Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

Daah! Kwann kila mwenye akili akipewa cheo kwenye serikali ya ccm anageuka kuwa kituko?? Bashe amepotoka pakubwa
 
Kumbe Waziri ana uwezo wa kutoa uhuru Kwa sehemu ya Tanzania, Kwani Kwa maneno hayo inamaanisha Kisesa ijitegeme, na ili ijitegeme, itabidi iwe na mapato zake, matumizi yake na uongozi wake.
Huyu ndo Waziri pendwa ukitoa Mkwe.
 
Waziri huyo mwenye dhamana, hii nchi safari bado ndefu sana...Kwa hiyo watu wateseke kwa ajiri ya kiburi chao cha shibe.,Halafu hapo mkae mtegemee baraka za Mungu. Failed county
 
Mpina mpuuzi mmoja. Anailetea hasira serikali nzima hajui ni kwa maumivu ya wakulima wake mwenyewe.

Kawa mjinga sana huyo mwananzengo analaumu bila ya kuwa hata na chembe ya ukweli wa hicho anachokilaumu.
Kuna maeneo huku kwetu tulipanda mara mbili baada ya mbegu kugoma kuota. Hata viuatilifu wakati mwingine ni feki na vinatutia hasara. Kuna mambo yanatia hasira, sema wakulima hatuna sauti nchi hii, ikifika kwenye bei wanatutelekeza kwa madalali uchwara.
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Dogo Ana kiburi huyu kwa sababu yeye ,Abdul, mwigulu walipiga hela nyingi kwenye vibali vya sukari
 
Bashe ulichoongea ni pumba tupu

Umetumia mihemko na jazba kutoa kauli kama hiyo

Inaonekana kila Mbunge utakayepishana nae kauli au hoja basi adhabu yake ni kutowapokelea huduma wananchi wa jimbo husika

Kwa maslahi mapana ya nchi na Watanzania kwa ujumla hufai kuendelea kuwa kiongozi tena kwa sasa
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Huyu msomali sijaona la maana alofanya wizara ya kilimo, tangu lini msomali akaweza kilimo!
 
Sasa hapo atakuwa anamkomoa Mpina au maelfu ya wakulima kisesa. Vipi utaratibu wa Kutoa vibali vya sukari anasemaje kuhusu hilo?
 
Hivi kuna sababu gani kwa waziri mpumbavu kama huyu kuvaa kofia imeandikwa "SSH"?
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Akili ndogo ya waziri. Unaadhibu wananchi kwasababu ya hoja za kisiasa. Ulitakiwa kuthibitisha kama si feki basi
 
Nafikiri hapa muheshimiwa kateleza. Kipindi hiki ni kipindi ambacho wapiga kura wanahitaji kubembelezwa kuliko kipindi chochote. Sasa tunaekekea kwenye uchaguzi au CCM hawana mpango na kura za wana Kisesa? 🤔
 
Zi wapi 4r za boss wake? Au kwake zilikuwa drama?
Mteuaji ana kazi kubwa Sana mbele yake kwani aliowateua kumsaidia kazi ndio waharibifu waliopitiliza! Ni Kama vile mlezi wa wana watukutu ambao kila ukikataza hiki wanaharibu kule! Na haya ndiyo madhara ya kuwarejesha ofisini walioshindikana kwa mtangulizi wake! Acha auote moto aliouwasha mwenyewe na akija kushituka kura za Kanda ile zileee kwa wengine!
 
Kumbukeni Bashe ni Msomali na wasomali ni wabaguzi sana
Ubaguzi upo kwa sisi wenyewe pia ,ccm ndio mzizi wa ubaguzi ,yule Magufuli alisema hatopeleka maji Tunduma wala huduma nyingine za kijamii kwa matendo yao ya kuchagua wapinzani
 
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".

Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo hilo anayetuhumu kwamba mbolea na mbegu za Pamba zilizopelekwa mwaka jana huko Kisesa zilikuwa feki na wanunuzi walikwenda kununua pamba toka kwa wakulima walitoa bei ya chini isiyorejesha gharama za wakulima na kuwapa faida.

Bashe anaposema Serikali haitapeleka inaonyesha kauli yake inatoka Baraza la Mawaziri.

Na kama ni kauli binafsi tunatarajia Mh. Rais afanye kama aliyofanya Kwa Waziri wa Kura feki.

Mbegu na mbolea za ruzuku zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wa Kisesa.

Hivyo kuchukua kodi na huku hupeleki huduma Kwa kisingizio cha Mbunge wao kukutuhumu ni udikiteta

View attachment 3093882

Badala ya kufanya uchunguzi ili kuona kama maneno ya Mpina yana ukweli yafanyiwe kazi au kama ni ya uongo achukuliwe hatua, Waziri anakuja na approach ya ukewenza kwenye fedha za Umma?

Soma pia: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana
Basi serikali iache kukusanya ushuru na mapato yeyote kutoka kisesa ili wawatenge vizuri, maana huwezi kuacha kupeleka huduma halafu kodi zao unazitaka
 
Back
Top Bottom