Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Amesifiwa Kwa mara ya Kwanza.
 
Hivi huyu ni Lucas Mwashambwa huyu huyu tunaemjua kama chawa au leo akili zimemrudi? Ila bashe kama ana kaujeuri fulani hivi

Hakuna mwanadamu mwenye mkataba wa kudumu na yasiyo sahihi.

Lucas alivyoandika leo, na mifano aliyoitoa, nimeamini kuwa hata yale ya ajabu ambayo huwa anaaandika, siyo kwamba hana uelewa, ila huwa anajiondoa tu ufahamu.

Mwashambwa, Mungu azidi kukujalia hekima ya kujua faida ya kusimama na kuunena ukweli. Ufurahie kutembea juu ya ukweli hata kama unakugharimu. Ukweli una kawaida ya kusimama, na siku zote hushinda.

Ila ujue kuwa kwa aina ya watu tulio nao Serikalini, kwa kuandika tu haya uliyoayaandika, tayari wengine watakuwa wamekwishakuchukia.
 
Ni kweli si sawa kabisa mbona watu hutofautiana misimamo au ina maana yeye anapingana na 4Rs za Mama Samia na anamharibia kwenye Uongozi wake.
 
Amesifiwa Kwa mara ya Kwanza.
Tena Mungu wetu husema kuwa ni furaha kubwa mwenye dhambi mmoja anapoamua kuachana na dhambi kuliko tisini na kenda ambao daima wametembea kwenye amri zake.

Mimi ni kati ya waliofarijika sana kuona Lucas ameamua kuandika ukweli.

Na ushauri wangu kwake, asifie anapoona kunastahili sifa, na kukosoa inapostahili. Lakini kwenye kukosoa, nj aheri aende kwenye yale majina yetu ya kujificha. Akibakia na jina lake halisia, kuna siku tutakuja kulia hapa, tutakapopata taarifa kuwa Lucas ametekwa. Hawa watu waliopo Serikalini kwa sasa hawaaminiki kabisa. Wanaweza kukutendea uovu hata usiofikirika kabisa. Kuna watu wanashindana kuteka wakosoaji, kwa ujinga wao, wanaamini wakifanya hivyo, ndiyo wanailinda Serikali na kumhakikishia ushindi Rais Samia kwenye uchaguzi ujao, wakati ndiyo wanamharibia kwa kiwango cha ajabu..
 
Hujui aliempa Bashe kiburi? Si Samia na CCM? Hivyo ndivyo walivyo mawaziri na viongozi wa serikali, they must go!
 
Lucas Mwashambwa umesikiliza hotuba yote alikosema ataenda huko Kisesa kuwauliza wananchi au unakurupuka tu mjinga wewe
Kwa hiyo akiwauliza wakasema kuwa madai ya mbunge wao ni ya kweli ndio atasitisha huduma za serikali upande wa kilimo kama alivyosema? Wewe unaona hiyo ni sawa?

Kwani yeye Waziri ndio mwenye maamuzi ya mwisho serikalini? Bashe anatakiwa awaombe radhi Watanzania haraka sana la sivyo atenguliwe mara moja.
 
Hujui aliempa Bashe kiburi? Si Samia na CCM? Hivyo ndivyo walivyo mawaziri na viongozi wa serikali, they must go!
Hujui aliempa Bashe kiburi? Si Samia na CCM? Hivyo ndivyo walivyo mawaziri na viongozi wa serikali, they must go!
CCM na Rais wetu mpendwa haiwezi kumuagiza waziri kutamka maneno ya kibaguzi hadharani.
 
kwa kweli hasa wakisesa ukiwa mwakilishi wa raisi wote ni wako ni kuzingua tu ila all in all anajitahidi kwenye iyo wizara aombe msamaha mambo yaendeleee
Ni kweli anajitahidi na amefanya kazi kubwa katika wizara hii. Naamini ameteleza na kujikwaa ulimi na uungwana ni kuomba radhi hadharani ili kutoleta taswira mbaya na kuichafua serikali.
 
Alichosema Bashe ndicho ambacho chawa wengi mnawaza. Hata dikteta Magufuli aliwahi kusema hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo ya upinzani. Aliposhindwa kutekeleza huo uovu, akaamua aibe uchaguzi wa 2020. MaCCM wote ni maturusa, akili zenu zunafanana. Usimuonee bashe tu.
 
Reactions: UCD
Hakuna jimbo la upinzani ambalo halikupelekewa maendeleo na pesa za maendeleo kwa kigezo kuwa wananchi wake walichagua mpinzani.
 
Leo umenishangaza sana!!

Umebadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…