Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndo Waziri pendwa ukitoa Mkwe.Kumbe Waziri ana uwezo wa kutoa uhuru Kwa sehemu ya Tanzania, Kwani Kwa maneno hayo inamaanisha Kisesa ijitegeme, na ili ijitegeme, itabidi iwe na mapato zake, matumizi yake na uongozi wake.
Haswa.....safari bado ndefu, hii inchi pako mahali tulikosea na hii pengine ni ishara ya kutufanya tufikirie upya tunatokaje hapaWaziri huyu amelewa madaraka.
Kuna maeneo huku kwetu tulipanda mara mbili baada ya mbegu kugoma kuota. Hata viuatilifu wakati mwingine ni feki na vinatutia hasara. Kuna mambo yanatia hasira, sema wakulima hatuna sauti nchi hii, ikifika kwenye bei wanatutelekeza kwa madalali uchwara.Mpina mpuuzi mmoja. Anailetea hasira serikali nzima hajui ni kwa maumivu ya wakulima wake mwenyewe.
Kawa mjinga sana huyo mwananzengo analaumu bila ya kuwa hata na chembe ya ukweli wa hicho anachokilaumu.
Utamsaidia sana Mange kupata contentIkitokea natrmbea uchi !
Dogo Ana kiburi huyu kwa sababu yeye ,Abdul, mwigulu walipiga hela nyingi kwenye vibali vya sukariNgoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Huyu msomali sijaona la maana alofanya wizara ya kilimo, tangu lini msomali akaweza kilimo!Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Akili ndogo ya waziri. Unaadhibu wananchi kwasababu ya hoja za kisiasa. Ulitakiwa kuthibitisha kama si feki basiNgoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.
Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.
Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.
Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.
Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta
View attachment 3093882
Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?
Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Hivi kuna sababu gani kwa waziri mpumbavu kama huyu kuvaa kofia imeandikwa "SSH"?
Ubaguzi upo kwa sisi wenyewe pia ,ccm ndio mzizi wa ubaguzi ,yule Magufuli alisema hatopeleka maji Tunduma wala huduma nyingine za kijamii kwa matendo yao ya kuchagua wapinzaniKumbukeni Bashe ni Msomali na wasomali ni wabaguzi sana
Basi serikali iache kukusanya ushuru na mapato yeyote kutoka kisesa ili wawatenge vizuri, maana huwezi kuacha kupeleka huduma halafu kodi zao unazitakaNgoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".