Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Shida ni kua kutoa serikali kuhudumia wananchi ni kama hisani, ni kama raisi anatoa msaada kwa wananchi.

Na hilo ndo linaleta kiburi kwa viongozi, kwa kujiona wana final say ya kila kitu mpaka uhai wako.
 
Msomali amepewa madaraka.
 
Samia achafuke mara ngapi?

Majizi kwenye ripoti za CAG.

Ufisadi kwenye mamlaka za umma.

Mauaji,ubakaji ,ulawiti, utekaji ambao hakuna hatua zinazochukuliwa.

Starehe zisizo na tija na zenye kufuja kodi za umma [tamasha la Kizimkazi]

Mikataba ya hovyo[DP World] , uuzaji wa rasilimali [mbuga ya Ngorongoro]

Ukatili na mauaji ya wamasai wanaolazimishwa kutoka kwenye ardhi yao ya asili.
 
Maccm viburi
Dogo kapiga hela nyingi kwenye vibali vya sukari
 
Oh pls shut upppppppp
 
Nimebubukwa na kinyesi kuona mtu ame-hack account ya Lucas Muosha Mbwa na kuanza Ku-diss serikali ya ccm.
 
Nilikua nakaheshimu na kukaona kapigania maendeleo ya wananchi, Hovyo Sanaa hakafaii tenaaa.
 
Ukiacha maneno yako ya uchawa ya mwisho wa mada yako, hakika leo kwa mara ya kwanza nimeona umetoa hoja muhimu. Lakini ujue kuwa kwa kuandika hayo, unazidi kuongeza uwezekano wa siku moja muwa kwenye hatari ya kutekwa na jamaa wasiopenda kiongozi yeyote wa Serikali kukosolewa.

Uzidi kujaliwa hekima ya kuunena ukweli hata kama kuna gharama. Big up Lucas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…