Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Hussein Bashe waziri wa kilimo amekuwa muongo kupindukia. tukianzia nzega hapa hapa jimboni kwake hakuna chakura na hali ni mbaya sana.
Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida! Katika biblia kuna hadithi ya yusufu aliemshauri mfalme farao ahifadhi chakura kwa kuwa kuna dalili kubwa ya njaa! WAZIRI WETU BASHE YEYE ALIMSHAURI MFALME WETU CHAKULA KILICHOPO KIUZWE NJE! Hali imekuwa mbaya, na inatisha sana.
Huko mikoani bei zipo juu ambazo raia wa kawaida hawezi kumudu yeye BASHE jana anamdanganya mfalme na umma wa watanzania kwamba ETI NCHI INA CHAKULA CHA KUTOSHA. huu ni uongo wa mchana usiofaa kabisa, amefanyia wapi hiyo research?
Na anadhani chakula kinapatikana kwenye makaratasi anayoyaita takwimu? BASHE hivi umetembelea masoko ya nafaka kama Kibaigwa, Njombe na rukwa ukaona hali iliyopo? kwanini usiongee ukweli na nchi ikapona? Unaogopa kumkosea mfalme kuliko kuwakosea wananchi?
BASHE UMEJIANGUSHA MWENYEWE NA UMEWAANGUSHA UIJANA WENZAKO!! #nchi ina njaa #nchi haina chakura