Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa
===
Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki.
Bashe ameyasema hayo wakati akielezea kuhusu ruzuku zinazotolewa na Rais kwenda kwa wakulima.