuona unapiga stori na wengine, kwa upande wangu uko bize. Au umemwagwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana nimeamua kwa dhati kuungana nanyi japo tatizo kwetu Mbagala hakuna hizo Mwendo kasi za kistaarabu,shukuruni mpo mjini siku hizi nimetafuta kiduski yaani gari halijasimama mie nimo ndani hahaPoleni jaman hizo fine sisi wa mwendokasi tunaishia kuzisoma jf ujue
Kanukta!??? [emoji23] [emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nimesahau swahiba
Many kisses.Nafurah nakupenda zaidi [emoji9]
Karibu sana ndugu kwenye usafiri wetuNdo maana nimeamua kwa dhati kuungana nanyi japo tatizo kwetu Mbagala hakuna hizo Mwendo kasi za kistaarabu,shukuruni mpo mjini siku hizi nimetafuta kiduski yaani gari halijasimama mie nimo ndani haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kujipooza ndiko kunakoniumiza nina moyo mmoja ujue...Ushajua unapendwa basi tabu...sasa unadhani unavyonipiga chenga mimi najipooza wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi kusikia hivyo dada ake. Haya wacha tuoshe macho dada Watanga sie.Nipo mpenz majanga tu ila sas nip bukher wa afya Alihamdullilah
Hahaha kwann tuseme uongo sasa!? Tunajidanganya wenyewe nafsi ZETU na kwa Allah anathibitisha kua tumeshapata kutokana na yale tuyatoayo nafsini kwetu.Ujue mkuu nilidhani namfananisha kumbe ndio huyu. Mmh. Kumbukumbu muhimu sana haswa pale mtu anapokuwa na chembechembe za uongo.
Labda ameacha mkuu