Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

Okay nimecheki hio Video na nimekuja na points kadhaa....
  • Kama kweli hivyo vitu ni feki na havifai au kiwango ni cha chini basi ni Haki ya Mbunge au mlipa kodi yoyote kuongea kwamba havifai
  • Kama Serikali inasema ni iether kupeleka huduma duni au kutokupeleka basi isipeleke lakini pia isichukue kodi wala kuwakataza wakulima na wadau kuuza popote wanapotaka (Huwezi kuchukua pesa yangu through Kodi alafu ukasema wajibu wako ni Hisani)
Nilishasema kitambo huyu jamaa analeta siasa za kutafuta wachawi badala ya kujikita kwenye kutafuta suluhisho na ndio maana nilisema kitambo

Tabia za kisomali huwa hazibadiliki hata kama atazaliwa nchi tofauti na Somaliland. Msomali aliyependelewa kupewa cheo leo anatamka hadharani hatoi huduma kwa Mtanganyika huku kodi anazichukua kwenda kujinafasi?!!

This arrogant behavior has now grown beyond derogatory assault; it is appealed to the appointing authority to hold him accountable for his discriminatory statement.
 
Huyo Mpina ajifunze kuongea vitu katika mtazamo ulio chanya sio kila kitu kwake ni kibaya tu, anakuwa kama kachanganyikiwa hivi.
Hio ndio Politics 101 sio Kusifia wala sio lazima alete suluhisho (hata kama sina uwezo wa kutatua tatizo haimaanishi pia sina macho ya kuona tatizo), Iwapo kuna watu tunawalipa ili watatue matatizo basi sisi walipa kodi kazi yenu ni kuwakumbusha / kuwashurutisha iwapo tunaona matatizo hayo hayajatatuliwa au hakuna value for money...

Kama hao wanaoambiwa wanaona Kero basi maybe they are in the wrong profession..., hao ni watumishi na wanahitaji kutumikia na kwenye hili mlipa kodi ni mfalme...
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana

Yaani si kutesa raia wasio na hatia. Tusipande chuki kati ya serikali na raia jamani
 
Hiki kijamaa kijinga sana sijui anajiona nani kwenye hii nchi haya yote ni matokeo ya kuleana leana ovyo mpaka mtu anaona anaweza kuongea kitu chochote kwakuwa ana madaraka .
 
Rais Wa JMT
Jioni Isifike Mfute Kazi Waziri Huyo Kwa Kauli Mbovu Ya Uchochezi
Sidhani,
Kuna kauli mbaya kama za yule kichwa kusema ccm wanaiba kura au kama ile ya kipara kuwa anamchukia rais, hii kauli nyepesi sana, inaisha kwa exchange of msg tu. Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti. Hapo inatakiwa Mpini ndo aseme nini kifanyike ili yaliyotokea yasijirudie, Ikiwa kila mtu akiongea anatemwa basi Bimkubwa atabaki alone!!
 
Bashe hana mamlaka ya kusitisha huduma kwa wananchi, personal conflict isiwe ya public.
 
Kama kweli ametamka hivyo, na kuna uthibitisho, afunguliwe mashtaka ya kutumia vibaya ofisi ya umma, haraka sana.
Na yule aliye sema Majimbo yanayo chagua wapinzani,wasipelekewe huduma..mlimfungulia mashtaka??
 
Yule alisema tu lakini kiuhalisia ndio alikuwa anongoza kupeleka huduma kwenye maeneo ya wapinzani kama Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara, Lindi, Njombe, Iringa, Tanga nk
 
Hio ndio Politics 101 sio Kusifia wala sio lazima alete suluhisho (hata kama sina uwezo wa kutatua tatizo haimaanishi pia sina macho ya kuona tatizo), Iwapo kuna watu tunawalipa ili watatue matatizo basi sisi walipa kodi kazi yenu ni kuwakumbusha / kuwashurutisha iwapo tunaona matatizo hayo hayajatatuliwa au hakuna value for money...

Kama hao wanaoambiwa wanaona Kero basi maybe they are in the wrong profession..., hao ni watumishi na wanahitaji kutumikia na kwenye hili mlipa kodi ni mfalme...
Nongwa na chuki zake binafsi, ni lazima akue kichwani mwake. Sio kila unachokitaka ni lazima kitokee.
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Huduma Kwa wananchi ni matokeo ya jasho la kodi wanazolipa..... Iko dhahiri kauli ya mh mpina ni ya kwake, na si ya wananchi wa kisesa. Kila jambo na matokeo yake, yanaweza kuwahi au kuchelewa.
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Wangetupa mrejesho wa BBTpesa gani imetumika na faida kiasi gani inepatikana tuanzie hapo🤣
 
Nongwa na chuki zake binafsi, ni lazima akue kichwani mwake. Sio kila unachokitaka ni lazima kitokee.
Hayo mambo personal wala mimi siyaongelei tena nadhani hilo ni tatizo kubwa sana kwa sasa..., tunaongelea individuals na sio nini kilichoongelewa....

Kwahio kwa mustakabali wa taifa tungekuwa tunaongelea kilichoshutumiwa Je kazi wanayofanya Serikali kwa Mkulima ni up to standard ? Ukiniuliza mimi nitakwambia leaves a lot to be desired....; Kwahio rasilimali muda anayotumia huyu Waziri kujibu hizi tuhuma na kuleta sintofahamu angezitumia kwenye kufanya nadhani wala shutuma hizo zisingekuja.... Action Speaks Louder than Words....
 
Kabla sijachangia nitoe kwanza. ANGALIZO
Kuwa hii habari ni Kweli au imeghushiwa?
Waziri Bashe ni miongoni mwa vijana binafsi niliwaamini sana kwa kusimamia Haki na weledi, mengine ya ndani Sijui.

Kwa hoja iliyoko mezani kama ni kweli waziri ametumia kanuni ya usambamba (parallelism).
Yaani amesema kuwa
Maneno ya Pina = Ni maneno ya watu wa kisesa. Inaweza iwe kweli au sio.

Na kwa kanuni hiyo hiyo
Maneno ya Bashe= Maneno Serkali na Rais wetu.
Hii ni kusema kuwa
Wana kisesa sasa wako na mpabano na Serkali na Rais wetu. Na hii ina maanisha serkali imetenga kisesa kwa huduma ambazo ni stahiki zao kwani wao pia kodi yao hukatwa ili wapokee huduma na si huduma ya masimango bali haki yao ya msingi.
Lakini jambo lingine kwa usemi wa waziri ametoa ruhusa ya kuwa serkali ya kijimbo ikijitafutia namna zake nje na mfumo wa serkali. Baya kabisa ni kuwatenganisha wana Kisesa na Rais wao waliyemchagua au anasema kuwa serkali haiwahitaji kabisa?
Kama hoja zilizowekwa hawezi kuzitetea bungeni kama ziliwasilishwa bungeni basi azitetee nje ya bunge kwa mfumo wa mahakama. Nje na hapo waziri anataka kupungua na labda tuseme yeye ni mbunge wa eneo lingine kule hana cha kupoteza lkn Rais anahitaji kura za watu wa Kisesa.
Mwisho akiwatenga hao na sekali ikaacha kweli basi ile Sukuma Gang itaanza kupata uhai ambao ilikuwa inaupoteza
 
Nafikiri waziri yeye alete madawa na mbolea na kama wananchi hawatakuja kuzichukua, yeye atakuwa amefanya sehemu yake lakini uenda Mh.Mpina anapima hasira yake kwahiyo Waziri nae asije akashindwa mtiani. Asiangukie kwenye mtego . Waziri azibe tu masikio mpaka aone wananchi wamegoma kuchukua mbolea. chonde chonde Waziri.
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Huu utukuzaji wa mtu unavuka kipimo. Hadi kofia SSH duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Yule alisema tu lakini kiuhalisia ndio alikuwa anongoza kupeleka huduma kwenye maeneo ya wapinzani kama Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara, Lindi, Njombe, Iringa, Tanga nk
Na huyo amesema tu,lakini huduma watapelekewa.
 
Madaraka ya kulevya alafu anajionaga ana akili kumbe n zezeta flan hivi
 
Back
Top Bottom