Msaada unatolewa mahali penye shida na uhitaji. Wewe nani kakuambia Tanzania tuna shida na uhitaji wa chakula toka nje. Wenda ni ikilaza tulio nao ndomana tumepokeaHuna hoja, mtoa msaada anaamua pa kupeleka msaada wake, wakati na aina ya msaada. Hata matajiri unaowajua wewe nina uhakika unafahamu wanasaidia wanapojisikia kusaidia. Pia Marekani sio mtoa misaada pekee katika hii dunia.
Watanzania wengi hawana taarifa sahihi za ndani ya nchi yao. Huko vijijini kuna kampeni kubwa sana ya wazazi kuchangia chakula kwa ajili ya wanafunzi hasa hizi shule za kata. Mwitikio wa wazazi ni mdogo mno wanaoitikia wanaishia kuchangia kidogo ambacho kinatosheleza watoto kunywa uji tu. Kungekuwa na mchele wakutosha wazazi wasingeshindwa kuchangia. Mkemia yupo apime huo mchele kama unamadhara badala kutumia ramli mtandaoni.Mkuu umeshatembea huko vijijini ukawaona watoto wanavyoteseka na njaa na walivyodumaa. Lishe duni ni tatizo kubwa Tanzania. Kama wewe na watoto wako mnajitosheleza hapo ulipo shukuru Mungu, kuna watu huko hawajui mchana watakula nini. Cha msingi hapo Serikali ijiridhishe usalama wa hicho chakula kama Kipo Sawa mm sioni shida. Mchele na chakula kilichopo tz ni Kwa wanaojiweza Tu.
Mchele kusema bei kali umedanganya acha uongo.Mnalalamika ujinga mtupu mbona tunaagiza ngano nje,sukari nje nk. Mchele bongo bei ghali ndomana huko Dodoma wali kwao ilikuwa ni anasa Sasa wanakuletea kutoka kwao maana ni msaada kwao umewazidia Sasa hapo unalialia Nini...
Waafrika wengi wanaujinga wahali ya juu mmno ukae ukijua kunawatu wanashinda na kulala njaa kwa kukosa chakula Sasa huo Mchele mwingi ukowapi?? SI bei zingeshuka na kilamtu angenunua!! Ujinga sana ninyi
SHida ya Tanzania yote serikali ndogo haifanyi majukumu yake itakikanavyo.Watanzania wengi hawana taarifa sahihi za ndani ya nchi yao. Huko vijijini kuna kampeni kubwa sana ya wazazi kuchangia chakula kwa ajili ya wanafunzi hasa hizi shule za kata. Mwitikio wa wazazi ni mdogo mno wanaoitikia wanaishia kuchangia kidogo ambacho kinatosheleza watoto kunywa uji tu. Kungekuwa na mchele wakutosha wazazi wasingeshindwa kuchangia. Mkemia yupo apime huo mchele kama unamadhara badala kutumia ramli mtandaoni.
Wenawe umeishiwa akili unaropoka ionekane mwana majimuhi!!Mchele kusema bei kali umedanganya acha uongo.
Tanzania kitu kinachotakiwa kufanya ni kutizama vyakula bei na usambazajo unafikaje kwa walengwa.
Ila vyakula Tz vipo vingi tu maana kila kona watu wamelima.
Kama hao wanakufa njaa serikali ndogo ikowapi ku adress matatizo ya hao raia??
Wabunge wako wapi ku adress matatizo ya hao raia??
Mwaka wa mbole ya ruzuku Dodoma ni miongoni mwa mikoa ilonufaika sana pia mradi wa Build better tomorrow Dodoma unafanyika na mazao mengi tu yamevunwa.
Local government iadress hilo tatizo kesha serikali kuu itizame hao walengwa wanasaidiwaje.
Msituletee ufala hapa wa kusema Tz vyakula hakuna.
Huu ufala acheni.
Hiyo michele isitumike narudia isitumike ikaja kutuumizia watoto.
Tanzania mambo yako centralized, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha serikali kuu na local, hizo lawama kwa local government hazina mashiko yoyote.SHida ya Tanzania yote serikali ndogo haifanyi majukumu yake itakikanavyo.
Hii ndio inafanya viongozi wa juu muda mwingine watukanike kuwa hawatimizi majukumu na si wawajibikaji kwasababu ya local government kutokuwajibika ili serikali kuu itambue kuna shida gani kwa raia.
Hii ipo mpaka mjini Dar es salaam.
Sahihi, wanasiasa wanasoma upepo kwa sababu ya uchaguzi na madaraka bila kujali uhalisia kama huu wa watoto kuhitaji chakula mashuleni.Wenawe umeishiwa akili unaropoka ionekane mwana majimuhi!!
1.) Unataka kusema wewe hutumiagi vitu Toka Marekani? Je vilikufanya uwe shoga?
2.) Umetafiti na ukagunduai mashule Dodoma yanaweza kuwalisha watoto vizuri kwakuwa Mchele ni cheap?
3.) Umewahi kusaidia shuleni watoto wale?
4.) Unauhakika Mchele husika unamadhara?
5.) Tanzania inaweza kujisimamia bila misaada,hata kondom unazotumia unajuwa umesaidiwa au wewe unajivalisha tuu?
6.) Tanzania ilijitutumua kusaidia chakula wenzetu je tulitaka wawe mashoga?
7.) Siku tukikumbwa na shida kuu tutakataa chakula Toka Marekani?
8.) Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kusaidiwa vyakula na marekani?
Wanasiasa wanajitutumua uchaguzi uko njiani naninyi vifuata upepo mnadakia bila kujielewa.
Acheni uzwazwa chakula kipimwe vizuri watu wale
Ocean Road wamejaa wagonjwa wa Cancer ambao hata hawajawahi kugusa GMO.Magufuli Nilikuwa simkubali Kwa mambo kadhaa ila ingekuwa ndio yupo ktk hili kunawatu wangewajibika.
Athali za mazao ya GMO yaliyoasisiwa na kampumi la Monstanto corporation ni makubwa sana,
Mazao haya huathiri deli za mwilin hivyo kuelekea magonjwa ya cancer,hubadili hormone za mwilin,hushusha Kinga za mwili na kupelekea magonjwa yasiyoambukiza.
Ukipanda mbegu zake zinaua rutuba ya ardhi,baadaye tutakuwa ombaomba wa vyakula kwa wazungu.
You are from what you eat
Make your food be a medicine if you can't your artificial medicine
Will be your food.
Hilo unasema wewe.Tanzania mambo yako centralized, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha serikali kuu na local, hizo lawama kwa local government hazina mashiko yoyote.
Ona huyu mbuzi anazungumza nini.Wenawe umeishiwa akili unaropoka ionekane mwana majimuhi!!
1.) Unataka kusema wewe hutumiagi vitu Toka Marekani? Je vilikufanya uwe shoga?
2.) Umetafiti na ukagunduai mashule Dodoma yanaweza kuwalisha watoto vizuri kwakuwa Mchele ni cheap?
3.) Umewahi kusaidia shuleni watoto wale?
4.) Unauhakika Mchele husika unamadhara?
5.) Tanzania inaweza kujisimamia bila misaada,hata kondom unazotumia unajuwa umesaidiwa au wewe unajivalisha tuu?
6.) Tanzania ilijitutumua kusaidia chakula wenzetu je tulitaka wawe mashoga?
7.) Siku tukikumbwa na shida kuu tutakataa chakula Toka Marekani?
8.) Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kusaidiwa vyakula na marekani?
9.) Ngano,sukari,mafuta tunayoagiza nje ya nchi unauhakika navyo? Unapimaga wewe?
Wanasiasa wanajitutumua uchaguzi uko njiani naninyi vifuata upepo mnadakia bila kujielewa.
Acheni uzwazwa chakula kipimwe vizuri watu wale
Aliulizwa Obama kitugani huku fanikiwa ktk uongozi wako na unaumia kutofanikisha alijibu kuwa"ni kutopatikana kwa chanjo ya cancer wakati mamilion ya Wamarekani wakiangamia kwa mwaka".ni kweli ocean road wagonjwa wa cancer wapo lakini huwezi linganisha rate ya cancer Tanzania na first world countries Sababu ni Nini Sasa?Ocean Road wamejaa wagonjwa wa Cancer ambao hata hawajawahi kugusa GMO.
Watoto wengi tuu shule za serikali wanaondoka nyumbani hawajala na wanarudi nyumbani saa kumi na mbili jioni na njaa zao huku wamechapwa viboko vingi Kwa kushindwa kuelewa darasani. Serikali zooote zinajua na zimefeli kutatua tatizo husika ninalijua hilo vyema!!!Ona huyu mbuzi anazungumza nini.
Unaongea maneno mengi ambayo ni baseless.
-Vitu tunavyotumia kutoka USA sio vyakula mainly ni industrial goods.
-Unapozungumzia kuhusu Tanzania kujisimamia unazungumzia uwanda mpana,hakuna serikali isiyoweza kujisimamia na pia hata kama taifa linahitaji msaada kuna aina ya msaada wa serikali kupewa,Tanzania hakuna balaa njaa useme kuwa tunahitaji msaada wa chakula.
-Suala la Dodoma shule kukosa vyakula local authority ilitakiwa iwajibike kwa kuwasilisha hilo serikali kuu ili lifanyiwe kazi.
Vyakula tunavyoagiza nje sivyo VILIVYOTIWA VIRUTUBISHO.
HUO MCHELE UNAONEKANA NI WA GMO KABISA BILA UBISHI.
Hata vyakula tulivyopeleka kama msaada tofauti na kilicholetwa kwetu.
Nenda kasome madhara ya kutumia aina hiyo ya chakula maana YOU ARE EMPTY HEADED.
-Mwisho point yangu kuu ilikua ni kusisitiza kuwa Tanzania haina uhaba wa chakula kama kuna shida ya vyakula basi local authority walitakiwa wawajibike.
Ruzuku ya mbolea na BBT project Dodoma ilifanya kazi na mpaka sasa inafanya kazi kwanini kuwe na uhaba wa chakula??
PUNGUZA UFALA ninyi ndio watu ambao mkiwa viongozi mtakuja kuuza nchi wa misaada ya kipumbavu isiyo na tija.
Yani wewe unalima halafu upewe msaada wa chakula??
Tizama misaada yenye tija ambayo ni productive kwa leo na kesho.
Watoto wengi tuu shule za serikali wanaondoka nyumbani hawajala na wanarudi nyumbani saa kumi na mbili jioni na njaa zao huku wakichapwa viboko vingi Kwa kushindwa kuelewa darasani. Serikali zooote zinajua na zimefeli kutatua tatizo husika ninalijua hilo vyema!!!Ona huyu mbuzi anazungumza nini.
Unaongea maneno mengi ambayo ni baseless.
-Vitu tunavyotumia kutoka USA sio vyakula mainly ni industrial goods.
-Unapozungumzia kuhusu Tanzania kujisimamia unazungumzia uwanda mpana,hakuna serikali isiyoweza kujisimamia na pia hata kama taifa linahitaji msaada kuna aina ya msaada wa serikali kupewa,Tanzania hakuna balaa njaa useme kuwa tunahitaji msaada wa chakula.
-Suala la Dodoma shule kukosa vyakula local authority ilitakiwa iwajibike kwa kuwasilisha hilo serikali kuu ili lifanyiwe kazi.
Vyakula tunavyoagiza nje sivyo VILIVYOTIWA VIRUTUBISHO.
HUO MCHELE UNAONEKANA NI WA GMO KABISA BILA UBISHI.
Hata vyakula tulivyopeleka kama msaada tofauti na kilicholetwa kwetu.
Nenda kasome madhara ya kutumia aina hiyo ya chakula maana YOU ARE EMPTY HEADED.
-Mwisho point yangu kuu ilikua ni kusisitiza kuwa Tanzania haina uhaba wa chakula kama kuna shida ya vyakula basi local authority walitakiwa wawajibike.
Ruzuku ya mbolea na BBT project Dodoma ilifanya kazi na mpaka sasa inafanya kazi kwanini kuwe na uhaba wa chakula??
PUNGUZA UFALA ninyi ndio watu ambao mkiwa viongozi mtakuja kuuza nchi wa misaada ya kipumbavu isiyo na tija.
Yani wewe unalima halafu upewe msaada wa chakula??
Tizama misaada yenye tija ambayo ni productive kwa leo na kesho.
Bado unaongea upuuzi mwingi tu.Watoto wengi tuu shule za serikali wanaondoka nyumbani hawajala na wanarudi nyumbani saa kumi na mbili jioni na njaa zao huku wamechapwa viboko vingi Kwa kushindwa kuelewa darasani. Serikali zooote zinajua na zimefeli kutatua tatizo husika ninalijua hilo vyema!!!
Wewe kunguni unajidai unaakili kuliko watu woote kumbe ni brainwashed tuu!
Sasa watoto wakiletewa hicho chakula humlaumu aliyeleta unalaumu aliyeshindwa kumpa mtoto chakula!!
Sibishani na wajuaji majuha wasiojielewa ilivyo ni chakula kipimwe kama kinafaa kiliwe na wewe siyo mpima ubora wa vyakula unajidai msoomi kumbe mwehu tuu.
Shule nyiiingi watoto wanashinda njaa weka hiyo kwenye hako kaubongo kako kadoogo!!
Mbona Bashe ndio kaushtukia hadi kasema waje hapa Bongo wanunue Mchele huu wetu wa Mbeya au Shinyanga halafu waweke hivyo "Virutubisho" nasisi tuone na Mkemia wetu Mkuu achukue Sample ili tujiridhishe.Tungekuwa na rais mwenye akili huo mchele usingeingia kabisa. Bashe na mamake hamnazo kabisa
Wewe pia huelewi nahisi ulikuwa unakuwa wamwisho darasani.Bado unaongea upuuzi mwingi tu.
Soma kwa umakini utaelewa nini namaanisha.
Usikute hata shuleni ulikua unafeli maswali kwa kutokuyasoma kwa uelewa.
Kutokuwajibika kwa viongozi kwa hao watoto ndio inamaanisha Tanzania kuna njaa na uhaba wa chakula??
Point yangu ni kuwa viongozi wawajibike kwa hao wanafunzi hususan wa chini ila Tanzania hatuna uhaba wa chakula.
Maelezo unayoleta wewe ni ya serikali kukosa uwajibikaji na ndicho nachokilenga ila sio kwamba kuna uhaba wa chakula Tz.
Na je huo msaada wa kupewa chakula utakua endelevu na je ndio suluhisho sahihi ya kutokomeza njaa mashuleni??
JIFUNZE KUSOMA KWA UELEWA SIO KWA MIHEMKO.