Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe mwenye akili unamlaumu Bashe kwa ukame au sijakuelewa? Nilidhani unajiongelea wewe lakini naona unaongelea wakulima. Nimekwambia masoko yamejaa vyakula kama suala la bei juu basi ongezeni uzalishaji mbona simple tu au mpaka mletewe wataalam? sasa wewe weka makosa ya Bashe tukujibu kwa hoja. Bashe ni mtu smart na miaka inayokuja anayofanya leo watakuja kumshukuru. Ukulima isiwe wito kama mlivyoangamiza elimu na walimu wito. mkulima ni mfanya biashara ataamua amuuzie nani kwa bei gani ni mali yake.WEWE NA BASHE MNAWAZA KUTOKEA JUU KWENDA CHINI SISI TUNAWAZA KUTOKEA CHINI KWENDA JUU! hatulalamiki kwa sababu hatukulima au sisi ni wavivu kama akili yako ya kipumbavu inavyokwambia tunalalamika kwa sababu hata waliolima hawakupata kutokana na ukame watu hawakupata kabisa tatizo mnalelewa nyumbani hamjui chochote
Wewe nawe ni miongoni mwa watu wa ovyo sana!hafai kwa sababu ya uislamu wake?
Tatizo la Bashe ni Samia!Hussein Bashe waziri wa kilimo amekuwa muongo kupindukia. tukianzia nzega hapa hapa jimboni kwake hakuna chakura na hali ni mbaya sana.
Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida! Katika biblia kuna hadithi ya yusufu aliemshauri mfalme farao ahifadhi chakura kwa kuwa kuna dalili kubwa ya njaa! WAZIRI WETU BASHE YEYE ALIMSHAURI MFALME WETU CHAKULA KILICHOPO KIUZWE NJE! Hali imekuwa mbaya, na inatisha sana.
Huko mikoani bei zipo juu ambazo raia wa kawaida hawezi kumudu yeye BASHE jana anamdanganya mfalme na umma wa watanzania kwamba ETI NCHI INA CHAKULA CHA KUTOSHA. huu ni uongo wa mchana usiofaa kabisa, amefanyia wapi hiyo research?
Na anadhani chakula kinapatikana kwenye makaratasi anayoyaita takwimu? BASHE hivi umetembelea masoko ya nafaka kama Kibaigwa, Njombe na rukwa ukaona hali iliyopo? kwanini usiongee ukweli na nchi ikapona? Unaogopa kumkosea mfalme kuliko kuwakosea wananchi?
BASHE UMEJIANGUSHA MWENYEWE NA UMEWAANGUSHA UIJANA WENZAKO!! #nchi ina njaa #nchi haina chakura
Najua kabisa Bashe ni team lowassa na yupo karibu na Rostam, Hilo sio tatizo kwa sababu kama mtu ni kiazi kichwani ni kiazi tu, Bashe ameonyesha uwezo wa kiutendaji na kufuatilia sana hujuma za knye sector ya kilimo, Samia mwenyewe nadhani kwa mara ya kwanza baada ya baba wa taifa ndo kaonyesha utashi wa kisiasa wa kufanya mageuzi ya kilimo kweli mfano.Sio kweli. Bashe alimsoma huyu mama akamuelewa. Mama ukimpa ushauri wowote ambao ulikuwa unatekelezwa enzi za Magu anakutoa anaona humfai kwa serikali yake.
Ndio maana kwa sasa mawaziri hawasikiki tena hadi kina ummy mwalimu.
Umesahau alichofanyiwa profesa Mkenda alipojaribu kuelezea kuhusu utoaji wa vibali kuingiza sukari nchini?
Nikueleze tu, Bashe is very smart kuliko unavyodhani. Anamjua mtu anayefanya nae kazi na watu waliopo nyuma yake. Hili la nchi kuja kukosa chakula alilijua vizuri kabisa na alikuwa na uwezo wa kulidhibiti, tatizo aliyepo juu yake.
Tena nikuambie bashe ni timu Lowasa kindakindaki, timu iliyosababisha chama kimfie mkononi JK 2015. Lakini yuko pale sababu anaogopwa maana Bashe pia ni mtoto wa Rostam kikazi. Na samia na wenzie wanaijua nguvu ya Rostam.
mimi ni mkulima mzoefu na mkubwa kiasi ekari zaidi ya 800 naongea kwa uzoefu na wa kutoa ajira zaidi ya 40 , najua uchungu wa kukopa bank kulimia , unavuna vizuri ,halafu serikali inafunga mipaka hapo una deni la M 400 la bankufaransa mkate ulipanda bei watu wakaingia kuandamana nyinyi mnalelewa na wazazi wenu bado hata bei chakura hamuijui
Fanya kazi tu kuna watu wengi hata bajeti ya chakula haifikirii kabisa, wanawaza budget inayoumiza ni kusomesha watoto private universities Canada au Europe ndo kidogo inaumiza kama wapo zaidi ya watatu wanneufaransa mkate ulipanda bei watu wakaingia kuandamana nyinyi mnalelewa na wazazi wenu bado hata bei chakura hamuijui
Nadhani mama karuhusu ndo maana hawagongani manenoTatizo la Bashe ni Samia!
Bashe hana uwezo wa kufunga mipaka ya nchi hii wala kuifungua.
Mwenye mamlaka ya kufunga mazao yasiuzwe nje ya nchi ni #Samia kama Rais wa JMT.
Na soo #Bashe kama waziri wa wakulima!
Mnataka Bashe aseme Ukweli halafu muanze kumtumia wahuni wenu wa Uvi-waviCCM?
Bashe anasoma alama za Nyakati,ndio maana jana alikataa kutumika na Samia!
Mtoa mada katoa boko ila wewe umetoa boko pro maxhafai kwa sababu ya uislamu wake?
😀 sijui dini iliingiaje hapoMtoa mada katoa boko ila wewe umetoa boko pro max
Usalama upo sana tu. Ndio maana kuna ghala la taifa. Chakula hakijawa haba, wengi wenu mnacholalamikia ni bei. Ni kweli sote inatuathiri, lakini acha tu iwe hivyo ili kilimo kimlipe vilivyo mkulima.Ukiwa kiongozi huwezi kukwepa suala la usalama wa chakula katika nchi yako. Ukitafuta cheap popularity utaona ni sawa.
Hayo ni moja ya majukumu makubwa ya serikali nchi yoyote ile. Hatukatai chakula kuuzwa sababu wakulima hawazalishi ili kulisha nchi tu ila ni kwa ajili ya biashara.
hata mimi nimeshangaa😀 sijui dini iliingiaje hapo
😀
Usalama wa chakula hauletwi kwa kufunga mipaka, huko ni kuleta njaa. Anachofanya Bashe ndicho kitahakikisha usalama wa chakula nchini.Ukiwa kiongozi huwezi kukwepa suala la usalama wa chakula katika nchi yako. Ukitafuta cheap popularity utaona ni sawa.
Hayo ni moja ya majukumu makubwa ya serikali nchi yoyote ile. Hatukatai chakula kuuzwa sababu wakulima hawazalishi ili kulisha nchi tu ila ni kwa ajili ya biashara.
Hii vita kali sana...😀😀😀😀Hussein Bashe waziri wa kilimo amekuwa muongo kupindukia. tukianzia nzega hapa hapa jimboni kwake hakuna chakura na hali ni mbaya sana.
Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida! Katika biblia kuna hadithi ya yusufu aliemshauri mfalme farao ahifadhi chakura kwa kuwa kuna dalili kubwa ya njaa! WAZIRI WETU BASHE YEYE ALIMSHAURI MFALME WETU CHAKULA KILICHOPO KIUZWE NJE! Hali imekuwa mbaya, na inatisha sana.
Huko mikoani bei zipo juu ambazo raia wa kawaida hawezi kumudu yeye BASHE jana anamdanganya mfalme na umma wa watanzania kwamba ETI NCHI INA CHAKULA CHA KUTOSHA. huu ni uongo wa mchana usiofaa kabisa, amefanyia wapi hiyo research?
Na anadhani chakula kinapatikana kwenye makaratasi anayoyaita takwimu? BASHE hivi umetembelea masoko ya nafaka kama Kibaigwa, Njombe na rukwa ukaona hali iliyopo? kwanini usiongee ukweli na nchi ikapona? Unaogopa kumkosea mfalme kuliko kuwakosea wananchi?
BASHE UMEJIANGUSHA MWENYEWE NA UMEWAANGUSHA UIJANA WENZAKO!! #nchi ina njaa #nchi haina chakura
Bajeti ni bil 750 sio bil 900Najua kabisa Bashe ni team lowassa na yupo karibu na Rostam, Hilo sio tatizo kwa sababu kama mtu ni kiazi kichwani ni kiazi tu, Bashe ameonyesha uwezo wa kiutendaji na kufuatilia sana hujuma za knye sector ya kilimo, Samia mwenyewe nadhani kwa mara ya kwanza baada ya baba wa taifa ndo kaonyesha utashi wa kisiasa wa kufanya mageuzi ya kilimo kweli mfano.
1. Kutenga billioni 900 knye kilimo mara nne ya bajeti tulizozoea
2.Kuanzisha na kufufua irrigations schemes Nchi nzima , huu utakuwa mwarobaini wa kudumu wa issue za ukame na hasara za hovyo hovyo knye kilimo.
3. Kuanzisha block farming itawasaidia sana vijana na wenye mitaji midogo ku organize resources and extensions services
4. Kugawa mashine za kupima udongo ni bonge ya step , zamani mpaka utume sample SUA usubiri miezi miwili majibu na gharama zaidi ya laki 2 kwa sisi tuliokuwa tuna mashamba Morogoro. Je wa mbinga au katavi angesaidikaje?
5. Kubwa kuliko lote ni kuachia soko huria, Rais angekuwa hana nia angeshazuia kupeleka mazao nje, ile ilikuwa ni kuwanyonya mno wakulima , badala ya kuacha soko liamue bei unalazimisha kupunguza demand ili bei iwe chini , ILIKUWA NI SERA YA HOVYO SANA. BORA KITOKE CHOTE mwaka kesho wote tutachangamkia fursa ya kufanya kilimo na wakulima watatajirika , Mbona hatupangi bei za bidhaa za viwandani? au bei za vyumba vya kulala wageni? Soko linaamua bei . Tuwaaachie wakulima soko liamue
Zoezi hili likiwa endelvu, kufika 2025 uchumi wa mkulima, nchi na usalama wa chakula vitakuwa vimebadilika kabisa. Kwa hili Bashe anastahili pongezi sana.Najua kabisa Bashe ni team lowassa na yupo karibu na Rostam, Hilo sio tatizo kwa sababu kama mtu ni kiazi kichwani ni kiazi tu, Bashe ameonyesha uwezo wa kiutendaji na kufuatilia sana hujuma za knye sector ya kilimo, Samia mwenyewe nadhani kwa mara ya kwanza baada ya baba wa taifa ndo kaonyesha utashi wa kisiasa wa kufanya mageuzi ya kilimo kweli mfano.