HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Halaf ukisema hivyo utasikia yaan shunie kabisa unaishi kwenye chumba kimoja[emoji23][emoji23]
Mi bora nakaa kwetu nalishwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eenh unapambana na hali yako ya nini kuishi fake hizo mambo ndio zimenishinda aisee kutaka maisha kama ya husna boss lady kumbe wote tunakutana kwenye mwendo kasi ukija jf unajifanya nipo kwenye foleni nadrive [emoji1][emoji1] kumbe upo kwenye mwendokasi umeshikilia bomba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…