Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

Rais Dr Samia ampige chini huyu waziri mpuuzi. Anamharibia kwenye sehemu yenye kura za kimkakati sana kwenye uchaguzi. Kanda ya ziwa ndo inaamua kura za urais. Bashe ni mshenzi.
Acha uongo wewe CCM inashinda kwa kuiba kura ushahidi anao mumeo Nape na yule x dc alietenguliwa
 
Lengo lake anahisha vita ili Wananchi ya Kisesa ndo waanze kupambana na Mbunge wao.
Atafeli kabla ya uchaguzi.

Hatuwezi kubaguliwa na mtu mmoj aanze kutugawa gawa kisa anapingwa mambo yake ya hoyo. Leo kisesa kesho Ilala.
 
Bashe: Anaharibu kura za Samia kisesa..

Tupo katika kipindi Cha uchaguzi kauli hizi za chuki hazifai nadhani hii week ni yake ya mwisho kwenye uongozi
Upo nchi gani wewe? Upige au usipige kura CCM huwa lazima ishinde kwa kujitangaza yenyewe ushahidi anao Nape na yule X DC alietumbuliwa kwa kusema ukweli
 
Na huyo mama yenu atamuacha Tu! Rais samia suluhu sikupendi
 
Bashe atamshitaki Mpina kwa wapiga kura wake...
 
Hao MATAGA kila mtu ni mbabe na ana power ya kufanya atakalo.
Nchi imekuwa ya kusadikika sana.
 
Ubaya ubwela kama mbwai na iwe mbwai
 
Sasa huyu mwenzao ambaye wapo chama kimoja wanamfanyia hivi kisa kahoji, tena kaweka vielelezo wanamfanyia hivi.Je wale wa vyama vya upinzani? Maana yake Waziri anawapa adhabu wananchi kisa mbunge kaongea kitu cha kumpinga waziri.

Ila wananchi tunafanyaga makosa kuwapimaga wapinzani kwa maendeleo, kwani kwa hiki anacho ongea Bashe kuna uwezekano wabunge wa upinzani hunyimwa au hata kupunjwa hela za maendeleo ya majimbo yao.

Tatizo siasa zetu hatuja zoea kubishana kwa hoja, bali ni za kushambuliana na kuchambana huku tukiiweka pembeni hoja chanya ambazo zimebeba maslahi mapana ya taifa.
 
Kama kweli ametamka hivyo, na kuna uthibitisho, afunguliwe mashtaka ya kutumia vibaya ofisi ya umma, haraka sana.
Kabisa maana hizi ni tabia mbaya mno. Lakini nakumbuka Magufuli alikuwa anatamka hadharani hapeleki maendelea sehemu wamechagua mpinzani. Cha ajabu hata Luhaga Mpina aliona ni sawa kauli zile. Sasa mzimu ule uko mlangoni kwake! Karma is a...
 
Bashe kalewa madaraka na Sasha naona anapendezwa na kinachoendelea yupo kimya wanatenguliwa wengine! Ndo kauli Gani hizo sasa
 
Mpina mbunge wao pia asimame na kuomba radhi kwa hizo tuhuma zake kwa serikali kuu, Huwa serikali zinaongozwa na binadamu sio malaika.

Unapoibuka na kujua kulaumu kwa kila jambo angalau uwe na suluhisho la hicho usichokiunga mkono.
Kesi iko mahakamani,acha utoko wako kichwani mwako,usiutoe hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…