Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

Kwa hiyo hilo ndio jibu kutokupeleka? Ni wajibu au ni hisani? Ni takwa la kisheria serikali kuhudumia wananchi au ni fadhila? Maamuzi hayo ni msimamo wa serikali? Katumwa na nani kusema hivyo? Hekima ni ipi kati ya kwenda kufanya uchunguzi na kusema hupeleki Huduma? Je serikali itaacha kukusanya kodi eneo hilo au itaendelea?
 
Sasa anakuwa anamkomoa nani? Anayeathirika na kupoteza heshima na kuaminika kwa jamii atakuwa nani kama siyo yeye mwenyewe?
Si na yule mwingine alivyonusa alienda kuropoka kule BK? Ili Wazidi kumharibia
 
Nimejiuliza hivi Mheshimiwa waziri anaweza vipi kutamka maneno ya namna hiyo hadharani? Ndio uongozi huo? Nani kampa jeuri hiyo? Nani kamuagiza kutamka maneno hayo? Nani kamfundisha kuwa ndio serikali inavyofanya mambo yake hivyo?
Leo umechambua bombaaa, Hongera kwa kuanza kuyaona mwenyewe mamboziiii.

Ana kiongozi alogemchagua nae ni Mh. Rais, hivyo kwa mimi mwananchi ni kwamba alijua atayasema hayo na amependa maana hadi sasa kuna ukimya.

Wananchi ni Wananchi.
 
Kama hata Ndugu Hebel Lucas Mwashambwa naye ameanza kusikitika na kusononeka kuhusu wenzie huko Chamani basi ujue huko Chamani kwafukuta kweli kweli 😳 !
Naona Bundi anavinjari pande ile au ni KARMA ??!

Ngoja Tusubiri tuone !
 
Naunga mkono hoja, umeandika mambo mazito sana, Je Mbunge wa Ilemela Mhe. Anjelina Mabula alivyolalamika Bungeni kwamba Kituo cha Afya Sangabuye kinalaza wagonjwa kwa kuwachanganya ndani ya chumba kimoja wanaume, wanawake na watoto basi Waziri wa Afya angesema hawatapeleka huduma za afya kituoni hapo lakini badala yake aliwatuma wataalam wa Wizara wakafanya uchunguzi na kurudi Bungeni na majibu ya tuhuma za Mbunge iweje Bashe ajione yeye ndo kila kitu wakati hayo ni mamlaka ya Rais ambaye pia hawezi kutoa kauli kama hizo. Isitoshe Bashe ni Msomali tu aliyejikuta yupo Tanzania kutokana na uharamia wa wazazi na babu zake waliokuwa maharamia wa pembe za ndovu.
 
Aombe radhi na kufuta kauli yake ,maana inaleta taswira mbaya na kuichafua serikali japo naamini hajaagizwa na Baraza la mawaziri kusema aliyoyasema.
Sio atumbuliwe ili ajifunze na kuwa onyo Kwa wengine kuwa makini wanapotoa kauli zao? Hasa ikizingatiwa wakati huu wa kampeni kuelekea uchaguzi 2025.
 
Sio atumbuliwe ili ajifunze na kuwa onyo Kwa wengine kuwa makini wanapotoa kauli zao? Hasa ikizingatiwa wakati huu wa kampeni kuelekea uchaguzi 2025.
Ni sahihi kabisa akitumbuliwa au yeye mwenyewe ilipaswa awe ameandika barua ya kujiuzulu
 
Kijana mzalendo, semaji la Taifa
Sio dhambi tukampatia nafasi ya usemaji "mitandaoni" wakapatikana na wengine wanne, kuungana naye, hata wakawa wanapatiwa posho fulani sio mbaya, "Nguvu ya mitandao ni kubwa mno, na ina nguvu kweli, na inafikiwa na watu 1000, kwa sekunde chache kabisa!
#A. Makalla, ngoja nimuone Bw. Makalla ili alifikirie suala hili.
 

Wazo zuri. Ila Sasa ajifunze kuwa mchumi wa maneno na kuelewa vizuri hadhira yake. Watu wengi hawapendi kusoma habari ndefu sana, aandike fupi lakini nondo mwanzo mwisho.
 
Yawezekana ndio mbinu zenu.
Unakumbuks Jiwe alisema hadharani hatopeleka miradi ya maendeleo kwenye majimno yanayoongozwa na upinzani.
Au umesahau ewe chawa?
Serekali katika kutawanya maendeleo mara nyingi huwa haingalii mbunge wa kiongozi wa mkoa au ras, yenyewe huwa na DATA za maeneo yote tanzania yenye kero, na huyafanyia kazi kwa mujibu wa bajeti iliyopo, ieleweke, mapping ya mahitaji yote nchini huwa ipo FRAMED, wapi panataka nini?, serekali huwa inafahamu kila kitu kwa undani kabisa, MASUALA YA CHUKI, huchelewesha tu, utekelezaji wa mradi husika!,
SEREKALI HUTENDA KWA USAWA KWA MIKOA YOTE KULINGANA NA MAHITAJI YA MKOA HUSIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…