Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clip imeshapandishwa hapoNitachangia baada ya JamiiCheck kufanya kazi yake
Hayo ni maneno ya Samia Suluhu kupitia waziri wake.Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Mabillion ya sukari yamemlevya huyu BasheNgoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Mpina mpuuzi mmoja. Anailetea hasira serikali nzima hajui ni kwa maumivu ya wakulima wake mwenyewe.Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Mpina mbunge wao pia asimame na kuomba radhi kwa hizo tuhuma zake kwa serikali kuu, Huwa serikali zinaongozwa na binadamu sio malaika.hata kama kuna kauli zimetolewa kukosoa serikali lakini kudhani kuwanyima huduma wananchi ili kumkomoa mpina ni ujinga uliopitiliza na kwa hili si tu alipasa aombe radhi wana kisesa bali watanzania kwa ujumla wake.
Kwanini hizo mbolea ziwe hazifai kwenye jimbo lako pekee na kwa wengine zitumike bila ya shida yoyote ile?.Okay nimecheki hio Video na nimekuja na points kadhaa....
Nilishasema kitambo huyu jamaa analeta siasa za kutafuta wachawi badala ya kujikita kwenye kutafuta suluhisho na ndio maana nilisema kitambo
- Kama kweli hivyo vitu ni feki na havifai au kiwango ni cha chini basi ni Haki ya Mbunge au mlipa kodi yoyote kuongea kwamba havifai
- Kama Serikali inasema ni iether kupeleka huduma duni au kutokupeleka basi isipeleke lakini pia isichukue kodi wala kuwakataza wakulima na wadau kuuza popote wanapotaka (Huwezi kuchukua pesa yangu through Kodi alafu ukasema wajibu wako ni Hisani)
Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...www.jamiiforums.com
Bashe alipokuwa back bencha alikuwa na akili sana ila sasa nimeprove km serikali ya Tz INADUMAZA UWEZO na AKILI za watumishi!!!Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Ameshindwa kushughulica na Mpina sasa anashugulika na watanzania.Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Kwamba majimbo yote yana mazao sawa, mahitaji sawa na uhitaji wa virutubisho na mbolea sawa ? Au kama majimbo mengine wanakubaliana na substandard na wewe ukubaliane nayo ?Kwanini hizo mbolea ziwe hazifai kwenye jimbo lako pekee na kwa wengine zitumike bila ya shida yoyote ile?.
Mpina ni mjinga tu, ana hasira za kwanini Rais Samia anaongoza nchi muda huu anasahau kuwa Mpango wa Mungu huwa haupingwi kwa nguvu za kibinadamu.
Huyo Mpina ajifunze kuongea vitu katika mtazamo ulio chanya sio kila kitu kwake ni kibaya tu, anakuwa kama kachanganyikiwa hivi.Kwamba majimbo yote yana mazao sawa, mahitaji sawa na uhutaji wa virutubisho na mbolea sawa ? Au kama majimbo mengine wanakubaliana na substandard na wewe ukubaliane nayo ?
Yeye ameongea kama mwakilishi wa jimbo lake na sio mwakilishi wa majimbo ya Tanzania, hivyo huenda yeye anaona it can be better..., kwahio kama option ni kuacha kupeleka basi waache ila wasichukue Kodi wala kulazimisha watu sehemu ya kuuza...;