Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
Your browser is not able to display this video.
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Is this verified na wala sio imechukuliwa out of context au huenda alikuwa kwenye Maigizo na kufurahisha baraza ? Naweza nikapata statement yake ad verbum
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe katoa kauli ya kidikiteta kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo Hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka Jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi waliikwenda kununua Pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri. Na kama ni kauli binafsi tunatarajia MH. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa Kwa fedha za walipa Kodi wakiwemo wa Kisesa. Hivyo kuchukua Kodi na huku hupeleki huduma Kwa Kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta. Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Hivi inakuwaje jimbo kama la Kisesa, ambalo lina walipa Kodi Kwa maelfu, utamke kuwa hurawapekelekea huduma zozote za kilimo, ina maana kuwa Kodi wanazolipa wananchi wa Kisesa, zikawafaidie wananchi wengine wa majimbo mengineyo?😎
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe katoa kauli ya kidikiteta kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo Hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka Jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi waliikwenda kununua Pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri. Na kama ni kauli binafsi tunatarajia MH. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa Kwa fedha za walipa Kodi wakiwemo wa Kisesa. Hivyo kuchukua Kodi na huku hupeleki huduma Kwa Kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta. Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Rais Dr Samia ampige chini huyu waziri mpuuzi. Anamharibia kwenye sehemu yenye kura za kimkakati sana kwenye uchaguzi. Kanda ya ziwa ndo inaamua kura za urais. Bashe ni mshenzi.
Okay nimecheki hio Video na nimekuja na points kadhaa....
Kama kweli hivyo vitu ni feki na havifai au kiwango ni cha chini basi ni Haki ya Mbunge au mlipa kodi yoyote kuongea kwamba havifai
Kama Serikali inasema ni iether kupeleka huduma duni au kutokupeleka basi isipeleke lakini pia isichukue kodi wala kuwakataza wakulima na wadau kuuza popote wanapotaka (Huwezi kuchukua pesa yangu through Kodi alafu ukasema wajibu wako ni Hisani)
Nilishasema kitambo huyu jamaa analeta siasa za kutafuta wachawi badala ya kujikita kwenye kutafuta suluhisho na ndio maana nilisema kitambo
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...
Bashe kakosa hoja za kujibu shutuma dhidi yake zilizotolewa na Mpina baadala yake sasa kaamua kumsagia kunguni kwa wapiga kura wake kwa kutumia mgongo wa Serikali aibu hii iliyoje