Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Endelea KUBUBUJIKWA NA MACHOZI
 
Msomali anaiba sn kupitia miradi hewa ya kilimo anaona ana haki zaidi ya wengine
 
Haujabubujikwa MACHOZI ya uchungu??
 
Yawezekana ndio mbinu zenu.
Unakumbuks Jiwe alisema hadharani hatopeleka miradi ya maendeleo kwenye majimno yanayoongozwa na upinzani.
Au umesahau ewe chawa?
Napenda kukuambia ya kuwa maendeleo yalipelekwa majimbo na maeneo yote yenye watanzania bila kujali yanaongozwa na upinzani au CCM.pesa za mfuko wa jimbo wote walipewa kwa usawa
 
BASHE NI KIJANA WA ROSTAM,

ROSTAM NI NGUVU YA SAMIA

BASHE HAKUNA MTU ANAWEZA KUMGUSA KWENYE NAFASI YAKE HATA SAMIA MWENYEWE ANAMUOGOPA BASHE
 
BASHE NI KIJANA WA ROSTAM,

ROSTAM NI NGUVU YA SAMIA

BASHE HAKUNA MTU ANAWEZA KUMGUSA KWENYE NAFASI YAKE HATA SAMIA MWENYEWE ANAMUOGOPA BASHE
Tuna Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama Mmoja tu hapa Nchini,ambaye ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ndiye Mwenye mamlaka yote kikatiba na kisheria na hakuna aliye juu yake ambaye anaweza kuogopwa na mamlaka ya uteuzi.
 
Hakuna usawa kabisa kwenye utendaji wa Serikali, kuna maeneo hupendelewa waziwazi na maeneo mengine husahaulika kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…