Hussein Bashe ni janga kubwa kwa taifa letu. Hatufai leo, hatufai kesho na hatufai kesho kutwa!

Hussein Bashe ni janga kubwa kwa taifa letu. Hatufai leo, hatufai kesho na hatufai kesho kutwa!

Yaani katika mtu wa hovyo kuliko wote ni wewe na andiko lako.

1. Chakula kipo knye ghala za taifa na kinauzwa hata wewe ukitaka leo kanunue NFRA bei ni shilingi 620 kwa kilo. na bei ni hiyo hiyo mikoa yote
2. Issue ya kuzuia kupeleka mazao nje ndo ulidumaza watu kuwekeza knye kilimo, maana unazalisha kwa bei juu kisha soko linasumbua suluhu ni sasahivi chakula kiuzwe hata chote ili mwaka kesho watu wengi wakawekeze knye kilimo baada ya kuona faida
3. Dunia nzima hakuna mtu anakuletea chakula nyumbani lazima ukitafute sasa waziri unataka afanye nini?
We mpumbavu hatuwezi wote tukawa wakulima ebooo!!
 
mimi ni mkulima mzoefu na mkubwa kiasi ekari zaidi ya 800 naongea kwa uzoefu na wa kutoa ajira zaidi ya 40 , najua uchungu wa kukopa bank kulimia , unavuna vizuri ,halafu serikali inafunga mipaka hapo una deni la M 400 la bank
Chai
 
We mpumbavu hatuwezi wote tukawa wakulima ebooo!!
Ni kweli kabisa kama ilivyo hatuwezi wote kuwa waajiriwa au wajasiriamali au wachimba madini. sasa kwa nini wakulima pekee wasikewe mazingira bora ya kufanya kilimo biashara ili na wao wafaidi wawe kama wakulima wa nchi zingine? Mkulima ndo anatakiwa aongoze kwa kuwa na gari nzuri na nyumba nzuri ya ghorofa
 
Yaani katika mtu wa hovyo kuliko wote ni wewe na andiko lako.

1. Chakula kipo knye ghala za taifa na kinauzwa hata wewe ukitaka leo kanunue NFRA bei ni shilingi 620 kwa kilo. na bei ni hiyo hiyo mikoa yote
2. Issue ya kuzuia kupeleka mazao nje ndo ulidumaza watu kuwekeza knye kilimo, maana unazalisha kwa bei juu kisha soko linasumbua suluhu ni sasahivi chakula kiuzwe hata chote ili mwaka kesho watu wengi wakawekeze knye kilimo baada ya kuona faida
3. Dunia nzima hakuna mtu anakuletea chakula nyumbani lazima ukitafute sasa waziri unataka afanye nini?
Kwa Akili zake anataka SS wakulima tusinufaike iwe kazi yetu kuilisha mijitu isiyojitu .
 
Hussein Bashe waziri wa kilimo amekuwa muongo kupindukia. tukianzia nzega hapa hapa jimboni kwake hakuna chakura na hali ni mbaya sana.

Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida! Katika biblia kuna hadithi ya yusufu aliemshauri mfalme farao ahifadhi chakura kwa kuwa kuna dalili kubwa ya njaa! WAZIRI WETU BASHE YEYE ALIMSHAURI MFALME WETU CHAKULA KILICHOPO KIUZWE NJE! Hali imekuwa mbaya, na inatisha sana.

Huko mikoani bei zipo juu ambazo raia wa kawaida hawezi kumudu yeye BASHE jana anamdanganya mfalme na umma wa watanzania kwamba ETI NCHI INA CHAKULA CHA KUTOSHA. huu ni uongo wa mchana usiofaa kabisa, amefanyia wapi hiyo research?

Na anadhani chakula kinapatikana kwenye makaratasi anayoyaita takwimu? BASHE hivi umetembelea masoko ya nafaka kama Kibaigwa, Njombe na rukwa ukaona hali iliyopo? kwanini usiongee ukweli na nchi ikapona? Unaogopa kumkosea mfalme kuliko kuwakosea wananchi?

BASHE UMEJIANGUSHA MWENYEWE NA UMEWAANGUSHA UIJANA WENZAKO!! #nchi ina njaa #nchi haina chakura
Hatuwezi kutatua matatizo ya kimfumo kwa kulalamikia watu.

Hapo ninsawa na mtu anaumwa kifua kikuu, halafu unataka kumtibu kwa vidonge vya Cofta vya kutukiza kikohozi.
 
Chakula ni ghali Mwaka huu, hio sio kwetu tu. Kenya, Uganda, Sudan n. K. Wanalia kilio kikubwa.
Tz hatuna njaa, ila bei ya mazao iko juu kwa kuwa tulipata kidogo na soko limeongezeka. Lakin chakula kinatosheleza kabisa. Sera za Bashe nazikubali Sana. Wakulima wanaelewa nachokisema
 
Yaani katika mtu wa hovyo kuliko wote ni wewe na andiko lako.

1. Chakula kipo knye ghala za taifa na kinauzwa hata wewe ukitaka leo kanunue NFRA bei ni shilingi 620 kwa kilo. na bei ni hiyo hiyo mikoa yote
2. Issue ya kuzuia kupeleka mazao nje ndo ulidumaza watu kuwekeza knye kilimo, maana unazalisha kwa bei juu kisha soko linasumbua suluhu ni sasahivi chakula kiuzwe hata chote ili mwaka kesho watu wengi wakawekeze knye kilimo baada ya kuona faida
3. Dunia nzima hakuna mtu anakuletea chakula nyumbani lazima ukitafute sasa waziri unataka afanye nini?
Eti bei ni shs 620 tu😂. Unawaza mahindi tu. Je kwenye akiba ya chakula mchele au mpunga upo?, Maharage yapo au tutakula ugali tu na wala kitoweo hakuna?
 
Eti bei ni shs 620 tu[emoji23]. Unawaza mahindi tu. Je kwenye akiba ya chakula mchele au mpunga upo?, Maharage yapo au tutakula ugali tu na wala kitoweo hakuna?
Nendeni Shambani mkalime, JPM alishasema Serikali Haina Mashamba.

Watu wategemea wajengewe barabara nzuri, madaraja, wazurure mitaani, wanaacha kufanya kazi then wakute Chakula Cha Bure sio sawa hata kidogo.

Nyerere alishawahi kusema huo ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine. Ingieni Shambani. Wakulima wanastahili kuuza mazao nchi yoyote wanayotaka msimlaumi Bashe. Sisi wakulima tunamshukuru kwa kutuheshimisha. Mapori yapo mengi karibuni shambani
 
Back
Top Bottom