Hussein Bashe ni janga kubwa kwa taifa letu. Hatufai leo, hatufai kesho na hatufai kesho kutwa!

Yaani ni hivi Kama unataka chakula cha mserereko nenda kalime uweke stock yako ndani tena Bashe uyouyo kakufanyia Mbolea 70000,ila Kama Shamba uwezi tafuta pesa ununue chakula kwa bei iliyoko sokoni hakunanamna Broo
 
Wewe ni fala sana. Juzi SI wamegawa chakula Cha msaada Singida Kwa sababu njaa imepiga sana. Hilo ghala la chakula halikuwepo?

Hivi hujui ni rahisi kutunza chakula kuliko pesa?
 
Asant Mh. Basha kwa majibu mujarabu
 
Amemshauri Hangaya chakula kiuzwe nchi za nje ili kwao Somalia wasife njaa
 
Mtu analiingiza Taifa kwenye njaa na bado anaendelea kuwa Waziri.

Sijui ni lini tutakuwa serious na mambo yetu.
 
Kwa taarifa yako wakulima hao hao ndio wanakufa Kwa njaa sasa hivi na si watu was Sinza. Wekeni ujinga pembeni japo kidogo
 
ufaransa mkate ulipanda bei watu wakaingia kuandamana nyinyi mnalelewa na wazazi wenu bado hata bei chakura hamuijui
Na ndio maana ukiwambia waingie barabarani hawakuelewi na wale wanaowalisha wanaogopa eti wakivunjwa miguu nani atatafutia watoto chakula
 
mimi ni mkulima mzoefu na mkubwa kiasi ekari zaidi ya 800 naongea kwa uzoefu na wa kutoa ajira zaidi ya 40 , najua uchungu wa kukopa bank kulimia , unavuna vizuri ,halafu serikali inafunga mipaka hapo una deni la M 400 la bank
We bwana tuongee kwanza unatoa Junia mia nane au inalima heka mia nane
 
Hebu tuambie hivyo vyote ukitoa namba 5 vimefanyika wapi?
 
LUMUMBA WAMETOKA KWENYE PANGO UKIMGUSA LUMUMBA MWENZAO WANATOA MACHO KAMA KOROBOI YA UTAMBI made in ccm!
 
Wewe ni fala sana. Juzi SI wamegawa chakula Cha msaada Singida Kwa sababu njaa imepiga sana. Hilo ghala la chakula halikuwepo?

Hivi hujui ni rahisi kutunza chakula kuliko pesa?
Wewe ndo nakushangaa nikianza kutumia lugha yako tutakuwa sawa kiakili, nakwepa upunguani ngoja nikujibu vizuri.
1. Ghala la taifa kazi yake ni kununua mazao kipindi bei rahisi kuyahifadhi na kuyauza uhaba wa chakula unatokea au bei kupanda
2. Kwanini serikali ihifadhi? sababu ni wananchi au wafanya biashara hawawezi kuhifadhi kiwango kikubwa , Serikali inasaidia kwa kutumia kodi zetu hizi hizi bila kupata hasara
 
Hebu tuambie hivyo vyote ukitoa namba 5 vimefanyika wapi?
Ndugu ebu kasikilize hansard za bunge la budget la mwaka huu halafu uje uwanjani, hata google youtube tu utaona tofauti kubwa sana ya miaka iliyopita na mwaka huu
 
hakuna chakura na hali ni mbaya sana.

Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida! Katika biblia kuna hadithi ya yusufu aliemshauri mfalme farao ahifadhi chakura kwa kuwa kuna dalili kubwa ya njaa
Ni chakula sio chakura
 
Chakula kipo knye ghala za taifa na kinauzwa hata wewe ukitaka leo kanunue NFRA bei ni shilingi 620 kwa kilo. na bei ni hiyo hiyo mikoa yote
Hiki kitu alikua hakijui mkuu na hajapata maelezo ya kutosha kutoka kwa Bashe kuhusu hili ndio maana akatoa hayo maelezo, kwa mimi nilivyomuelewa mtoa mada alihitaji kujua chakula anachosema Bashe kipo kipo wapi?
 
Asant Mh. Basha kwa majibu mujarabu
Hapana mimi sio Bashe wala simfahamu sana , tuligongana tu 2015 knye vuguvugu za uzinduzi wa safari ya matumaini, Tukaangukia pua lakini maisha yameenda , sikuwahi kukutana naye tena wala kumwona zaidi ya knye TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…