Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe CCM inashinda kwa kuiba kura ushahidi anao mumeo Nape na yule x dc alietenguliwaRais Dr Samia ampige chini huyu waziri mpuuzi. Anamharibia kwenye sehemu yenye kura za kimkakati sana kwenye uchaguzi. Kanda ya ziwa ndo inaamua kura za urais. Bashe ni mshenzi.
Atafeli kabla ya uchaguzi.Lengo lake anahisha vita ili Wananchi ya Kisesa ndo waanze kupambana na Mbunge wao.
Upo nchi gani wewe? Upige au usipige kura CCM huwa lazima ishinde kwa kujitangaza yenyewe ushahidi anao Nape na yule X DC alietumbuliwa kwa kusema ukweliBashe: Anaharibu kura za Samia kisesa..
Tupo katika kipindi Cha uchaguzi kauli hizi za chuki hazifai nadhani hii week ni yake ya mwisho kwenye uongozi
Hahahaha si munasemaga kuwa samia ndie anatoa pesa?Acha kiburi, pesa si za kwako ni za watanzania.
Na huyo mama yenu atamuacha Tu! Rais samia suluhu sikupendiNgoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Brother ushawahi kuona waziri anafunguliwa mashtaka?Kama kweli ametamka hivyo, na kuna uthibitisho, afunguliwe mashtaka ya kutumia vibaya ofisi ya umma, haraka sana.
Bashe atamshitaki Mpina kwa wapiga kura wake...Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
NakaziaAkibaki tutajua haya ni maamuzi ya Baraza zima la Mawaziri.
Ubaya ubwela kama mbwai na iwe mbwaiNgoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Sasa huyu mwenzao ambaye wapo chama kimoja wanamfanyia hivi kisa kahoji, tena kaweka vielelezo wanamfanyia hivi.Je wale wa vyama vya upinzani? Maana yake Waziri anawapa adhabu wananchi kisa mbunge kaongea kitu cha kumpinga waziri.Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Kabisa maana hizi ni tabia mbaya mno. Lakini nakumbuka Magufuli alikuwa anatamka hadharani hapeleki maendelea sehemu wamechagua mpinzani. Cha ajabu hata Luhaga Mpina aliona ni sawa kauli zile. Sasa mzimu ule uko mlangoni kwake! Karma is a...Kama kweli ametamka hivyo, na kuna uthibitisho, afunguliwe mashtaka ya kutumia vibaya ofisi ya umma, haraka sana.
Kauli ya kibaguzi na na haina ustaarabu. Hiki sio kitu cha kusema kiongozRais Wa JMT
Jioni Isifike Mfute Kazi Waziri Huyo Kwa Kauli Mbovu Ya Uchochezi
Kesi iko mahakamani,acha utoko wako kichwani mwako,usiutoe hadharaniMpina mbunge wao pia asimame na kuomba radhi kwa hizo tuhuma zake kwa serikali kuu, Huwa serikali zinaongozwa na binadamu sio malaika.
Unapoibuka na kujua kulaumu kwa kila jambo angalau uwe na suluhisho la hicho usichokiunga mkono.