Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
 
Is this verified na wala sio imechukuliwa out of context au huenda alikuwa kwenye Maigizo na kufurahisha baraza ? Naweza nikapata statement yake ad verbum

Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe katoa kauli ya kidikiteta kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo Hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka Jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi waliikwenda kununua Pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri. Na kama ni kauli binafsi tunatarajia MH. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa Kwa fedha za walipa Kodi wakiwemo wa Kisesa. Hivyo kuchukua Kodi na huku hupeleki huduma Kwa Kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta. Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
vijana wanazidi kutuangusha. madaraka yanawalevya sana. Haka kajamaa kina shida ila basi tu ndio viongozi wengi wa tz walivyo na hawawajibiki.
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe katoa kauli ya kidikiteta kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo Hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka Jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi waliikwenda kununua Pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri. Na kama ni kauli binafsi tunatarajia MH. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa Kwa fedha za walipa Kodi wakiwemo wa Kisesa. Hivyo kuchukua Kodi na huku hupeleki huduma Kwa Kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta. Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Huyo Bashe, sasa kazi itakuwa imemshinda!

Hivi inakuwaje jimbo kama la Kisesa, ambalo lina walipa Kodi Kwa maelfu, utamke kuwa hurawapekelekea huduma zozote za kilimo, ina maana kuwa Kodi wanazolipa wananchi wa Kisesa, zikawafaidie wananchi wengine wa majimbo mengineyo?😎
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe katoa kauli ya kidikiteta kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo Hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka Jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi waliikwenda kununua Pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri. Na kama ni kauli binafsi tunatarajia MH. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa Kwa fedha za walipa Kodi wakiwemo wa Kisesa. Hivyo kuchukua Kodi na huku hupeleki huduma Kwa Kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta. Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Mheshimiwa Rais, ikikupendeza mupumzishe huyu Waziri.
 
Rais Dr Samia ampige chini huyu waziri mpuuzi. Anamharibia kwenye sehemu yenye kura za kimkakati sana kwenye uchaguzi. Kanda ya ziwa ndo inaamua kura za urais. Bashe ni mshenzi.
 
Okay nimecheki hio Video na nimekuja na points kadhaa....
  • Kama kweli hivyo vitu ni feki na havifai au kiwango ni cha chini basi ni Haki ya Mbunge au mlipa kodi yoyote kuongea kwamba havifai
  • Kama Serikali inasema ni iether kupeleka huduma duni au kutokupeleka basi isipeleke lakini pia isichukue kodi wala kuwakataza wakulima na wadau kuuza popote wanapotaka (Huwezi kuchukua pesa yangu through Kodi alafu ukasema wajibu wako ni Hisani)
Nilishasema kitambo huyu jamaa analeta siasa za kutafuta wachawi badala ya kujikita kwenye kutafuta suluhisho na ndio maana nilisema kitambo

Back
Top Bottom