Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

Huna hoja, mtoa msaada anaamua pa kupeleka msaada wake, wakati na aina ya msaada. Hata matajiri unaowajua wewe nina uhakika unafahamu wanasaidia wanapojisikia kusaidia. Pia Marekani sio mtoa misaada pekee katika hii dunia.
Msaada unatolewa mahali penye shida na uhitaji. Wewe nani kakuambia Tanzania tuna shida na uhitaji wa chakula toka nje. Wenda ni ikilaza tulio nao ndomana tumepokea
 
Mkuu umeshatembea huko vijijini ukawaona watoto wanavyoteseka na njaa na walivyodumaa. Lishe duni ni tatizo kubwa Tanzania. Kama wewe na watoto wako mnajitosheleza hapo ulipo shukuru Mungu, kuna watu huko hawajui mchana watakula nini. Cha msingi hapo Serikali ijiridhishe usalama wa hicho chakula kama Kipo Sawa mm sioni shida. Mchele na chakula kilichopo tz ni Kwa wanaojiweza Tu.
Watanzania wengi hawana taarifa sahihi za ndani ya nchi yao. Huko vijijini kuna kampeni kubwa sana ya wazazi kuchangia chakula kwa ajili ya wanafunzi hasa hizi shule za kata. Mwitikio wa wazazi ni mdogo mno wanaoitikia wanaishia kuchangia kidogo ambacho kinatosheleza watoto kunywa uji tu. Kungekuwa na mchele wakutosha wazazi wasingeshindwa kuchangia. Mkemia yupo apime huo mchele kama unamadhara badala kutumia ramli mtandaoni.
 
Mnalalamika ujinga mtupu mbona tunaagiza ngano nje,sukari nje nk. Mchele bongo bei ghali ndomana huko Dodoma wali kwao ilikuwa ni anasa Sasa wanakuletea kutoka kwao maana ni msaada kwao umewazidia Sasa hapo unalialia Nini...
Waafrika wengi wanaujinga wahali ya juu mmno ukae ukijua kunawatu wanashinda na kulala njaa kwa kukosa chakula Sasa huo Mchele mwingi ukowapi?? SI bei zingeshuka na kilamtu angenunua!! Ujinga sana ninyi
Mchele kusema bei kali umedanganya acha uongo.
Tanzania kitu kinachotakiwa kufanya ni kutizama vyakula bei na usambazajo unafikaje kwa walengwa.
Ila vyakula Tz vipo vingi tu maana kila kona watu wamelima.
Kama hao wanakufa njaa serikali ndogo ikowapi ku adress matatizo ya hao raia??
Wabunge wako wapi ku adress matatizo ya hao raia??
Mwaka wa mbole ya ruzuku Dodoma ni miongoni mwa mikoa ilonufaika sana pia mradi wa Build better tomorrow Dodoma unafanyika na mazao mengi tu yamevunwa.
Local government iadress hilo tatizo kesha serikali kuu itizame hao walengwa wanasaidiwaje.
Msituletee ufala hapa wa kusema Tz vyakula hakuna.
Huu ufala acheni.
Hiyo michele isitumike narudia isitumike ikaja kutuumizia watoto.
 
Watanzania wengi hawana taarifa sahihi za ndani ya nchi yao. Huko vijijini kuna kampeni kubwa sana ya wazazi kuchangia chakula kwa ajili ya wanafunzi hasa hizi shule za kata. Mwitikio wa wazazi ni mdogo mno wanaoitikia wanaishia kuchangia kidogo ambacho kinatosheleza watoto kunywa uji tu. Kungekuwa na mchele wakutosha wazazi wasingeshindwa kuchangia. Mkemia yupo apime huo mchele kama unamadhara badala kutumia ramli mtandaoni.
SHida ya Tanzania yote serikali ndogo haifanyi majukumu yake itakikanavyo.
Hii ndio inafanya viongozi wa juu muda mwingine watukanike kuwa hawatimizi majukumu na si wawajibikaji kwasababu ya local government kutokuwajibika ili serikali kuu itambue kuna shida gani kwa raia.
Hii ipo mpaka mjini Dar es salaam.
 
Mchele kusema bei kali umedanganya acha uongo.
Tanzania kitu kinachotakiwa kufanya ni kutizama vyakula bei na usambazajo unafikaje kwa walengwa.
Ila vyakula Tz vipo vingi tu maana kila kona watu wamelima.
Kama hao wanakufa njaa serikali ndogo ikowapi ku adress matatizo ya hao raia??
Wabunge wako wapi ku adress matatizo ya hao raia??
Mwaka wa mbole ya ruzuku Dodoma ni miongoni mwa mikoa ilonufaika sana pia mradi wa Build better tomorrow Dodoma unafanyika na mazao mengi tu yamevunwa.
Local government iadress hilo tatizo kesha serikali kuu itizame hao walengwa wanasaidiwaje.
Msituletee ufala hapa wa kusema Tz vyakula hakuna.
Huu ufala acheni.
Hiyo michele isitumike narudia isitumike ikaja kutuumizia watoto.
Wenawe umeishiwa akili unaropoka ionekane mwana majimuhi!!
1.) Unataka kusema wewe hutumiagi vitu Toka Marekani? Je vilikufanya uwe shoga?
2.) Umetafiti na ukagunduai mashule Dodoma yanaweza kuwalisha watoto vizuri kwakuwa Mchele ni cheap?
3.) Umewahi kusaidia shuleni watoto wale?
4.) Unauhakika Mchele husika unamadhara?
5.) Tanzania inaweza kujisimamia bila misaada,hata kondom unazotumia unajuwa umesaidiwa au wewe unajivalisha tuu?
6.) Tanzania ilijitutumua kusaidia chakula wenzetu je tulitaka wawe mashoga?
7.) Siku tukikumbwa na shida kuu tutakataa chakula Toka Marekani?
8.) Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kusaidiwa vyakula na marekani?
9.) Ngano,sukari,mafuta tunayoagiza nje ya nchi unauhakika navyo? Unapimaga wewe?
Wanasiasa wanajitutumua uchaguzi uko njiani naninyi vifuata upepo mnadakia bila kujielewa.
Acheni uzwazwa chakula kipimwe vizuri watu wale
 
SHida ya Tanzania yote serikali ndogo haifanyi majukumu yake itakikanavyo.
Hii ndio inafanya viongozi wa juu muda mwingine watukanike kuwa hawatimizi majukumu na si wawajibikaji kwasababu ya local government kutokuwajibika ili serikali kuu itambue kuna shida gani kwa raia.
Hii ipo mpaka mjini Dar es salaam.
Tanzania mambo yako centralized, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha serikali kuu na local, hizo lawama kwa local government hazina mashiko yoyote.
 
Wenawe umeishiwa akili unaropoka ionekane mwana majimuhi!!
1.) Unataka kusema wewe hutumiagi vitu Toka Marekani? Je vilikufanya uwe shoga?
2.) Umetafiti na ukagunduai mashule Dodoma yanaweza kuwalisha watoto vizuri kwakuwa Mchele ni cheap?
3.) Umewahi kusaidia shuleni watoto wale?
4.) Unauhakika Mchele husika unamadhara?
5.) Tanzania inaweza kujisimamia bila misaada,hata kondom unazotumia unajuwa umesaidiwa au wewe unajivalisha tuu?
6.) Tanzania ilijitutumua kusaidia chakula wenzetu je tulitaka wawe mashoga?
7.) Siku tukikumbwa na shida kuu tutakataa chakula Toka Marekani?
8.) Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kusaidiwa vyakula na marekani?
Wanasiasa wanajitutumua uchaguzi uko njiani naninyi vifuata upepo mnadakia bila kujielewa.
Acheni uzwazwa chakula kipimwe vizuri watu wale
Sahihi, wanasiasa wanasoma upepo kwa sababu ya uchaguzi na madaraka bila kujali uhalisia kama huu wa watoto kuhitaji chakula mashuleni.
 
Ila USA ni viherehere sana sijui hata wana malengo Gani? Unaacha kupelekea Michele na maharagwe huko Sudan, Haiti, Somalia, Gaza,Congo, Djibouti unaleta Tanzania kweli?
 
Magufuli Nilikuwa simkubali Kwa mambo kadhaa ila ingekuwa ndio yupo ktk hili kunawatu wangewajibika.
Athali za mazao ya GMO yaliyoasisiwa na kampumi la Monstanto corporation ni makubwa sana,
Mazao haya huathiri deli za mwilin hivyo kuelekea magonjwa ya cancer,hubadili hormone za mwilin,hushusha Kinga za mwili na kupelekea magonjwa yasiyoambukiza.
Ukipanda mbegu zake zinaua rutuba ya ardhi,baadaye tutakuwa ombaomba wa vyakula kwa wazungu.
You are from what you eat
Make your food be a medicine if you can't your artificial medicine
Will be your food.
 
Ocean Road wamejaa wagonjwa wa Cancer ambao hata hawajawahi kugusa GMO.
 
Tanzania mambo yako centralized, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha serikali kuu na local, hizo lawama kwa local government hazina mashiko yoyote.
Hilo unasema wewe.
Mifano ipo na inafahamika kabisa kuwa local government haiwajibiki.
TEmbea wewe nenda Morogoro tu hapo utajionea.
Ama njoo tu huku Kigamboni uone local government ilivyo haiwajibiki.
Mfano mdogo pesa za mikopo ya halmashauri zile za 10% kwa kinamama ,vijana na walemavu.
Siongei nikaropoka ninaongea niliyoshuhudia.
Ishu sio communication mfie USA wewe,ishu ni UWAJIBIKAJI.
ELEWA NENO UWAJIBIKAJI.
 
Wenawe umeishiwa akili unaropoka ionekane mwana majimuhi!!
1.) Unataka kusema wewe hutumiagi vitu Toka Marekani? Je vilikufanya uwe shoga?
2.) Umetafiti na ukagunduai mashule Dodoma yanaweza kuwalisha watoto vizuri kwakuwa Mchele ni cheap?
3.) Umewahi kusaidia shuleni watoto wale?
4.) Unauhakika Mchele husika unamadhara?
5.) Tanzania inaweza kujisimamia bila misaada,hata kondom unazotumia unajuwa umesaidiwa au wewe unajivalisha tuu?
6.) Tanzania ilijitutumua kusaidia chakula wenzetu je tulitaka wawe mashoga?
7.) Siku tukikumbwa na shida kuu tutakataa chakula Toka Marekani?
8.) Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kusaidiwa vyakula na marekani?
9.) Ngano,sukari,mafuta tunayoagiza nje ya nchi unauhakika navyo? Unapimaga wewe?
Wanasiasa wanajitutumua uchaguzi uko njiani naninyi vifuata upepo mnadakia bila kujielewa.
Acheni uzwazwa chakula kipimwe vizuri watu wale
Ona huyu mbuzi anazungumza nini.
Unaongea maneno mengi ambayo ni baseless.
-Vitu tunavyotumia kutoka USA sio vyakula mainly ni industrial goods.
-Unapozungumzia kuhusu Tanzania kujisimamia unazungumzia uwanda mpana,hakuna serikali isiyoweza kujisimamia na pia hata kama taifa linahitaji msaada kuna aina ya msaada wa serikali kupewa,Tanzania hakuna balaa njaa useme kuwa tunahitaji msaada wa chakula.
-Suala la Dodoma shule kukosa vyakula local authority ilitakiwa iwajibike kwa kuwasilisha hilo serikali kuu ili lifanyiwe kazi.
Vyakula tunavyoagiza nje sivyo VILIVYOTIWA VIRUTUBISHO.
HUO MCHELE UNAONEKANA NI WA GMO KABISA BILA UBISHI.
Hata vyakula tulivyopeleka kama msaada tofauti na kilicholetwa kwetu.
Nenda kasome madhara ya kutumia aina hiyo ya chakula maana YOU ARE EMPTY HEADED.
-Mwisho point yangu kuu ilikua ni kusisitiza kuwa Tanzania haina uhaba wa chakula kama kuna shida ya vyakula basi local authority walitakiwa wawajibike.
Ruzuku ya mbolea na BBT project Dodoma ilifanya kazi na mpaka sasa inafanya kazi kwanini kuwe na uhaba wa chakula??
PUNGUZA UFALA ninyi ndio watu ambao mkiwa viongozi mtakuja kuuza nchi wa misaada ya kipumbavu isiyo na tija.
Yani wewe unalima halafu upewe msaada wa chakula??
Tizama misaada yenye tija ambayo ni productive kwa leo na kesho.
 
Ocean Road wamejaa wagonjwa wa Cancer ambao hata hawajawahi kugusa GMO.
Aliulizwa Obama kitugani huku fanikiwa ktk uongozi wako na unaumia kutofanikisha alijibu kuwa"ni kutopatikana kwa chanjo ya cancer wakati mamilion ya Wamarekani wakiangamia kwa mwaka".ni kweli ocean road wagonjwa wa cancer wapo lakini huwezi linganisha rate ya cancer Tanzania na first world countries Sababu ni Nini Sasa?
Ni vyakula vya GMO madaktar wengi wameeleza hili wew kama sio daktar au expert wa mambo ya afya huna la kusema ktk hili
Kama unaowatoto wape vyakula hivyo uje uone matokeo yake.
Nakupa mfano mwepesi kuku wa kisasa anaingizwa sokoni akiwa na wiki Tano Hadi sita lakini kuku wa kienyeji wa umri huo huwezi mleta sokoni... Mmesha tengeneza miili ya kisasa kama kuku wa kisasa bado hamjatosheka mnataka na watoto wasio na hatia wasiojua lolote mharibu miili Yao,lakin hukumu yenu ipo(1korinthi 3:16-17)
Nchi kama Tanzania inashindwa kulisha watoto mlo kamili?
1 peeled grape fruit
1peeled orange
3 stalks celery
Couple of mint leave
Hence take 1 glass×3
Hiyo inasaidia kuongeza vitamin C mineral and nutrients.
Sasa mambo kama haya Hadi uletewe na Wamarekani?
Ninyi ndio mnaofanya waafrika tutukanwe na akina Trump
Soma kitabu Cha Dr TAMARA St.JOHN M.BA "Healing through detox"
 
Ona huyu mbuzi anazungumza nini.
Unaongea maneno mengi ambayo ni baseless.
-Vitu tunavyotumia kutoka USA sio vyakula mainly ni industrial goods.
-Unapozungumzia kuhusu Tanzania kujisimamia unazungumzia uwanda mpana,hakuna serikali isiyoweza kujisimamia na pia hata kama taifa linahitaji msaada kuna aina ya msaada wa serikali kupewa,Tanzania hakuna balaa njaa useme kuwa tunahitaji msaada wa chakula.
-Suala la Dodoma shule kukosa vyakula local authority ilitakiwa iwajibike kwa kuwasilisha hilo serikali kuu ili lifanyiwe kazi.
Vyakula tunavyoagiza nje sivyo VILIVYOTIWA VIRUTUBISHO.
HUO MCHELE UNAONEKANA NI WA GMO KABISA BILA UBISHI.
Hata vyakula tulivyopeleka kama msaada tofauti na kilicholetwa kwetu.
Nenda kasome madhara ya kutumia aina hiyo ya chakula maana YOU ARE EMPTY HEADED.
-Mwisho point yangu kuu ilikua ni kusisitiza kuwa Tanzania haina uhaba wa chakula kama kuna shida ya vyakula basi local authority walitakiwa wawajibike.
Ruzuku ya mbolea na BBT project Dodoma ilifanya kazi na mpaka sasa inafanya kazi kwanini kuwe na uhaba wa chakula??
PUNGUZA UFALA ninyi ndio watu ambao mkiwa viongozi mtakuja kuuza nchi wa misaada ya kipumbavu isiyo na tija.
Yani wewe unalima halafu upewe msaada wa chakula??
Tizama misaada yenye tija ambayo ni productive kwa leo na kesho.
Watoto wengi tuu shule za serikali wanaondoka nyumbani hawajala na wanarudi nyumbani saa kumi na mbili jioni na njaa zao huku wamechapwa viboko vingi Kwa kushindwa kuelewa darasani. Serikali zooote zinajua na zimefeli kutatua tatizo husika ninalijua hilo vyema!!!
Wewe kunguni unajidai unaakili kuliko watu woote kumbe ni brainwashed tuu!
Sasa watoto wakiletewa hicho chakula humlaumu aliyeleta unalaumu aliyeshindwa kumpa mtoto chakula!!
Sibishani na wajuaji majuha wasiojielewa ilivyo ni chakula kipimwe kama kinafaa kiliwe na wewe siyo mpima ubora wa vyakula unajidai msoomi kumbe mwehu tuu.
Shule nyiiingi watoto wanashinda njaa weka hiyo kwenye hako kaubongo kako kadoogo!!
 
Watoto wengi tuu shule za serikali wanaondoka nyumbani hawajala na wanarudi nyumbani saa kumi na mbili jioni na njaa zao huku wakichapwa viboko vingi Kwa kushindwa kuelewa darasani. Serikali zooote zinajua na zimefeli kutatua tatizo husika ninalijua hilo vyema!!!
Wewe kunguni unajidai unaakili kuliko watu woote kumbe ni brainwashed tuu!
Sasa watoto wakiletewa hicho chakula humlaumu aliyeleta unalaumu aliyeshindwa kumpa mtoto chakula!!
Sibishani na wajuaji majuha wasiojielewa ilivyo ni chakula kipimwe kama kinafaa kiliwe na wewe siyo mpima ubora wa vyakula unajidai msoomi kumbe mwehu tuu.
Shule nyiiingi watoto wanashinda njaa weka hiyo kwenye hakokaubongo kako kadoogo!!
 
Watoto wengi tuu shule za serikali wanaondoka nyumbani hawajala na wanarudi nyumbani saa kumi na mbili jioni na njaa zao huku wamechapwa viboko vingi Kwa kushindwa kuelewa darasani. Serikali zooote zinajua na zimefeli kutatua tatizo husika ninalijua hilo vyema!!!
Wewe kunguni unajidai unaakili kuliko watu woote kumbe ni brainwashed tuu!
Sasa watoto wakiletewa hicho chakula humlaumu aliyeleta unalaumu aliyeshindwa kumpa mtoto chakula!!
Sibishani na wajuaji majuha wasiojielewa ilivyo ni chakula kipimwe kama kinafaa kiliwe na wewe siyo mpima ubora wa vyakula unajidai msoomi kumbe mwehu tuu.
Shule nyiiingi watoto wanashinda njaa weka hiyo kwenye hako kaubongo kako kadoogo!!
Bado unaongea upuuzi mwingi tu.
Soma kwa umakini utaelewa nini namaanisha.
Usikute hata shuleni ulikua unafeli maswali kwa kutokuyasoma kwa uelewa.
Kutokuwajibika kwa viongozi kwa hao watoto ndio inamaanisha Tanzania kuna njaa na uhaba wa chakula??
Point yangu ni kuwa viongozi wawajibike kwa hao wanafunzi hususan wa chini ila Tanzania hatuna uhaba wa chakula.
Maelezo unayoleta wewe ni ya serikali kukosa uwajibikaji na ndicho nachokilenga ila sio kwamba kuna uhaba wa chakula Tz.
Na je huo msaada wa kupewa chakula utakua endelevu na je ndio suluhisho sahihi ya kutokomeza njaa mashuleni??
JIFUNZE KUSOMA KWA UELEWA SIO KWA MIHEMKO.
 
Tungekuwa na rais mwenye akili huo mchele usingeingia kabisa. Bashe na mamake hamnazo kabisa
Mbona Bashe ndio kaushtukia hadi kasema waje hapa Bongo wanunue Mchele huu wetu wa Mbeya au Shinyanga halafu waweke hivyo "Virutubisho" nasisi tuone na Mkemia wetu Mkuu achukue Sample ili tujiridhishe.
 
Bado unaongea upuuzi mwingi tu.
Soma kwa umakini utaelewa nini namaanisha.
Usikute hata shuleni ulikua unafeli maswali kwa kutokuyasoma kwa uelewa.
Kutokuwajibika kwa viongozi kwa hao watoto ndio inamaanisha Tanzania kuna njaa na uhaba wa chakula??
Point yangu ni kuwa viongozi wawajibike kwa hao wanafunzi hususan wa chini ila Tanzania hatuna uhaba wa chakula.
Maelezo unayoleta wewe ni ya serikali kukosa uwajibikaji na ndicho nachokilenga ila sio kwamba kuna uhaba wa chakula Tz.
Na je huo msaada wa kupewa chakula utakua endelevu na je ndio suluhisho sahihi ya kutokomeza njaa mashuleni??
JIFUNZE KUSOMA KWA UELEWA SIO KWA MIHEMKO.
Wewe pia huelewi nahisi ulikuwa unakuwa wamwisho darasani.
Haijasemwa mahali Tz hatuna chakula...watoto wameteseka njaa miaka na miaka, msamaria kawaletea chakula Toka chanzo rahisi kwake fungua ubongo usijidai tajiri wewe nimaskini wakutupaaa!
Watoto wanaanguka njaa wape Sasa chakula wewe au unataka wafe,kama wamelia shida wameletewa uliza viongozi wako kwanini wanakuwa wajinga KIASI hiko.
Nikimtumia mtu mwenyeshida ya mchele dar toka shinyanga inamaana dar kuna njaa??
Elewa viongozi wa taifa lako ndiyo wanapaswa kubeba aibu ya kushindisha watoto wetu njaa mashuleni huku wakifanya kazi ngumu yakusoma!!! Viongozi wanatembelea V8 watoto shule wanaanguka njaa where is your hearts??
Wewe hujielewi unatetea viongozi kijiiinga bashe ninani yako? Waziri mkuu ajiuzulu Kwa kushindisha watoto njaa mpaka marekani wanasikitika wanawaletea watoto chakula!! Heartless idiots
 
Back
Top Bottom