Hussein Bashe ni janga kubwa kwa taifa letu. Hatufai leo, hatufai kesho na hatufai kesho kutwa!

We mpumbavu hatuwezi wote tukawa wakulima ebooo!!
 
mimi ni mkulima mzoefu na mkubwa kiasi ekari zaidi ya 800 naongea kwa uzoefu na wa kutoa ajira zaidi ya 40 , najua uchungu wa kukopa bank kulimia , unavuna vizuri ,halafu serikali inafunga mipaka hapo una deni la M 400 la bank
Chai
 
We mpumbavu hatuwezi wote tukawa wakulima ebooo!!
Ni kweli kabisa kama ilivyo hatuwezi wote kuwa waajiriwa au wajasiriamali au wachimba madini. sasa kwa nini wakulima pekee wasikewe mazingira bora ya kufanya kilimo biashara ili na wao wafaidi wawe kama wakulima wa nchi zingine? Mkulima ndo anatakiwa aongoze kwa kuwa na gari nzuri na nyumba nzuri ya ghorofa
 
Kwa Akili zake anataka SS wakulima tusinufaike iwe kazi yetu kuilisha mijitu isiyojitu .
 
Hatuwezi kutatua matatizo ya kimfumo kwa kulalamikia watu.

Hapo ninsawa na mtu anaumwa kifua kikuu, halafu unataka kumtibu kwa vidonge vya Cofta vya kutukiza kikohozi.
 
Chakula ni ghali Mwaka huu, hio sio kwetu tu. Kenya, Uganda, Sudan n. K. Wanalia kilio kikubwa.
Tz hatuna njaa, ila bei ya mazao iko juu kwa kuwa tulipata kidogo na soko limeongezeka. Lakin chakula kinatosheleza kabisa. Sera za Bashe nazikubali Sana. Wakulima wanaelewa nachokisema
 
Eti bei ni shs 620 tu😂. Unawaza mahindi tu. Je kwenye akiba ya chakula mchele au mpunga upo?, Maharage yapo au tutakula ugali tu na wala kitoweo hakuna?
 
Eti bei ni shs 620 tu[emoji23]. Unawaza mahindi tu. Je kwenye akiba ya chakula mchele au mpunga upo?, Maharage yapo au tutakula ugali tu na wala kitoweo hakuna?
Nendeni Shambani mkalime, JPM alishasema Serikali Haina Mashamba.

Watu wategemea wajengewe barabara nzuri, madaraja, wazurure mitaani, wanaacha kufanya kazi then wakute Chakula Cha Bure sio sawa hata kidogo.

Nyerere alishawahi kusema huo ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine. Ingieni Shambani. Wakulima wanastahili kuuza mazao nchi yoyote wanayotaka msimlaumi Bashe. Sisi wakulima tunamshukuru kwa kutuheshimisha. Mapori yapo mengi karibuni shambani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…